WhatsApp yalishitaki Shirika la Israel kwa kufanya udukuzi wa mawasiliano ya Wanahabari na Watetezi wa Haki za Binadamu

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,399
WhatsApp wanasema kuwa NSO Group walitumia teknolojia yao kufanya udukuzi kwenye mawasiliano ya WhatsApp ya Wanahabari na Watetezi wa Haki za Binadamu

WhatsApp inayomilikiwa na Facebook imelalamika kuwa udukuzi huo umefanywa kwa watu zaidi ya 1,400 walioko katika mataifa 20

Katika shauri hilo, WhatsApp wanasema watu waliolengwa zaidi ni kutoka nchi za Mexico, Bahrain na Muungano wa Nchi za Falme za Kiarabu

Aidha, wahanga wengine ni pamoja na Wanahabari Wanawake 100, viongozi Wanawake na watu ambao walishindwa kuuawa katika majaribio kadhaa

=========================

SAN FRANCISCO — WhatsApp sued the Israeli cyber surveillance firm NSO Group in federal court on Tuesday, claiming the company’s spy technology was used on the popular messaging service in a wide-ranging campaign targeting journalists and human-rights activists.

WhatsApp, which is owned by Facebook, claimed in the lawsuit that an NSO Group program that was intended to piggyback on WhatsApp was used to spy on more than 1,400 people in 20 countries.

The lawsuit did not say who was using NSO Group technology to target WhatsApp users. But the area codes for a number of phones that had been attacked indicated a focus on people in Mexico, Bahrain and the United Arab Emirates.

The filing of the lawsuit, believed to be the first by a tech company against a for-profit digital surveillance company, could be the “beginning of the end” of the rapid and largely unregulated adoption of these surveillance technologies, said John Scott-Railton, a senior researcher at Citizen Lab.

WhatsApp worked closely with Citizen Lab, a research group affiliated with the University of Toronto that aids victims of digital surveillance, in its investigation of the attacks, which took place from April to May.
The messaging service said the victims included 100 journalists, prominent female leaders, several people who had been targeted with unsuccessful assassination attempts, political dissidents and human rights activists — as well as their families.

The suit was filed in the United States District Court in the Northern District of California. NSO Group, which sells its surveillance technology to governments all over the world, said in a statement Tuesday that it disputed the claims in the WhatsApp lawsuit in the “strongest possible terms” and “will vigorously fight them.”
NSO Group added that its technology was used by intelligence and law enforcement agencies in lawful antiterrorism efforts and crime-fighting, and it “has helped to save thousands of lives over recent years.”

The investigation started after Citizen Lab charged that NSO Group’s technology had been used to exploit a WhatsApp security hole to hack the phone of a London lawyer. The hole was patched in May.

The lawyer had represented several plaintiffs in lawsuits that accused NSO Group of providing tools to hack the phones of a Saudi Arabian dissident living in Canada, a Qatari citizen and a group of Mexican journalists and activists. He contacted Citizen Lab.

The researchers said they discovered that NSO technology left digital crumbs that helped them uncover the spy campaign. The weakness: Whoever was using the NSO Group hacking tools had to place a WhatsApp call to their target. Even if the target did not pick up the phone, NSO’s technology would become embedded in the phone and provide access to all of its contents.

The missed calls, however, tipped off the lawyer, he told The New York Times.

After WhatsApp patched the security hole, NSO employees lamented that the company closed off a major espionage channel. An NSO employee even told a WhatsApp employee in a message: “You just closed our biggest remote for cellular,” according to the WhatsApp complaint.

Citizen Lab and WhatsApp would not name the individuals targeted, citing privacy policies.
WhatsApp said in a statement that it was informing affected customers with special WhatsApp messages. The company is seeking a permanent injunction to block NSO from its service, and called on lawmakers to ban the use of cyberweapons like those sold by NSO Group to governments.

“This should serve as a wake-up call for technology companies, governments and all internet users,” Will Cathcart, the head of WhatsApp, wrote in an opinion article in The Washington Post on Tuesday. “Tools that enable surveillance into our private lives are being abused and the proliferation of this technology into the hands of irresponsible companies and governments puts us all at risk.”

Mr. Cathcart also urged technology firms to join a call from the United Nations special rapporteur, David Kaye, for an immediate moratorium on the sale, transfer and use of dangerous spyware.

NSO Group is one of dozens of digital spy outfits that provide technology to track everything a target does on a smartphone. Its spyware allows governments to track the location, communications, contacts and web activities of targets. But such access can be easily abused.

NSO Group has said in the past that it limits the sale of hacking tools to governments with poor human-rights records, but it has little insight into how its tools are used once they are in government hands. The company has said it only learns and investigates cases of abuse when they surface in the media.
NSO Group’s technology has repeatedly been discovered on the phones of civilians.

In 2017, The Times helped uncover the use of NSO spyware on journalists, dissidents and consumer rights activists in Mexico. Since then, the spyware has been uncovered on the phone of the wife of a murdered Mexican journalist and, last year, on the phone of a close confidant of Jamal Khashoggi, a journalist whose murder was linked by United States intelligence services to the Saudi Arabian government.

