Ilitakiwa balozi zote za Africa nazo zitoe travel warning ili wote tuwe one page! Africa ikivamiwa supermarket nchi nzima inaoneshwa si salama!Habari zote duniani huanzia USA
Kwasababu binafsi sijawahi kuona shirika kubwa la kimataifa likitoa travel warning kwa nchi ya Marekani. Wewe umewahi kushuhudia? Hivi vitendo vilivyotokea juzi ni vya kwanza?Kuna uhusiano gani wa ushawishi wa Marekani na hiyo alert iliyotolewa ?
Huenda ina lengo maalum la kuishinikiza serikali ya Trump ichukue hatua mathubuti juu ya GUN VIOLENCE Na hasa baada ya EL PASSO shootings.Wakuu,
Hii ni mara ya kwanza kuona jumuiya ya kimataifa ikitoa statement kama hii against kiranja mkuu Marekani. Siasa za dunia zinabadilika au ushawishi wa Marekani upo compromised?
View attachment 1176305
Mkuu hiyo ni verified account ya tweeter ya Amnesty international.Hiyo ni fekelo,haina ukweli wowote.
Hii sio lugha ya AI.Wakuu,
Hii ni mara ya kwanza kuona jumuiya ya kimataifa ikitoa statement kama hii against kiranja mkuu Marekani. Siasa za dunia zinabadilika au ushawishi wa Marekani upo compromised?
View attachment 1176305
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us