WhatsApp wanasema kuwa NSO Group walitumia teknolojia yao kufanya udukuzi kwenye mawasiliano ya WhatsApp ya Wanahabari na Watetezi wa Haki za Binadamu
WhatsApp inayomilikiwa na Facebook...
Irkut MC-21 achieves third round of EASA certification flights
Test pilots from the European Aviation Safety Agency (EASA) completed the third flight session of the MC-21-300 certification...
North Korean state news agency KCNA said on Friday another test of super-large multiple rocket launchers a day earlier had been a success, but the test drew protests from neighboring Japan and...
Idadi ya wanajeshi wa Mali waliouawa katika shambulizi la kigaidi lililotokea jana Novemba 01, imefikia 35. Jeshi la Mali limesema katika tovuti yake kwamba idadi hiyo imeongezeka kutoka 15 ya...
Aliyewahi kuwa Mrimbwende wa Taifa la Gambia. Fatou Jallow ametoa yuhuma hizo mbele ya Tume ya Ukweli na Maridhiao
Amesema kuwa Jammeh alimlazimisha amkatae mchumba wake ambaye walipanga kuoana...
ALIYETUNGA SHERIA KUZUIA UZINZI ABAMBWA AKIZINI
Mwanaume mmoja nchini Indonesia ambaye alishiriki kwa kiasi kikubwa kuandaa Muswada wa sheria ya kupinga vitendo vya uzinifu nchini humo amekamatwa...
Nimeshangazwa sana na stori ya mwanamke alie jinunulia jeneza, hayo yamekua ni maandalizi ya mazishi yake endapo atafariki dunia.
Amenunua jeneza lenye thamani zaidi ya Tsh 22million.
Huyu ni...
Waangalizi wa kimataifa kutoka Jumuiya ya nchi za Amerika wameanza tangu Alhamisi, Oktoba 31, uchunguzi wao kuhusu uhesabuji wa matokeo ya uchaguzi wa urais, wakati makabiliano kati ya raia...
Russia kuchagua sarafu mpya zitakazochukua nafasi ya dola Oct 22, 2019 03:17 UTC. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Fedha wa Russia ametangaza kuwa nchi hiyo imeanisha Euro na Yuan kuwa sarafu za...
Caption: Incoming Mossad director Yossi Cohen.
The Mossad and the IDF Intelligence branch prevented 50 terror attacks by ISIS and Iran in the past three years, many of them in Tukey...
Facebook yazifungia kurasa tatu kutoka nchini Urusi
Kampuni ya huduma ya mtandao wa kijamii, Facebook ilisema Jumatano kuwa imesimamisha mitandao mitatu ya akaunti za Kirusi ambazo zilijaribu...
Zambian female police officers have been banned from wearing miniskirts.
Zambia’s Police Assistant Director of Legal and Professional Standards announced the directive Tuesday, reports Zambia...
Watu 16 wamefariki baada ya treni ya mwendokasi kuwaka moto na wengine 13 wamejeruhiwa katika ajali hiyo iliyotokea mapema leo huko Liaqatpur karibu na mji wa Rahim Yar Khan
Waziri wa Masuala ya...
Tue Oct 29, 2019 07:38AM [Updated: Tue Oct 29, 2019 08:34AM ]
A convoy of US military vehicles, arriving from northern Iraq, drives past an oil pump jack in the countryside of Syria's...
The Pentagon has released video footage of the raid that led to the death of Islamic State leader Abu Bakr al-Baghdadi.
Marine Corps Gen. Kenneth F. McKenzie Jr., commander of U.S. Central...
Mwanamke mmoja nchini India mwenye miaka 21 anadaiwa kujiua kutokana na kudhalilishwa na mumewe kwa sababu ya ''rangi nyeusi'' ya ngozi yake.
Polisi wa jimbo la Rajasthan wamefungua kesi dhidi ya...
Magari haya pichani yamewasili nchini humo Siku ya Jana
Hapa akikagua gwaride la wakeze ambao kwa sasa ni zaidi ya kumi
Huku chini ni picha za uhalisi wa Wananchi wa chini wanateseka kwa...
rices.
Uamuzi huu wa Hariri umetokana na maandamano ya Wananchi yaliyodumu kwa muda wa wiki 2 yakimtaka aachie madaraka
Waziri Mkuu huyo amepata misukosuko ya kisiasa baada ya kudorora kwa uchumi...
Twitter yapanga kusitisha matangazo ya siasa, wasema mabandiko hayo yanapaswa kupendwa na kusambazwa na watu bure na si kulipiwa
Mtendaji Mkuu wa Twitter, Jack Dorsey amesema kuwa kuna biashara...
Mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14 huko nchini Burundi amefariki baada ya kupigwa na mwalimu wake, baba wa mtoto huyo ameiambia BBC.
Mtoto huyo, Chadia Nishimwe alipigwa viboko kwenye maeneo ya...