International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Kwa wikendi ya tatu mfululizo wananchi wa Korea Kusini waliyojawa na ghadhabu wameamua kumiminika katika barabara za mji mkuu wa Seoul kumtaka rais wa taifa hilo, Park Guen Hye kujiuzulu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
The entire mainstream media attempted to rig an election for Hillary Clinton, breaking hundreds of years of press protocol and lost. The irrelevant mainstream media is going to have rough 8 years...
1 Reactions
0 Replies
526 Views
Wakuu habari ndo hii, Jamaa wamekula ganzi kishenzi, Trump jeuri hataki kujishusha. Obama kauzu hataki kuonyesha kujutia kwa yale aliyotamka hapo mwanzo wakati kampeni zikianza. Wacheki hapa
7 Reactions
76 Replies
8K Views
Wamejitokeza barabarani wakiimba kwa sifa na kusheherekea ushindi wa Trump. Wafuasi wengi wa ISIS wanategemea vita vya wenyewe kwa wenyewe ndani ya Marekani na kwamba hiyo ndio itakua anguko la...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Katika mambo yoote niliyosikia kuhusu Mke wa D.Trump, Melania Trump sijawahi kusikia Wazungu wakicheka lafudhi ya Kiingereza chake, huyu Mama anatokea nchi ya Slovenia ambayo iko Ulaya ya...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
Watu kwa maelfu katika baadhi ya miji mikubwa nchini Marekani wanaandamana kupinga ushindi wa Rais mteule, Donald Trump kuwa Rais wa 45 wa Taifa hilo. Baadhi ya waandamanaji wamekusanyika nje ya...
10 Reactions
190 Replies
29K Views
Najua ni wachache wanaokumbuka tukio hili Hili ni tukio la kuvutia na la kusisimua ndani ya mieleka ya WWE lililopewa jina la "THE BATTLE OF THE BILLIONAIRE`S" Ulikuwa ni mpambano mkali kati ya...
9 Reactions
107 Replies
29K Views
Muda wa Michezo umekwisha sasa, kila la heri kaanzishe NGO yakusaidia Afrika uje utupige porojo, mpishe D.Trump apige kazi to make America Great Again!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siasa za kweli zipo USA trust me siyo hapa bongo maelfu ya watu wanaandamana lkn hakuna washa washa hakuna nini unadhani malekani hawana washa washa heeeee wanafata katiba uwezi kumpiga Raia ndani...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Uchaguzi wa Marekani umemalizika kwa Mr Trump kutangazwa kuwa mshindi kinyume na matarajio ya watu wengi akiwemo Tb Joshua. kilichonivuta nyuma ya keyboard ni hotuba ya bi Hirary Clinton...
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Prime Minister Theresa May has been warned by a leading German politician that she is 'delusional' if she believes she can get a good trade deal from Donald Trump. Axel Schafer, a senior member...
0 Reactions
1 Replies
404 Views
Ndugu wana JF naomba msaada kidogo kueleweshwa juu ya ushiriki au uhusika wa Fremason kwenye uchaguzi wa USA TAR 11.9 MLIPUKO PALE PENTAGON TAR.9.11 uchaguzi huwa nasikia hao wakubwa wanachezaga...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
November 10, 2016 at 11:31 am By Daniel Sabiiti Cable car would make access to mount Karisimbi summit easy Rwanda has found an investor ready to implement the ambitious cable car project which...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Kutana na wale wanaotarajiwa kuwa mawaziri wa Trump. Source: BBC Image Hili huenda likawa baraza la mawaziri la Trump Kwa sasa kilicho kwenye akili za wengi ni kuhusu nani watapewa...
0 Reactions
0 Replies
670 Views
Katika soma soma news mtandoni leo nimeona makala zikielezea Bilionea tapeli R Allen Stanford ambaye alineemeka na pesa za watu kwa kwa style ile iayojulikana kwa wengi hapa bongo kama UPATU...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kifaa kikubwa cha chuma kimeanguka kutoka angani katika eneo la migodi Kaskazini mwa Myanmar Kifaa hicho cha muundo wa mviringo, kilichopatikana siku ya Ijumaa katika jimbo la Kachin, kina urefu...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Maandamano ya Wamarekani dhidi ya Trump yameingia siku ya tatu sasa. Maandamano hayo yanaonekana kuwa na dhima kuu 3: 1. Wengi wa waandamanaji hasa hawapingi ushindi wake ila wana hofu kuwa...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
  • Redirect
KWAO: wapiga kura ndio wanaokataa matokeo. KWETU: walioshindwa ndio wanafuata wapiga kura kuwashawishi waandamane kukataa matokeo
0 Reactions
Replies
Views
HOTUBA YA WAZIRI MKUU WA ISRAEL NETANYAU KUHUSU AFRIKA. Hatujiwajibishi hata kidogo kujaribu kuthibitisha au kudokeza kwa kila mtu na kwa Waafrika na Waarabu kuwa Sisi (Weupe) tu watu tuliobora...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwanini Marekani kuna vyama viwili tu vya Siasa tofauti na baadhi ya nchi nyingine?? Na je mtu akitaka kuanzisha chama chake cha Siasa anaruhusiwa kwa Sasa?
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…