Aliyekuwa Rais wa Sudan tangu mwaka 1989 amekuja kuondolewa madarakani bila wengi kutarajia.
Cha kushangaza zaidi (kwangu mimi) kuondolewa kwake kuliasisiwa na raia wake (civilians), baadaye jeshi likachukua hatua ya kumuondoa amiri jeshi mkuu madarakani.
Hili limemenya nijiulize maswali kadhaa bila majibu.
1. Kwanini jeshi lilisubiri mpaka raia waanzishe vugu vugu ndiyo wachukue hatua?
2. Kama jeshi limekuwa tiifu kwa miaka takribani 30, imekuaje wakati huu waone imetosha?
3. Ukiacha jeshi kuchukua hatua, kwanini vyombo vingine vya usalama havikuonesha upinzani kwa jeshi?
4. Kwanini vingozi wengine wakiwemo wale wa usalama wamewajibishwa pamoja na al Bashir pamoja na kuwa hawakuonesha upinzani?
cc: Daby , Malcom Lumumba , Sky Eclat , Nyani Ngabu , Kiranga , FaizaFoxy , Bujibuji etc