Hezbollah ina hadi wakristo ndani yake kwa maelfu wakiwa na lengo moja la kuleta uthabiti katika nchi yao

Mshia halisi ashirikiane na mnaswara kweli hilo ni gumu kumeza mkuu....
una uhakika ndugu? Tz kuna mashia na imamu wao anaitwa Jalala,mtafute kwenye mitandao ya kijamii anapatikana,halafu mrejesho kaa nao au rudisha hapa kama ukipenda.
Nalog off
 
una uhakika ndugu? Tz kuna mashia na imamu wao anaitwa Jalala,mtafute kwenye mitandao ya kijamii anapatikana,halafu mrejesho kaa nao au rudisha hapa kama ukipenda.
Nalog off
Niliwahi muona kwenye kongamano flan hivi
 
Ndio ujue Uislam ni dini ya Amani duniani na yenye upendo kwa ata wasiokua Waislam, tofauti na propaganda zinavyoenezwa na watu wachache walionachuki dhidi ya Uislam, Uislam unampa haki kila kiumbe apa duniani, Ukiskia ni dini ya haki basi ndio maana yake hio
Mshia halisi ashirikiane na mnaswara kweli hilo ni gumu kumeza mkuu....
 
Kweli coz HezboLlah ni jeshi mfano kama wa serikali jamaa wanahela sana, wamejenga zaidi ya mashule 200 ambayo wanasomesha wananchi wa Lebanon buree, wanapotoa ajira za kijeshi wanatoa kwa raia wa Lebanon na sio eti kwamba sharti uwe Muislam, wanamiliki bunge la Lebanon, wanawabunge wengi sana, kiufupi wanawavutia jamii zote bila ya ubaguzi wwte, ndio maana wana nguvu sana, tofauti na wanavyovumishiwa eti ni kikundi tu flan
Kweli? Au propaganda tu hizi!
 
Back
Top Bottom