RWANDA: Jiji la Kigali lapanga kuyaondoa barabarani magari yote binafsi na kuanza kutumia usafiri wa umma kama njia ya kupunguza foleni.
========================
Rwanda plans to phase out the use...
Airport operations at Hong Kong International Airport have been seriously disrupted, all flights have been cancelled. All passengers are advised to leave the terminal buildings as soon as...
Aliyekuwa Rais wa Sudan tangu mwaka 1989 amekuja kuondolewa madarakani bila wengi kutarajia.
Cha kushangaza zaidi (kwangu mimi) kuondolewa kwake kuliasisiwa na raia wake (civilians), baadaye...
Vita vinavyoendelea vya kibiashara baina ya Marekani na China tayari vimeanza kuiathiri Huawei. Utendaji wa kampuni umeripotiwa kuwa ni dhaifu kufikia hadi mwezi Juni.
Ambalo haliko wazi ni...
Irani yakamata meli ya mafuta, Ghuba ya Uajemi 'iliyokuwa ikisafirisha mafuta kimagendo kwa nchi za Kiarabu'
Jeshi la IRGC la Irani limekamata meii ya mafuta katika Ghuba ambayo ilikuwa...
Idadi ya vifo inayotokana na mafuriko yaliyoambatana na dhoruba kali nchini India imefikia watu 154 huku zaidi ya watu milioni moja wakihamishiwa katika kambi za muda.
Kwa mujibu wa maafisa wa...
India successfully test fires Quick Reaction Surface-to-Air Missile
DRDO successfully flight tested QRSAM air defence system at Balasore flight test range. (Photo: ANI)
India on Sunday...
Zaidi ya watu 141 wamefariki nchini Pakistan na wengi zaidi(zaidi ya 100) kujeruhiwa katika moto uliowaka baada ya gari la mafuta kupinduka.
Watu hao walijikuta katika sekeseke hilo baada ya...
A RwandAir jet readies for boarding at Jomo Kenyatta International Airport in Nairobi.
RwandAir will unveil flights to two new Southern African destinations starting next month...
In the latest exposé of Rwanda’s poverty statistics, our experts reveal the methodical faking of statistical evidence. Until now the working assumption had been that this was a methodological...
Maelfu ya Watu Waandamana Mjini Moscow
Maelfu ya watu wameandamana mjini Moscow, Urusi hii leo, Jumamosi katika kile kinachotajwa kuwa maandamano makubwa sana kufanyika yenye lengo la...
Bwana Trump amesema nchi yake haitafanya biashara na huawei tena na sasa amesitisha vibali vyote vya makampuni ya teknolojia yaliyoomba ili yaiuzie vifaa Huawei.
Kwa sasa Trump amesema ile ruhusa...
Pakistan imetangaza hatua ya kumfurusha mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa India na kusitisha biashara kati yake na India kufuatia mzozo wa eneo la Kashmir.
Wakati huo huo Umoja wa Mataifa, UN...
Mara mbili kila mwezi, siku za jumapili panakuwa hamna magari kabisa barabarani ili kuruhusu watu wapate fresha air walau mara mbili kwa mwezi na kujiepusha na mimoshi ya magari
Russians Say Soviet Rule Was ‘Closer to People’ Than Current Regime
Andrei Nikerichev / Moskva News Agency
More people in Russia view the late Brezhnev era of the Soviet Union as “close to the...
Wakuu,
Hii ni mara ya kwanza kuona jumuiya ya kimataifa ikitoa statement kama hii against kiranja mkuu Marekani. Siasa za dunia zinabadilika au ushawishi wa Marekani upo compromised?