Mwanamke mzito zaidi Ulimwenguni afariki dunia

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
_98000076_weight1.jpg

Mwanamke kutoka Misri amabaye aliaminika kuwa na uzito mkubwa zaidi Duniani amefariki huko katika Muungano wa Falme za Kiarabu, Eman Ahmed El Aty alisafiri mapema mwaka huu na kwenda India kwaajili ya kufanyiwa upasuaji ili kupunguza uzito.

Hapo awali aliripotiwa kupungua zaidi ya kilo 300 kutoka kilo 500, amefariki kutokana na matatizo ya kiafya.

=====
An Egyptian woman once believed to be the world's heaviest has died in the United Arab Emirates.

Eman Ahmed Abd El Aty had traveled to India earlier this year for bariatric weight loss surgery.

Local media reported that she had lost more than 300kg (660lb) of her 500kg but had died from complications from other health conditions.

A hospital statement said the 37-year-old had heart disease and kidney dysfunction.

"Our prayers and heartfelt condolences go out to her family," said the hospital.

Ms. Abd El Aty had been in the UAE capital Abu Dhabi since May after being transferred following specialist surgery in Mumbai, India.

Before the surgery, her family said, she had not left her house for 25 years.

After an online campaign by her sister, she was able to travel to Mumbai on a chartered plane for help from an Indian surgeon.

However, she has transferred again after her family fell out publicly with the Mumbai medical team. The family had cast doubt on its claims about her weight loss.

Bariatric surgery, also known as weight loss surgery, is used as a last resort to treat people who are dangerously obese - i.e. having a body mass index of 40 or above, or 35 plus other obesity-related health conditions.

Source: BBC Africa
 
Eman Ahmed Abd El Aty raia wa Misri aliyekuwa mwanamke mnene zaidi duniani, afariki dunia akipatiwa matibabu huko Abu Dhabi, Umoja wa nchi za falme za Kiarabu.
FB_IMG_1506352401662.jpg

Mwanamke huyo alipelekwa Mumbai nchini India mwezi Mei kwaajili ya upasuaji.
FB_IMG_1506352410338.jpg

Kabla ya kuhamishiwa Abu Dhabi ambapo inadaiwa alishapungua kilogramu 300 kati ya 500 kabla ya mauti kumkutaa kwa madai ya matatizo ya kiafya yaliyojitokeza katika moyo na figo.
FB_IMG_1506352417727.jpg
 
Ni kama siamini vile, pumzika kwa amani. Moyo uliwezaje kupump damu mwili wote? Hakika hakuna kinachoshindikana kwa Muumba
 
How can you call her mnene yani, huyo si wakuita alikuwa na tatzo la kiafya? Hawezi kuwa kwenye group la wanene
 
Back
Top Bottom