MWANAJESHI mmoja wa Urusi amewapiga risasi wanajeshi wenzake wanane na kuwajeruhi vibaya wengine wawili katika kambi ya kijeshi iliopo mashariki kulingana na maofisa.
Askari huyo, Ramil...
Nianze kwa kuwasalimia, nakuwatakia heri ya mwaka mpya Watanzania na Waafrika wote!
Mnamo januari 14,2011 aliyekuwa rais wa Tunisia bwana Zine El Abidine Ben Ali alipinduliwa kutokana na kile...
The mysterious flight between the two nations had many asking "Whodunnit?"
A privately owned, unidentified Challenger 604 jet departed from Ben-Gurion International Airport, landing first in the...
Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani, Mike Pompeo ametoa taarifa kuwa wameiagiza wizara ya usafirishaji ya nchi hiyo kusimamisha safari zote za kuelekea Cuba isipokuwa zile za kuelekea uwanja wa...
Mahakama ya Bangladesh leo imewahukumu kifo watu 16 kwa mauaji ya Nusrat Jahan Rafi (19) aliyechomwa moto akiwa hai baada ya kufikisha malalamiko yake Mahakamani kuwa alibwakwa na Mkuu wa shule ya...
ABU BAKR 'S DEATH IS GOOD AWAITED NEWS FOR MANY PEACE LOVERS ACROSS THE GLOBE
The announcement of the death of the ISIS terrorist leader following a US Special Forces operation is of course a...
Ni pale nchi zenye majeshi na vifaa hatari mfano; Marekani na Russia wakianza kushirikiana kijeshi na kila mmoja kutooona tishio kwa mwenzake ujue wakati wa serikali moja umefika.
Ni pale UN...
About 350,000 people have protested in Barcelona over the jailing of separatist leaders from Spain's Catalonia region, police say.
The peaceful march was also organised to underline support for...
Mtoto wa Kiume wa miaka 2 amebainika kupooza baada ya chanjo ya Polio kushindwa kufanya kazi vizuri, bado hijafahamika kama kuna wagonjwa wengine nchini humo
Mgonjwa huyo amegundulika katika...
Idara za Polisi za England, Ireland ya Kaskazini na Ubelgiji zinaendelea na juhudi za kuitambua miili hiyo na jinsi gani imeweza kufikishwa Uingereza
Wabunge nao wamecharuka na kudai kuwa miili...
China 'to overtake US on science' in two years
David Shukman Science and environment correspondent, BBC News
China's surge in progress could soon overwhelm the US, say experts
China is on...
MGOGORO CATALONIA: MAELFU WAENDELEA KUHIMIZA KUJITENGA
-
Takriban watu 350,000 wameandamana huko Barcelona wakipinga kuhukumiwa kwa Viongozi wa kujitenga huko Catalonia, Uhispania
-
Maandamano...
Ndege nyingine mpya aina ya Airbus 330 - 300 imewasili leo nchini Rwanda hii ikiwa ni sehemu ya Shirika la Ndege nchini humo RwandAir kuingia soko la usafiri wa anga la Marekani na Ulaya
John...
Mwanamke mmoja nchini Urusi ameauawa na nguruwe aliokuwa anawafuga baada ya kuanguka kwenye banda la wanyama hao.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini Urusi, mwanamke huyo mwenye umri wa miaka...
Heshima kwenu wadau,
Moja kwa moja tuungane kwenye mada tajwa hapo juu
Wakati nakua, niliamini kwamba ili mtu awe rais anapaswa kuwa na Elimu kubwa kuliko wale wote anaowaongoza kama sivyo...
African presidents resist term limits: Guinea, Burundi, Cameroon, Rwanda, Uganda
21/10/2019
Guinea’s president Alpha Conde has become the latest African head of state to seek an extension his...
Karibu watu 10 wameuawa katika mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini Japan.
Kulingana na shirika la Kyodo, mvua kubwa imekuwa ikinyesha tangu jana, mji mkuu wa...
Mwanamke kutoka Misri amabaye aliaminika kuwa na uzito mkubwa zaidi Duniani amefariki huko katika Muungano wa Falme za Kiarabu, Eman Ahmed El Aty alisafiri mapema mwaka huu na kwenda India...