International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Maafisa nchini Uganda wanasema msichana wa miaka 9 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo aliyethibitishwa kuwa na virusi vya Ebola Alhamisi amefariki Uganda akipokea matibabu. Maafisa wanaeleza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Breaking news... Former President Sir Dawda Kairaba Jawara has died, family sources have told The Fatu Network. Jawara died a few moments ago aged 95. Mzee Jawara alizaliwa May 1924, alisoma...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Liao Mengxue, 24 and Tong Zhenhuan, 24 from Hunan women tracking team got the fourth place at 4 × 400 metres relay 2019 IAAF World Relays in Yokohoma, Japan. Japanese viewers can't believe that...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hatua ya Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson kusababisha bunge kusitisha vikao vyake imezusha mjadala. Kiongozi wa upinzani Jeremy Corbyn akimwandikia barua Malkia Elizabeth kueleza...
2 Reactions
68 Replies
7K Views
August 22, 2019 Washington D.C The Executive Board of the International Monetary Fund (IMF) made the following statement today: “The Executive Board has today recommended that the IMF Board of...
0 Reactions
1 Replies
745 Views
Mimi binafsi nahitaji kwenda miji mitakatifu ya Mecca na Madina kwa ajili ya utalii. Mwenye kujua utaratibu tafadhali anifahamishe. Nimeandaa 7000 USD kwa ajili ya viza, nauli, malazi na chakula...
2 Reactions
62 Replies
8K Views
Mashirika 100 yameondoka Uingereza na kuhamia Uholanzi kwa sababu ya Brexit Aug 27, 2019 07:17 UTC Tangu ilipofanyika kura ya maoni nchini Uingereza ya kujitoa nchi hiyo katika Umoja wa Ulaya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Israel awa wa kwanza kumgusa Iran kidevu kwa kupiga kwa mabomu ngome za Iran ndani ya Syria, hii wamesema ili kuondoa uwezo wa Iran kuitumia Syria kama eneo la kurushia mashambulizi ya drones...
7 Reactions
57 Replies
5K Views
Yuko Wapi Mansa Kankan Musa wa Zama Hizi? on August 26, 2019 Zama Waislamu walipokuwa na hatamu na izza duniani, waliujaza ulimwengu kwa kheri na baraka. Neema zilienea katika mgongo wa ardhi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Obadele Kambon, Mmarekani mwenye asili ya kiafrika hajawahi kujutia hatua yake ya kuhamia nchini Ghana tangu mwaka 2008. Aliapa kutorejea tena nchini humo baada ya tukio la kukamatwa kwake...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya jaribio la kombora la masafa mafupi hapa majuzi,japan ina wasiwasi kuwa huenda jamaa anaunda kombora linaloweza kupenya na kutoonwa na makombora ya ulinzi. Tusimdharau kiduku,mambo yake...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Bahrain yaunga mkono mashambulio ya anga ya Israel dhidi ya Lebanon na Iraq Aug 27, 2019 07:16 UTC Waziri wa Mambo ya Nje wa Bahrain amesema, mashambulio ya kivamizi yaliyofanywa hivi karibuni na...
0 Reactions
3 Replies
979 Views
Rais Buhari wa Nigeria alisema kutakuwa na mkutano wa pamoja na majirani zake wa eneo la kaskazini Benin na Niger ili kuzungumzia hatua za kuchukuliwa kudhibiti biashara ya magendo kuvuka mipaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jeshi la Yemen lazidi kuyatwanga kwa makombora maeneo ya mvamizi Saudia Aug 27, 2019 11:54 UTC Jeshi na Kamati za Kujitolea za Wananchi wa Yemen zimelitwanga eneo la Jizan la kusini mwa Saudi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Brazil imeukataa msaada kutoka kundi la mataifa saba yaliyostawi zaidi kiviwanda, G7, ulionuwiwa kusaidia kudhibiti moto unaoendelea kuteketeza sehemu kubwa za msitu wa Amazon, huku rais wa nchi...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Those qualities define our kind of destination. We could rattle off plenty of spots that fill the bill: the timeless, silent fjords knifing into the southwestern coast of New Zealand's South...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Imenibidi niilete hii makala ya BBC ili wanaopotosha kwa kutoelewa waisome na iwanufaishe wengine ambao walikua hawaijui hii summit. The G8 summit is an annual meeting between leaders from eight...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwasisi wa uhuru na mwanzilishi wa Jamhuri ya Gambia, Dawda Jawara, amefariki dunia Agosti 27, 2019 akiwa na umri wa miaka 95...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
G7 na kikundi cha nchi zinazjiita zenye viwanda sana, ingawa kwa leo madai hayo siyo sahihi sana kwani India, China na Brazili pia zina viwanda sana. Kikundi hiki kianza mwaka 1974 wakati wa...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…