The WhatsApp complaint that was filed on Tuesday claims that NSO Group is closer to the deployment of its spyware than it portrays to the public. WhatsApp traced several servers that deployed NSO’s spyware back to internet addresses operated directly by NSO Group. The company leased servers — including servers in the United States — from Amazon and two other cloud services called Choopa and Quadranet, to help deploy its spyware, the lawsuit said.

Amazon did not return a request for comment.

Since NSO Group was founded in 2011, its spy technology, called Pegasus, has become the preferred mobile spy tool of many governments. An early NSO commercial proposal leaked to The Times claimed Pegasus could overcome encryption to grant “unlimited access” to everything on a target’s mobile device.
“Pegasus silently deploys invisible software on the target device,” the company’s early pitch read. “Installation is performed remotely over-the-air, does not require any action from or engagement with the target and leaves no trace whatsoever on the device.”

For years, commercial spyware makers have been unregulated, in part because governments are the clients.
“They get close to governments and when those governments do bad things with their products, commercial spyware companies can claim it’s not their fault,” said Mr. Scott-Railton, of Citizen Lab.

Earlier this year, Novalpina Capital, a private equity firm, acquired a stake in NSO Group. The firm has been trying to help NSO Group polish its image, highlighting the use of its technology in notable crime fighting, like the arrest of Joaquín Guzmán, the drug cartel leader known as El Chapo.

Stephen Peel, Novalpina Capital’s founding partner, said in a letter to human rights groups that the company was determined to make sure its technology was used for “the prevention of harm to fundamental human rights arising from terrorism and serious crime,” and not abused.

But Citizen Lab said in a statement that it had repeatedly raised questions to Novalpina about whether its public statements about human rights compliance made any difference, given how frequently NSO’s spyware had been abused.
 
kwahiyo ile end-to-end encryption ni danganya toto
Hii ngoma nzito maana wanaingia ndani ya simu yako ambapo data zinakuwa stored bila encryption, hata wewe ukiroot simu yako unaweza ukaiona sqlite database ya whatsapp na kusoma messages.

End to end inalinda message isisomwe na yoyote inapokuwa safarini kati ya mtumaji na mpokeaji ila ikifika kwa mpokeaji ndio inafunguliwa, na jamaa wanaidukua humo.
 
Statesmann, post: 33307383, member: 559490"]
kwahiyo ile end-to-end encryption ni danganya toto
[/QUOTE]

Kwa wababe kama MOSSAD hii end-to-end encryption inapigwa upepo wa kisulisuli" in Mama Rwakatale's voice.

Kumbuka, hawa jamaa Israel ndiyo wahandisi kwenye mfumo wa internet na hizo software nyingi na majasusi wao mle ndani wapo kibao hakuna wasilolijua.
 
Niliandika sana humu JF kuhusu watu kuchukua tahadhari huko Whatsapp na Telegram wasidhanie wapo salama na hizo End-to-End encryption.
Tetesi: - Kuweni makini na VAR toka Israel, Musiba anajua kibanda cha VAR kipo wapi.

Nawasihi tu wadau wapambanaji wa kisiasa na wakereketwa au mashabiki wa mambo ya siasa.

Hii VAR ya kudaka faulo zote za mitandaoni, na kwenye vifaaa vya mawasiliano inafanya kazi kwelikweli.

Muulize Ndugu 'Mwezi wa Kwanza' na genge lake.

Hii VAR ni kiboko, inadaka hadi habari zetu za kifamilia.

Kuna tabia ya wadau humu kupuuzia na kudhania jina la kutunga mitandaoni, au kuweka nywira(password) kwenye kifaa chako au kwenye blogu au app yako unakuwa salama.

Hakuna Telegram wala Whatsapp hali si salama kwakweli.

Mnafikiri akina 'Njanuari' walikuwa wazembe kiasi hicho walitumia vifaa ambavyo havikuwa 'secured'?

Kama kweli wana akili ya kufunga lile goli la mkono kupitia teknolojia hivi kweli ni wajinga kufanya mawasiliano kizembe kwa hizi simu za kawaida ktk plain message?

Unafikiri kanali mstaafu kamanda wa tusker hakutumia mbinu za kijeshi kukwepa kunaswa mawasiliano yake?

Watukanaji wa humu JF wapo huru sio sababu hawajulikani ila wameonekana hawana madhara hivyo.

Siku wakivuka mstari mwekundu ndio wanajua ukweli na inakuwa wameshachelewa.

Jumapili njema!

Edward Snowden anawasalimia sana toka Russia anasema:

BEWARE OF THE CYBER 'VAR'!
Domestic surveillance is real, and the sh*t is happening now ktk nchi ya kusadikika.

***Watu wa soka wanajua VAR ndio nini.***
Usiwatie watu hofu, VAR ya ukweli ni watu wenyewe, kuna mtu amewasaliti wenzie na kawachoma kwa mkulu

Wasijiongopee kwamba humu JF ni salama 100% hata kama @Maxence Mello akikubali kuteseka kulinda utambulisho wetu kama anavyoteseka sasa. Hawa JF siyo udhaifu wa mfumo wao wa kutulinda bali katika hii teknolojia hakuna usalama wa 100%, hasa kama unashindana na watu wenye rasilimali za kutosha kama taasisi fulani fulani.

