Ubalozi wa Marekani nchini Iraq nchi ambayo Marekani imekuwepo kijeshi kwa muda mrefu tangu walipompindua Saddam Hussein umechomwa moto na waandamanaji wenye mrengo wa kuiunga mkono Iran. Hii...
From the CIA-orchestrated overthrow of Iran's prime minister in 1953, to tension and confrontation under President Trump, a look back over more than 65 years of tricky relations between Iran and...
Trump asema hatarajii vita na Iran
Rais wa Marekani Donald Trump amesema haoni taifa lake likiingia vitani na Iran, baada ya waandamanaji kuuvamia ubalozi wa Marekani mjini Baghdad.
Trump...
IRGC commander threatens to 'destroy' Israel
Head of Iran’s Revolutionary Guards says Iran will “destroy” the US, Israel and Saudi Arabia if they cross its “red lines”.
Hossein Salami, deputy...
Marekani imemuwekea vikwazo Waziri wa Ulinzi wa Cuba, ikimtuhumu kwa ukiukaji wa haki za binaadamu na kumuunga mkono Rais wa msoshalisti nchini Venezuela Nicolas Maduro.
Marekani imemuweka kwenye...
Mtandao mkubwa zaidi wa simu barani afrika MTN unasema kuwa unafatilia shutuma dhidi yao, ya kuwafadhili na fedha makundi ya itikadi kali ya Afghanistan.
Shutuma hizo zimetolewa na madai...
Watu wapatao 24 wamethibitishwa kuuawa baada ya kambi ya kuhifadhi watu waliopoteza makazi nchini Sudan kuvamiwa jimbo la Darfur Magharibi.
Kambi ya Krinding, ilivamiwa mnamo Desemba 29 hadi 30...
Mapigano ya Ngumi kati ya wanajeshi wa Marekani na Urusi nchini Syria ,mapigano hayo yametokea baada ya wanajeshi wa Marekani kwenda katika kijiji cha Tel Tamer ambako walikuwa wanachukua taarifa...
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameamua kutafuta kinga ya bunge dhidi ya mashitaka ya ufisadi yanayomkabili.
Hatua hiyo huenda ikachelewesha kesi dhidi yake hadi uchaguzi utakapofanywa...
Waziri Mkuu wa Israel Benjami Netanyahu ataachia mamlaka ya wizara kadhaa ambazo awali zilikuwa chini yake, huku akiwa anakabiliwa na mashtaka ya ufisadi.
Ofisi yake imethibitisha leo kwamba...
Maelfu ya watalii wameamriwa kuondoka kutoka maeneo yaliyokumbwa na janga la moto nchini Australia wakati taifa hilo likijitayarisha kwa wimbi la joto kali linalotarajiwa kuongeza kasi ya kusambaa...
Suge Knight's chances of getting out of jail to attend his mother's funeral have dwindled down to about zero ... because rules are rules.
We spoke to the L.A. County...
Serikali katili ya China, hata maiti za waislamu wa Ulghur zilizolala maburini zinakuwa Razed kufuta memories za wapendwa wao! na kujenga parking lots Ndiyo hayo ya udikiteita
Sent using Jamii...
Former Guinea-Bissau Prime Minister and ex-army general Umaro Cissoko Embalo won Sunday's presidential election with 54% of the vote, the electoral commission said on Wednesday.
Embalo, 47, who...
Maelfu ya Watu wamehamishwa kutoka kwenye makazi yao katika Mji Mkuu wa Jakarta baada ya Mji huo kukumbwa na mafuriko na maporomoko ya udongo
Miundombinu ikiwemo reli imeharibiwa vibaya huku...
Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Mike Pompeo ameahirisha ziara yake nchini Ukraine na mataifa mengine barani Asia kufuatia shambulizi kwenye ubalozi wa Marekani mjini Baghdad lililofanywa na...
WATU 18 wamekufa na wengine wapatao 200 kukosa makazi katika jimbo la New South Wales nchini hapa kutokana na moto wa nyikani, uliotokea hivi karibuni. Polisi imethibitisha kutokea vifo hivyo...
Gambia’s President Adama Barrow has formed a new political party in a move that would allow him to seek a second term in 2021 after he earlier agreed to resign following a 3-year transition...
Nimewaza tu.
Urusi pale walipo isingekua vikwazo vya Marekani ingekua iko mbali sana ila miaka na miaka Moscow imekua ikiishi kwa vikwazo.
Juzi Rais Putin ametangaza silaha mpya ya supersonic...