Bangladesh: Watu 16 wahukumiwa kifo kwa mauaji ya msichana mdogo aliyechomwa moto akiwa hai

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,495
9,278
Mahakama ya Bangladesh leo imewahukumu kifo watu 16 kwa mauaji ya Nusrat Jahan Rafi (19) aliyechomwa moto akiwa hai baada ya kufikisha malalamiko yake Mahakamani kuwa alibwakwa na Mkuu wa shule ya kidini (Madrasa)

Kifo cha Nusrat kilichotokea mwezi Aprili kilihuzunisha wengi na kusababisha kuzuka kwa maandamano makubwa katika Taifa hili la Asia Kusini

=====================================

Nusrat.jpg

Women hold placards with a photograph of schoolgirl Nusrat Jahan Rafi at a protest in Dhaka.

A court in southern Bangladesh has sentenced 16 people to death over the murder of a student who was set on fire after she accused a teacher at an Islamic seminary of sexual harassment.

The ruling by a special women and children's tribunal on Monday came seven months after 19-year-old Nusrat Jahan Rafi's murder.

Rafi died from burn wounds in April after she was doused in kerosene and set alight for refusing to withdraw a sexual harassment complaint against the principal of the Sonagazi Islamia Senior Fazil Madrasa where she was a student.

Siraj Ud Doula, the head teacher, was among the 16 sentenced to death.

Speaking a day before the verdict was due, Mahmudul Hasan Noman, Rafi's brother, called for "maximum punishment" against the suspects as 12 of the 16 accused had confessed to the crime.

AKM Musa Manik, Rafi's father, said he hoped to get justice.

"The whole country had seen what happened to my daughter. She was an innocent girl and was brutally murdered for her strong stance against a wrongdoing."

Rafi's killing sparked protests across Bangladesh, prompting Prime Minister Sheikh Hasina to vow legal action in the case.

'Until my last breath'

Rafi had filed a complaint against Doula in March, saying he had called her into his office and touched her inappropriately. The petition led to the teacher's arrest.

Doula ordered Rafi's murder from prison, according to the police. His accomplices included two politicians with the ruling Awami League Party - Maksud Alam and Ruhul Amin - and several students at the Islamic school.

On the day of the attack, Rafi was lured to the roof of the school, where five others bound her hands and feet with a scarf and set her ablaze, the police said. The killers had planned to pass off the murder as a suicide, but Rafi managed to run downstairs after the flames burned through the scarf binding her limbs.

In the ambulance, Rafi identified some of her attackers in a video statement and said: "The teacher touched me. I will fight this crime till my last breath."

She suffered burns to 80 percent of her body and died in hospital five days later.

Her death sparked protests across Bangladesh, prompting Prime Minister Sheikh Hasina to promise speedy action in the case.

Maleka Banu, general secretary of Bangladesh Mahila Parishad, called Monday's ruling a "landmark verdict".

"It's not just about murder; the reason because of which Nusrat was killed shocked the whole country. She wanted to get justice for her sexual harassment, instead of getting that, she was killed brutally ... A verdict like this is necessary to let people know that you can't get away with sexual harassment."

Human Rights Watch welcomed the prosecution of the suspects but said it did not support the death penalty against the suspects.

"The brutality with which this young woman was murdered to silence her for daring to complain of sexual abuse had outraged many Bangladeshis. Human Rights Watch does not support the capital punishment because of its inherent cruelty, but we welcome the fact that the authorities prosecuted the perpetrators," said Meenakshi Ganguly, South Asia director at the human rights group.


Source: Al Jazeera
 
Religious extremists from any religion are dangerous people. A person who can't use common sense, humanity, empathy etc in regard of other people is not a human. Religion makes people think they are better than other's and act like gods. If Religion gives power to a human being to kill another just because the other person committed a certain kind of sin, that religion can do anything.
 
Ivi kwa nini walimchoma moto ikiwa alibakwa inamaana hawataki ashitaki kwa kosa alilofanyiwa hawa inatakiwa wakanyongewe hadharani kabisa.
 
Ivi kwa nini walimchoma moto ikiwa alibakwa inamaana hawataki ashitaki kwa kosa alilofanyiwa hawa inatakiwa wakanyongewe hadharani kabisa.
Nadhani, nawao walipaswa watafunwe kwanza tena mubashara na kisha wapakwe pilipili, baada ya hapo ndipo watobolewe matundu kutoka upande wa mbele wa vifua vyao na kisha mashimo yatokeze upande wa pili wa migongo yao, alafu wawekwe jikoni na waokwe taratibu wakati tanuru likiwakausha damu taratibu ili wakufe kwa maumivu makali
 
Ndio michezo yao hio watoto wa mudy. Kule Nigeria walifungia vijana kisha kuwaingilia kinyume na maumbile
 
Yah hutokea watu waovu kama hawa
kama ambavyo Makasisi bado wanaendelea Kulawiti vijana tena wakiume.
Wale walichokosea kutaka kumnyamazisha na lazma uelewe Sexual Harassment Allegations haimaanishi Kumbaka pekee , hata kumtongoza, kumshika kalio, ziwa n.k zote ni sexual assault
 
aliyechomwa moto akiwa hai baada ya kufikisha malalamiko yake Mahakamani kuwa alibwakwa na Mkuu wa shule ya kidini

Wapi wamesema marehemu "alibwakwa" ?????

Aliuliwa kwa kuchomwa moto, sio alichomwa moto akiwa hai, kwani kuna mtu anachomwa moto akiwa amekufa?

Elimu ya Tanzania na upeo wa watu kusoma, kuchambua, kutafsiri na kuandika taarifa ni finyu kupindukia.
 
Ukisema umebakwa na hakukuwa na mashahidi watu wasiasa kali wanachukulia umekiri udhinifu, inabidi ufe.
[/QUOTE__kwa hiyo huko mahakama zinafanana na hapa bongo zinahukumu kwa kuagizwa ilikuwaje warudi tena waseme waliomua na wahukumiwe kunyongwa mpaka kufa.
 
Back
Top Bottom