International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Robert Mugabe ameondoka. maandiko yametimia: Kila nafsi itaonja mauti. Pamoja na kuondoka kwake maswali ni mengi yamebaki. Moja ya maswali ni kisa cha mauaji ya mvua za vuli. Mapema miaka ya...
9 Reactions
18 Replies
3K Views
Watu 23 wameokolewa kutoka katika meli urefu wa futi 656 inayojulikana kwa jina la Golden Ray baada ya kupinduka ikiwa katika pwani ya Brunswick huko Georgia Marekani Kikosi cha uokoaji...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Lebanon's Hezbollah Israeli drone in southern town Al-Manar TV says Israeli drone is now in the hands of Hezbollah's fighters after it was shot down in the town of Ramyah. 1 hour ago...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Serikali ya Sierra Leone imesema kuwa itaunda kamati ya kuchunguza tuhuma za walinzi wa Rais Julius Maada Bio kuwashambulia wanahabari Wanahabari hao wameripotiwa kushambuliwa kwa kipigo wakati...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Trump awashangaza tena Wamarekani kwa bwabwaja zake, asema: Vimbunga vishambuliwe kwa bomu la nyuklia! Aug 26, 2019 06:01 UTC Donald Trump  Rais Donald Trump wa Marekani ameendelea kutoa matamshi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
London, Uingereza (AFP). Shirika la Ndege la Uingereza (BA) limefuta karibu safari zote kutoka au kuingia Uingereza, baada ya kuibuka kwa mgomo wa kwanza wa marubani ambao umesababisha kuvurugika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mugabe didn’t fail Zimbabweans, the West did and here is proof How to turn blind...
0 Reactions
2 Replies
918 Views
Hali ni mbaya sana Tehran haitamaniki watalii wamekauka Wananchi wanakaribia kufikia kikomo cha uvumilivu Katika count za mashhad na birjand wananchi wameanza kuichoka Serkali wanahasira na...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Hezbollah says shots down Israeli drone over Lebanon Home / Middle East / Lebanon A Hezbollah fighter holds an anti-aircraft missile (R), as he takes his position with his comrade between orange...
1 Reactions
1 Replies
823 Views
Moto unaoendelea kuwaka katika msitu wa Amazon nchini Brazil umevuka mpaka na kuteketeza hekta elfu moja na mia saba za misitu nchini Bolivia. Ofisa wa Idara ya Misitu ya eneo la Santa Cruz...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Takribani watu 11 wamefariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupinduliwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa Kikosi cha uokoaji kimefanikiwa kuwaokoa watu 27 waliokuwa wakisafiri kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watu 29 wamuawa Kaskazini mwa Burkina Faso katika mashambulio mawili. Lori la uchukuzi limekanyaga bomu la kutegwa ardhini lililotengenezwa kienyeji na kusababisha vifo vya watu 15...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
https://www.christianpost.com/news/they-accept-us-as-we-are-christians-join-forces-with-muslim-group-hezbollah-to-fight-isis-in-lebanon-138975/?fbclid=IwAR1z37vigT55Xdd71XTF3W3YuAXynKL1rm_ciOiApzDG...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
BRAZIL: Maelfu ya Wanawake wameandamana kupinga mchakato wa sheria itakayokataza utoaji wa mimba. > Sheria hiyo itaharamisha utoaji wa mimba zote hata zile zilizotokana na ubakaji. Wanawake hao...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
US Secretary of State says talks with the Taliban are '' dead for the time being'' Mike Pompeo says Special Envoy is being recalled to decide the way forward. Taleban says ''Americans will suffer...
0 Reactions
3 Replies
652 Views
Iran imethibitisha itatumia mashine za kisasa zaidi kurutubisha madini yake ya urani katika awamu ya tatu ya kujiondoa kwenye mkataba wa nyuklia wa mwaka 2015 kati yake na mataifa yenye nguvu...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya machafuko yanayo endelea nchini Sauzi, na wa Sauzi kupora mali na kuchoma maduka ya Raia wa kigeni nchini humo. Raisi wa Nigeria Buhari, ametuma ndege Nne ziwachukue raia wake wa Nigeria...
15 Reactions
106 Replies
11K Views
Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi nchini Afrika Kusini. Kwa mujibu wa ofisi ya rais ya Afrika Kusini ziara hiyo inatokana na vurugu za chuki dhidi ya wageni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom