What is G8 (G7) and what does it do?

What is G8 (G7) and what does it do?

Mbasembase1970

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
6,056
Reaction score
4,608
Imenibidi niilete hii makala ya BBC ili wanaopotosha kwa kutoelewa waisome na iwanufaishe wengine ambao walikua hawaijui hii summit.

The G8 summit is an annual meeting between leaders from eight of the most powerful countries in the world.
The aim is to try to tackle global problems by discussing big issues and planning what action to take.
The leaders of the countries meet every year in a different member country.

Why's it called G8 and who's in it?
G8 stands for Group of Eight and is made up of leaders from Canada, France, Germany, Italy, Japan, Russia, the UK and the United States of America.
The leaders of these countries take it in turns to be president of the G8, with the leader of the host country acting as the president that year.
In 2013 David Cameron is president as the summit is being held in Northern Ireland, part of the UK.

How long has the G8 been happening for?
The first summit was in 1975 - but back then it was just six countries, known as the G6.
It was formed because of big worldwide money troubles in the early 1970s, which prompted the US to form something called the library group, a meeting of senior financial officials from Europe, Japan and the US.
In 1975, heads of governments became involved and they agreed to meet every year.
The G6 was made up of France, Germany, Italy, Japan, the UK and America. It then changed to G7 when Canada joined in 1976 and G8 with Russia in 1998.

What happens there?
The G8 summit is a busy schedule of meetings, statements and photographs for the press.
On the second day of the summit, leaders gather for an informal talk without lots of officials or the media. In the past leaders have discussed issues such as peace in the Middle East, aid for the developing world and how to stop terrorism.
The G8 members can agree on plans and set objectives but they can't force anyone to agree with them. However, the wealth and power of the G8 members means they are often listened to by other countries.

How long does the summit last for?
The G8 summit lasts for two days.

Why do people protest at G8 summits?
Recent summits have seen big protests and sometimes violence, meaning security is very high.
Critics say it's wrong that big countries like China and India are not represented.
There are also no African or Latin American members and some says that the G8 leaders ignore the needs of the wider world.
 
..Jpm angehudhuria huko angeweza kuitangaza nchi yetu, jitihada za ujenzi wa viwanda, na mazingira yaliyoboreshwa ya uwekezaji.

..Safari za nje za KIMKAKATI zina faida kwa nchi kama yetu.

..Tukifanikiwa kujipenyeza na kupata mualiko ktk moja ya mikutano ya G7 nina uhakika tutaibuka na mradi mkubwa wa uwekezaji.
 
... kumbe Russia nayo ni beberu nowadays? Of course China hata kama haimo kwenye list ni beberu la mashariki maana anavyozishikisha adabu shitholes walioshindwa kulipa madeni yake sio mchezo!
 
Sijui PK anatumiaga mbinu gani kujichanganya na hawa mabeberu japo rekodi yake ya demokrasia haivutii! Jamaa anakunywa nao kahawa sana kwenye vikao vyao sijui sisi tunakosea wapi.
 
Wanahudhuria wale tu walioalikwa. Mwaka huu kaalikwa Kagame wa Rwanda pia Ramaophosa rais wa Senegal. Na hao wote wana nafasi kwa Afrika Moja alikua mwenyekiti wa AU mkutano uliopita na mwingine ni mwenyekiti wa sasa na moja ni mwenyekiti wa NEPAD
 
... kumbe Russia nayo ni beberu nowadays? Of course China hata kama haimo kwenye list ni beberu la mashariki maana anavyozishikisha adabu shitholes walioshindwa kulipa madeni yake sio mchezo!
Wakati huu mkutano unanzishwa mwaka 1975 china ilikua kama sisi. Haikua moja ya nguli duniani kiuchumi. Na mwanzo ilikua G6. Hii ilikua Summit no 44 Russia walitemwa sababu ya Vrimea 2014
 
... kumbe Russia nayo ni beberu nowadays? Of course China hata kama haimo kwenye list ni beberu la mashariki maana anavyozishikisha adabu shitholes walioshindwa kulipa madeni yake sio mchezo!
Labda wanaogopa atachomoa betri katikati ya kikao
 