Huko WhatsApp wengi ndio wanaingia matatani sana sababu wanajiamini mno.
 
Statesmann, post: 33307383, member: 559490"]
kwahiyo ile end-to-end encryption ni danganya toto

Kwa wababe kama MOSSAD hii end-to-end encryption inapigwa upepo wa kisulisuli" in Mama Rwakatale's voice.

Kumbuka, hawa jamaa Israel ndiyo wahandisi kwenye mfumo wa internet na hizo software nyingi na majasusi wao mle ndani wapo kibao hakuna wasilolijua.
[/QUOTE]
Hata huyo Marck wa fb ni muisrael na kule ndo uchawi wa teknolojia ulipolala
 
Na uvumbuzi mkubwa wa karne uliofanywa na Google ule wa computer yenye nguvu sana (Quantum Computing Supremacy)
ndio unakuja kurahisisha kazi ya kudukua.

Kutakuwa hakuna encryption ambayo itaishinda computer maalum kama hiyo.

Fikiria Google Quantum Computing Processor inaweza kufanya kazi kubwa sana kwa sekunde 200 tu kazi ambayo hadi sasa hufanywa kwa miaka 10,000 au zaidi na Super computer inayo ongoza kwa computing power kwa miaka mingi iliyotengenezwa na IBM.

Hello quantum world! Google publishes landmark quantum supremacy claim
 
Kampuni ya udukuzi ya Israel Iitwayo NSO Group imebuni kirusi kiitwacho Pegus chenye kazi ya kutumwa kudukua taarifa za watu kupitia WhatsApp,Twitter, FB, Telegram n.k, na kuziwakilisha sehemu husika.

Salama pekee ni mdomo kwa mdomo.Thus madikteta watakapopeana maagizo mabaya juu ya kusimika tawala zao huwa hawapeani kwa simu, hupanda ndege na kuonana kwa ajenda za siri, huku zile zisizo za siri ndizo huzuga kuoneshwa live kwenye camera.
 
hii ndo utakuta magu kanunua imewekwa kwenye simu zote za wapinzani na watu ambao hawapendi, yaani akirudi home anakaa tu chumbani anaweka miguu juu anaanza kumsikiliza anayemtaka, hehe mzee muhuni sana yule
 
Madikteta wote ni lzm wawekeze kwenye udukuzi,jiulize msiba anapata wapi udukuzi.Maana ni gharama kubwa sana kuulinda udikteta kuliko kulinda demokrasia
Kumuita mtu dikteta haitakusaidia lolote zaidi ya kupata umaarufu wa muda tena usio na faida kubwa katika maisha yako, maana gharama ya kuupata huo umaarufu ni kubwa sana. The trade-offs of this political game outweighs the profit, the dividend might be your life as well.

Kama wewe mtu mwerevu kuna wakati unaangalia unapokanyaga hatua zako usije ukakanyaga bomu au mtego hatari, unachunga mdomo wako na vidole vyako kwenye vitufe vya keypad/keyboard.

Inapofikia suala la kulinda maslahi ya taifa there is too much at stake, wenye dhamana na uchungu na nchi yao wapo tayari kufanya lolote kulilinda taifa lao bila kujali wewe ni nani au uliwahi kuwa nani, hakuna mtu mkubwa kuliko taifa lake.

Ukijiona wewe maarufu na mkubwa ukavuka mstari ukidhani utaogopwa basi ujue safari yako kisiasa itakuwa na misuko suko mikubwa sana.

Snowdern alishawajulisha nchi inayosifika kulinda demokrasia inawadukua watu tena hata nje ya mipaka ya nchi yao au wasio raia wao.
 
Hii ngoma nzito maana wanaingia ndani ya simu yako ambapo data zinakuwa stored bila encryption, hata wewe ukiroot simu yako unaweza ukaiona sqlite database ya whatsapp na kusoma messages.

End to end inalinda message isisomwe na yoyote inapokuwa safarini kati ya mtumaji na mpokeaji ila ikifika kwa mpokeaji ndio inafunguliwa, na jamaa wanaidukua humo.
Hatari!
 
Hii ngoma nzito maana wanaingia ndani ya simu yako ambapo data zinakuwa stored bila encryption, hata wewe ukiroot simu yako unaweza ukaiona sqlite database ya whatsapp na kusoma messages.

End to end inalinda message isisomwe na yoyote inapokuwa safarini kati ya mtumaji na mpokeaji ila ikifika kwa mpokeaji ndio inafunguliwa, na jamaa wanaidukua humo.
Mkuu upo sahihi kabisa, tulilijadili sana hili suala, kuna uzi alileta mdau flani tukafafanua hii end-to-end invyofanya kazi na unavyoweza kuizidi kete kwa kudukua vifaa vya wadau kisha wewe una-take control ya device kama vile unayo hiyo device mkononi kwako.
 
Back
Top Bottom