International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kutoa tamko kwa kukurupuka na bila kufanya uchunguzi au kusikiliza upande unaotuhumiwa ni uhuni kama uhuni mwingine. Hata D.Trump anaziona hizi jumuia za kimataifa kama magenge ya wahuni tu.
1 Reactions
6 Replies
318 Views
Netanyahu kwa Habari za CBS: "Tulikubaliana kutoa nafasi ya amani. Masharti ya mpango wa pointi 20 yako wazi sana. Sio tu kwamba tunawatoa mateka, lakini pia kuhusu kuwapokonya silaha na...
1 Reactions
23 Replies
659 Views
🔴IDF imewaangamiza magaidi waliohusika na utekaji nyara wa Noa Argamani, Avinatan Or, na Eitan Mor kwenye tamasha la muziki la Nova. Sasa inaweza kufichuliwa kwamba magaidi wanane waliojipenyeza...
1 Reactions
1 Replies
202 Views
Baada ya Uingereza kuru huku wahamiaji kutoka nchi za kiarabu na Asia kuingia nchini na kuwapa hifadhi kwa kisingizio kuwa kwao wananyanyaswa sasa wahamiaji hao wamebadirisha MFUMO mzima wa maisha...
2 Reactions
19 Replies
823 Views
Mamlaka ya Mauritius imemkamata msaidizi wa Rais wa zamani wa Madagascar Andry Rajoelina kwa tuhuma za utakatishaji fedha. Maminiaina Ravatomanga, ambaye alikimbilia Mauritius baada ya Rajoelina...
2 Reactions
5 Replies
324 Views
Wahouthi bado wanaendelea kuhangaika Kuficha vifo vya viongozi wao!! Gazeti la Yemeni Defense Line linaripoti kwamba Wahouthi wanajiandaa kutangaza vifo vya viongozi kadhaa wakuu, waliouawa na...
3 Reactions
10 Replies
435 Views
  • Featured
Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy, anatarajiwa kuanza kifungo chake cha miaka mitano gerezani Jumanne, kufuatia hukumu ya kula njama ya kupokea fedha haramu kutoka kwa Rais wa zamani wa...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Israel Yaikabidhi Ukraine Mifumo ya Ulinzi wa Anga ya Patriot Iliyopewa na Marekani Serikali ya Israel imetangaza rasmi kuipelekea Ukraine mifumo ya ulinzi wa anga ya kisasa aina ya Patriot Air...
2 Reactions
5 Replies
519 Views
Ukitizama unaweza kucheka lakini ni jambo la kufikiria sana. Yani Makomando wameshindwa kutua sehemu husika wote wametua nje ya uwanja. Hii inaonyesha ishara gani kwao? ============= Nchini...
14 Reactions
27 Replies
1K Views
Akili zenu zimepikwa kuchukia na kupenda kwa maagizo ila sio kwa utashi wenu Chuki yenu inakataa hata historia ya kweli kuwa ardhi ile ni asili ya wayahudi na ni haki yao. Nafsi zenu...
5 Reactions
13 Replies
495 Views
Viongozi wawili wakuu wa upinzani nchini Cameroon wamekamatwa, chama chao cha Union for Change kilisema kupitia taarifa iliyotolewa Oktoba 24, 2025 — hatua inayoongeza mvutano wa kisiasa baada ya...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
  • Featured
Waziri anayehudumu katika masuala ya uchumi na usalama wa Taifa katika Seikali ya Japan, Sanae Takaichi, ameshinda kura ya kihistoria ya kuwa Waziri Mkuu wa kwanza Mwanamke kuwahi kutokea Nchini...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Huu ndio uhalisia ulivyo huko Gaza ambako mama badala kubembeleza watoto wao wapendwa na kuwanyonyesha wao huwa wanalia wakiagana nao .Innaa Lillaah wainna ilayhi raajiuun.
9 Reactions
90 Replies
6K Views
Wanaukumbi. Israel directly targeted Palestinian rescue workers at the Nasser Medical Complex in Gaza's Khan Younis. Journalists Mohammed Salama, Hussam Al Masri and Mariam Abu Dagga were among...
2 Reactions
246 Replies
5K Views
Habari ndio hio Ayatollah Ali Khomen baba lao, anasema Rais wa marekani Trump alienda israel ili ku raise morales zao sababu zipo chini sana baada ya kipigo walicho pokea tokea Iran, sababu...
6 Reactions
60 Replies
2K Views
ISRAEL YAZINDUA MFUMO MPYA WA KOMBORA LINAONGOZWA NA LASER 🇮🇱 Kutana na LAHAT ALPHA, kombora hilo ni Game-Changer ambalo hufunga shabaha kutoka umbali wa zaidi ya KM 20. Hawezi kuliona wakati...
1 Reactions
32 Replies
1K Views
Balozi wa Marekani nchini Lebanon amewapa vidonge vyao waarabu kwa kuwaambia hawajastaarabika. Tom Barrack ambye ni Balozi wa Marekani nchini Uturuki na mwakilishi maalum wa nchi hiyo nchini Syria...
12 Reactions
162 Replies
7K Views
Donald Trump anadai idara ya ya sheria ya Marekani/Department of Justice(DoJ) imlipe $230 million kwa kadhia za uchunguzi na kesi mbalimbali zilizoendeshwa na idara hiyo dhidi yake katika miaka...
3 Reactions
4 Replies
242 Views
Kutokana na China kuwa na teknolojia kubwa hasa katika utengenezaji wa bidhaa za high technology imeanza kuwekeza viwanda katika mataifa ya Ulaya kutokana na mataifa hayo kuwa nyuma katika...
14 Reactions
95 Replies
2K Views
Habari za hivi punde ni kuwa Rais Trump anatarajiwa kuruhusu mashambulizi ndani ya Venezuela kwa lengo la kumuondoa Rais Madulo, Venezuela tayari imesogeza Vilinda Anga muda mchache uliopita...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…