US issues warrant to seize Iranian oil supertanker

US issues warrant to seize Iranian oil supertanker

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,730
Reaction score
47,006
Mambo yanaelekea kuwa ni Moto. Wale Pro Iran njooni muone movie inayoenda kutokea.
Screenshot_20190817-085033.jpeg
Screenshot_20190817-085047.jpeg
 
Hapa ndio tutaona Mayatolah kweli ni vichwa ngumu au nguvu ya Soda
IRan wamesema
the ship was awaiting the arrival of a new crew before it would leave Gibraltar.
The Grace 1 was to be renamed and switch to the Iranian flag for its onward journey, the deputy head of Iran’s ports and maritime organisation, Jalil Eslami, told Iranian state television Friday.
Usicheze na hao jamaa wapo vizuri!!
 
Mm kwanza wanipe footage ya kudunguliwa drone ya iran ile walotangaza ndio naweza nika waamini hawa wanaimba sana twaarab hakuna anaeweza ikamata meli ya iran na kama watajitoa ufaham wakaimata basi wajue yakwamba hawataachwa bila majibu
 
Ngoja tuone mwisho wa movie utakuwaje
Hapa ndio tutaona Mayatolah kweli ni vichwa ngumu au nguvu ya Soda
IRan wamesema
the ship was awaiting the arrival of a new crew before it would leave Gibraltar.
The Grace 1 was to be renamed and switch to the Iranian flag for its onward journey, the deputy head of Iran’s ports and maritime organisation, Jalil Eslami, told Iranian state television Friday.
Usicheze na hao jamaa wapo vizuri!!
Na Leo Meli hiyo imeanza kuondoka Glibratar....Tuone km US ana Gut ya kuikamata maana anawaelewa vizuri wa Iran....Utashangaa Abraham Lincoln Aircaraft carrier hawa waajaemi wanapita nayo
Isipo kamatwa!?
Juwa bado wao wana kishika uchumba!
US hawana ubavu huo nawaambia hatathubutu kuisogelea
USA anapata tabu sana dhidi ya Iran
Nini kitatokea ikiwa marekani atakamata meli ya Iran iliyopo girbalter??

Write your reply.......
 
Mimi sijui. Je ? Wewe unaonekana kuna nini
Mimi nazani moja kati ya haya linaweza kutokea iikiwa meli ya Iran itazuiliwa na marekani;

1.Meli ya uingereza haitaachiliwa na Iran

2.Meli yoyote ya UK/US itakayokatiza strait hormuz itakamatwa.

3.Hali ya uhasama kati ya US na Iran itaongezeka maraduf
.
4.Hali ya hatari itaongezeka strait of hormuz meli nyingi zitashambuliwa au kukamatwa.

5.Iran itatuma meli za kivita ili kuisindikiza/kuilinda meli yao ya grace 1.
 
Upo sawa kabisa ... haya yote yawezekana
 
Nini kitatokea ikiwa marekani atakamata meli ya Iran iliyopo girbalter??

Write your reply.......
Hawa jamaa walivyo sema itaenda chukuliwa na crew wapya wamenifikirisha wamepewa maelekezo gani huu mtanange unafikirisha Sana Sana!
Kuna uwezekana wakalipuwa hio meli maana jamaa hawata kubali mashart yoyote inaelekea wanatumwa watu ambao washajitolea kufa au kupona na ikilipuliwa kwa kukataa mashart ya kutekwa kitakachofuata ni vita!!!
 
Back
Top Bottom