Wakati huu mkutano unanzishwa mwaka 1975 china ilikua kama sisi. Haikua moja ya nguli duniani kiuchumi. Na mwanzo ilikua G6. Hii ilikua Summit no 44 Russia walitemwa sababu ya Vrimea 2014
Naona hawaangalii GDP tu kuwa sehemu ya G(8)
 
Sijui PK anatumiaga mbinu gani kujichanganya na hawa mabeberu japo rekodi yake ya demokrasia haivutii! Jamaa anakunywa nao kahawa sana kwenye vikao vyao sijui sisi tunakosea wapi.

..Kagame kinachomlinda ni genocide iliyotokea Rwanda.

..wakubwa wanamuonea aibu kwasababu walikaa pembeni wakati mauaji yale yanatokea.

..Na Kagame kabla hajajushughulikia lazima aka-brand kuwa unatetea genocide.

..Hakuna yeyote aliyekosana na Kagame halafu hakuhusishwa na genocide.

..Nakumbuka hata Kikwete alipotofautiana na Kagame, wakaibuka watu waliosambaza uongo eti Mama Salma Kikwete ni Mhutu.
 
Wanahudhuria wale tu walioalikwa. Mwaka huu kaalikwa Kagame wa Rwanda pia Ramaophosa rais wa Senegal. Na hao wote wana nafasi kwa Afrika Moja alikua mwenyekiti wa AU mkutano uliopita na mwingine ni mwenyekiti wa sasa na moja ni mwenyekiti wa NEPAD

..Jpm alikuwa mwenyekiti wa eac.

..sasa hivi ni mwenyekiti wa sadc.

..tukifanya lobbying anaweza kualikwa.

..tatizo Diplomasia yetu inaongozwa na watu "waliodata" ktk mikwaruzano ya miaka 70 na 80.
 
..Jpm alikuwa mwenyekiti wa eac.

..sasa hivi ni mwenyekiti wa sadc.

..tukifanya lobbying anaweza kualikwa.

..tatizo Diplomasia yetu inaongozwa na watu "waliodata" ktk mikwaruzano ya miaka 70 na 80.
Lobby ya namna gani. Mbona Brazil wspo mbali sana na hawajalikwa safari hii. Halafu huu mkutano viongozi wa Afrika wanaenda kuuza sura tu hakuna la maana na wala hawasikilizwi. Kumbuka maafa ya Libya hawa jamaa walijifungia wenyewe kujadili baadae wakatoka nje kupiga picha na kina Bohari
 
Wakati huu mkutano unanzishwa mwaka 1975 china ilikua kama sisi. Haikua moja ya nguli duniani kiuchumi. Na mwanzo ilikua G6. Hii ilikua Summit no 44 Russia walitemwa sababu ya Vrimea 2014
Crimea
 
Lobby ya namna gani. Mbona Brazil wspo mbali sana na hawajalikwa safari hii. Halafu huu mkutano viongozi wa Afrika wanaenda kuuza sura tu hakuna la maana na wala hawasikilizwi. Kumbuka maafa ya Libya hawa jamaa walijifungia wenyewe kujadili baadae wakatoka nje kupiga picha na kina Bohari

..kualikwa ni hatua ya kwanza.

..hatua ya pili ni kiongozi kutumia fursa ya mwaliko kuipaisha nchi yako.

..kuna opportunity ya kufanya vikao vya kazi na viongozi wenzake.

..hatua ya tatu ni kufuatilia utekelezaji wa yaliyozungumzwa na kukubaliwa na viongozi.
 
Ninaamini Kabisa kuna vitu tunaweza kufanya tukapaisha nchi yetu zaidi ya hao wanaolikwa G8.

Tunahitaji mshikamano, Kwasasa hatuna mshikamano hivyo vinavyotunyima mshikamano tuviondoe kwanza.

Kama hautuna mshikamano hata tupewe uenyekiti G8 ni bure
 
Back
Top Bottom