Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,875
- 62,455
Mkuu Mlima sinai aka Jabal Mussa upo Egypt Misri. Jitahidi assignment usikosee hio
Hata Kenya wanadai mlima Rungwe iko Nakuru, siwashangai Saudi Arabia wwakisema Sinai iko kwao
Mlima Sinai (kwa Kiarabu: جبل موسى jabal Musa = mlima wa Musa) ni mlima wenye kimo cha mita 2,283 juu ya UB katika eneo la kusini la Rasi ya Sinai nchini Misri. Unajulikana pia kwa jina la Mlima Horeb au kwa jina lake la Kiarabu kama Gebel Musa(matamshi ya Kimisri) au Jabal Musa(matamshi ya Kiarabu sanifu).
Mlima Sinai unaaminiwa tangu kale kuwa ndio mahali ambako Musa alipokea amri kumikutoka kwa Mungu wakati wa Wanaisraelikuacha utumwa wa Misri.
Kilele cha mlima kina kanisa la Waorthodoksilenye asili ya jengo la Kaisari Justinianol la mwaka 532 na pia msikiti wa karne ya 12.
... exactly, this is what I was also thinking!So what
... exactly, this is what I was also thinking!
... kwani ukiwa upo Misri au Saudi Arabia ya leo inaongeza au kupunguza nini? Ya nini kujisumbua na vitu irrelevant? Basi let's assume uko Saudi Arabia; then?
So what
Uzuri wa jambo sio wao waliosema hivo... Ni mabeberu wenyeweHata Kenya wanadai mlima Rungwe iko Nakuru, siwashangai Saudi Arabia wwakisema Sinai iko kwao
Tusema upo Makka!
Then????
Mkuu Sinai ipo Katavi.