Mgogoro Catalonia: Maelfu waendelea kuhimiza kujitenga

Mgogoro Catalonia: Maelfu waendelea kuhimiza kujitenga

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,288
Reaction score
49,257
MGOGORO CATALONIA: MAELFU WAENDELEA KUHIMIZA KUJITENGA
-
Takriban watu 350,000 wameandamana huko Barcelona wakipinga kuhukumiwa kwa Viongozi wa kujitenga huko Catalonia, Uhispania
-
Maandamano hayo ya amani pia yalilenga kusisitiza msaada wa harakati juu ya mpango wa watu wa Jimbo la Catalonia kutaka kujitenga na kuwa huru
-
Maandamano ya kujitenga yalibadilika kuwa vurugu usiku wa jana, Jumamosi wakati Waandamanaji walipovamia na kushambulia Makao Makuu ya Polisi
-
Viongozi tisa wa Mpango wa Kujitenga walihukumiwa mnamo Oktoba 14 na Mahakama Kuu ya Uhispania kwa kati ya miaka 9 na 13 baada ya kupatikana na hatia ya uasi


L
IMG-20191027-WA0027.jpg
 
Back
Top Bottom