Pressure on South Korea's Park mounts as massive crowd demands she quit

Pressure on South Korea's Park mounts as massive crowd demands she quit

Queen V

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
785
Reaction score
1,368
Kwa wikendi ya tatu mfululizo wananchi wa Korea Kusini waliyojawa na ghadhabu wameamua kumiminika katika barabara za mji mkuu wa Seoul kumtaka rais wa taifa hilo, Park Guen Hye kujiuzulu.

Mandamano ya leo yanatarajiwa kuwa makubwa zaidi. Viongozi wa maandamano hayo wanasema mamilioni ya watu watashiriki.

Maelfu ya maafisa wa polisi wanakabiliana na ghasia,wamepelekwa katika mji mkuu wa Seoul kukabiliana na waandamanaji hao wanaopinga serikali kufika ikulu ya rais.

Rais Park Guen Hye, anatuhumiwa kwa kuwa na uhusiano wa karibu na Choi Soon-sil, anayekabiliwa na shtaka la kujaribu kuibia serikali fedha nyingi kupitia kampuni kadhaa za taifa hilo.

========================================
download.jpg


South Korean President Park Geun-hye faced mounting calls to step down as a record number of people at a massive rally on Saturday criticized her as unfit to rule over allegations she allowed a friend to meddle in state affairs and wield influence.

The protest rally in downtown Seoul drew more than half a million people, according to its organizers, many of whom were ordinary citizens who packed the main streets running through the city center including a 12-lane thoroughfare.

They came with family, and students and young parents pushing strollers were among the crowd as were people in wheelchairs and crutches, in a sharp contrast from some previous rallies often dominated by militant unions and civic groups that had turned violent and clashed with police.

They chanted "Step down, step down, you must step down."

"Of course she must step down," Jung Sun-hee, a 42-year-old homemaker who attended the rally with her husband and two pre-teen daughters, said. "I believe we need a new person to break through this situation, who will be better than this one."

The crowd has been given a go-ahead by the court to march later in the evening to within a few blocks of the presidential Blue House compound, which had been previously disallowed by the police, citing security reasons.

It was the third weekend protest rally since Park's first public apology on Oct. 25 where she admitted she had sought the advice of her friend, Choi Soon-sil, which only fueled public anger and suspicion over the secret confidant who apparently held no official government position.

Another apology by Park and an offer to work with the parliamentary opposition to form a new cabinet and relinquish some power failed to calm public anger, prompting her opponents to say she did not grasp the gravity of the crisis at hand.

Members of main opposition parties joined the rally calling on Park to resign, indicating there was a growing opinion in parliament to take action to remove her from power, although there was no formal move yet to launch impeachment proceedings.

Park's approval rating has dropped to 5 percent for a second week, according to a poll conducted by Gallup Korea and released on Friday, the lowest number for a South Korean president since such polling began under democratically elected leaders in 1988.

Gallup Korea, based in Seoul, is not affiliated with U.S.-based Gallup, Inc.

No South Korean president has ever failed to finish their five-year term, but Park has faced growing pressure from the public and political opponents to quit.

Park has dismissed some of her most senior and closest advisers, and former aides have been arrested on charges of abuse of power. Choi, the friend who is believed to have been acquainted with the president since the 1970s, has been charged with abuse of power and fraud.

Source: Reuters
 
Huyu Rais ataachia ngazi tu, sidhani kama ataendelea kushikilia hii nafasi kwa nguvu, lazima atakua anapewa presha balaa.
Inabidi Tanzania tujifunze kitu kutoka kwa hawa jamaa, kwanza wameandamana watu laki kadhaa na hakuna fujo iliyotokea, hakuna duka lililo vunjwa, mtu aliyepigwa wala nini, full amani. Pili hawajatishiwa polisi wala kuchukuliwa hatua zozote, watu wengi tayari wameishajiuzulu wakikubali kua wameshidnwa kazi, bado Rais tu kujiuzulu na yeye ndiye chanzo cha yote haya.

Turudi Tanzania UKUTA wanajeshi walizagaa kila kona wanasema ni siku ya usafi, sijawahi ona nchi inajiandaa kiasi kile utasema tunajipanga kupigana vita, mtu akichukua uongozi anasahau yupo pale kwa ajili ya watu, anadhani yupo pale kutandika watu na kuongoza kibabe. Lakini nisilaumu tu serikali, watanzania mnaoingia online wachache mnaweza kua watulivu, ila waliopo mtaani vila-za milioni kadhaa, vibaka kibao, haiwezekani kua na maandamano ya amani hata siku moja, kila watu wakiandamana lazima wavamie maduka kuiba vitu, wapige watu, kuna watu wakiitwa nyani siwezi shangaa, wana tabia za nyani. Anayesema Tanzania nchi yenye uhuru na amani hajatembea, labda kafika Kenya na kurudi.
 
Si bure

Kuna mguu wa mtu hapa

Haiwezekani gari za kampuni moja zikaanguka kwa style na wakati mmoja


Mtu anayefananisha haya matukio duniani na UKUTA apigwe tu

Maana havifanani hata robo!!!


UKUTA LAZIMA UNGEONA MOSHI MWINGI WA PAPLICA
 
Lengo la kuandamana wana n nzur na.wana.hoja ya maana...wapinzan walipo kuwa huru kipindi cha kikwete waliweza kuandamana kuhusu km RICHMOND,EPA nk

Sasa sijui UkUTA kaz ipo
Na kipindi hiki kuna
kashafa ya lugumi nk...

Police wapo wanawalinda wao wanaoandamana na mali.za raia ktk hiyo sehem,maana hata kwa wenzentu watu wenye akili za.vibaka wapo..ila bongo sasa

Napita tuu
 
Huyu Rais ataachia ngazi tu, sidhani kama ataendelea kushikilia hii nafasi kwa nguvu, lazima atakua anapewa presha balaa.
Inabidi Tanzania tujifunze kitu kutoka kwa hawa jamaa, kwanza wameandamana watu laki kadhaa na hakuna fujo iliyotokea, hakuna duka lililo vunjwa, mtu aliyepigwa wala nini, full amani. Pili hawajatishiwa polisi wala kuchukuliwa hatua zozote, watu wengi tayari wameishajiuzulu wakikubali kua wameshidnwa kazi, bado Rais tu kujiuzulu na yeye ndiye chanzo cha yote haya.

Turudi Tanzania UKUTA wanajeshi walizagaa kila kona wanasema ni siku ya usafi, sijawahi ona nchi inajiandaa kiasi kile utasema tunajipanga kupigana vita, mtu akichukua uongozi anasahau yupo pale kwa ajili ya watu, anadhani yupo pale kutandika watu na kuongoza kibabe. Lakini nisilaumu tu serikali, watanzania mnaoingia online wachache mnaweza kua watulivu, ila waliopo mtaani vila-za milioni kadhaa, vibaka kibao, haiwezekani kua na maandamano ya amani hata siku moja, kila watu wakiandamana lazima wavamie maduka kuiba vitu, wapige watu, kuna watu wakiitwa nyani siwezi shangaa, wana tabia za nyani. Anayesema Tanzania nchi yenye uhuru na amani hajatembea, labda kafika Kenya na kurudi.
Nashukuru kwamba umegundua hata aina yao ya kuandamana inatofautiana kabisa na ya kwetu.

Watu wameachia ofisi kwa pressure ya wananchi.kweli wazungu ni wazungu tu.
 
Dunia siyo static asee, 2012 wakati wa uchaguzi uliomchagua huyu mama nilibahatika kuwa Korea kikazi, nachoweza kusema mama alipendwa sana hasa na kundi la vijana. Vijana wakitumia apps maarufu ya nchi hiyo KAKAOTALK, walihamasishana sana kumchagua huyu mama. Leo wamemgeuka? Viongozi wa kidunia wasiache kujifunza kutokana na yanayoendelea duniani kwa sasa.
 
1. Yule mama wa Brazil 'walimfurumusha' ikulu.
2. H. Clinton alidhani ameshinda kutokana na kelele wa mashabiki, naye akakatwa juu kwa juu.
3. Naona wa Ujerumani akigangamala, japo sioni kama ana pumzi ya kusukuka kete hapo mwakani.
4. Yule wa Malawi sijui amepotelea chocho gani.
5. Wa Liberia habari zake sizisikii.
 
Back
Top Bottom