Mapigano ya ngumi yaibuka kati ya wanajeshi wa US na Russia nchini Syria

Al assad

JF-Expert Member
Aug 14, 2017
1,400
1,501
Mapigano ya Ngumi kati ya wanajeshi wa Marekani na Urusi nchini Syria ,mapigano hayo yametokea baada ya wanajeshi wa Marekani kwenda katika kijiji cha Tel Tamer ambako walikuwa wanachukua taarifa kutoka kwa wananchi.

Ni baada ya wananchi wa eneo hilo kutoonyesha ushirikiano na wanajeshi hao kwa kile walichokiita usaliti waliofanyiwa na Marekani baada ya kuondoa vikosi vyao na kuruhusu Uturuki kufanya mashambulizi katika maeneo yoa(Operation peace spring).

Hivyo baada ya muda mfupi wanajeshi wa Russia waliokuwa karibu na eneo hilo wakikuja na kusababisha mapigano hayo lakini bila kutumia siraha.

Baada ya mapigano hayo wanajeshi wapatao 3 wa Russia waliumia vibaya na kusababishwa wakbizwe hospital kwa msaada zaidi.

Ikumbukwe wanajeshi wa Marekani wapo karibu sana na wanajeshi wa Urusi baadhi ya maeneo nchini Syria kutokana na Marekani waliondoka baadhi ya maeneo na baadae kurudi tena.

=======

A number of Russian soldiers were badly beaten and airlifted to hospital after a fist-fight with American troops in Syria last week, it has been revealed. According to the UK-based Syrian Observatory for Human Rights, the incident occurred on 25 December in the city of Tal Tamr in Al-Hasakah province in north-east Syria.

When US troops arrived to collect information from local residents, the latter reportedly reacted negatively, and accused the Americans of betraying them with the withdrawal of US forces from the area ordered by President Donald Trump in October.

Russian soldiers in the area then confronted the Americans, at which point they argued. This led to a fist fight between the soldiers. No weapons were used, and so no major casualties were reported at first. It was then revealed that three of the Russian soldiers were beaten so severely that they required urgent medical attention.

According to Russian media outlet the Military Review, the Israeli media also drew attention to the incident, although the Russian Defence Ministry has officially denied that it even took place.

“The report of the UK-based Syrian Observatory for Human Rights about the alleged ‘altercation that turned into a fist fight’ between Russian and American soldiers in north-western Syria is a primitive fake,” insisted the Ministry.

Russian and American troops are stationed in close proximity to each other in the area, despite the US announcement of its withdrawal of troops on the launch of Turkey’s Operation Peace Spring in early October, following which US forces were spotted returning to some areas that they had left.

In some places, the Russian army has established its presence in those towns previously occupied by the US. One former US-controlled site was taken over by the Russians last month.
 
Mapigano ya Ngumi kati ya wanajeshi wa Marekani na Urusi nchini Syria ,mapigano hayo yametokea baada ya wanajeshi wa Marekani kwenda katika kijiji cha Tel Tamer ambako walikuwa wanachukua taarifa kutoka kwa wananchi.
Ni baada ya wananchi wa eneo hilo kutoonyesha ushirikiano na wanajeshi hao kwa kile walichokiita usaliti waliofanyiwa na Marekani baada ya kuondoa vikosi vyao na kuruhusu Uturuki kufanya mashambulizi katika maeneo yoa(Operation peace spring).
Hivyo baada ya muda mfupi wanajeshi wa Russia waliokuwa karibu na eneo hilo wakikuja na kusababisha mapigano hayo lakini bila kutumia siraha.
Baada ya mapigano hayo wanajeshi wapatao 3 wa Russia waliumia vibaya na kusababishwa wakbizwe hospital kwa msaada zaidi.
Ikumbukwe wanajeshi wa Marekani wapo karibu sana na wanajeshi wa Urusi baadhi ya maeneo nchini Syria kutokana na Marekani waliondoka baadhi ya maeneo na baadae kurudi tena.

Links hapa chini

Sent using Jamii Forums mobile app

Tangu Anko Trump aingie jumba jeupe, USA imekuwa inachezewa sharubu na kushikwa makario!
Iran imethubutu kushambulia meli za UK na Japan zinazotoka uarabuni kuchukua mafuta, China wanatangaza ubabe eneo la south China sea, wanatengeneza kisiwa na kuweka dhana za kijeshi. Urusi wamedukua mifumo ya uchaguzi na na mifumo ya kompyuta ya State department.
Sass hv Iran, china na urusi wanafsnya mazoezi ya kijeshi pamoja baharini, hii yote ni katika kumtenga USA na NATO, na kumdhoofisha US, haya mambo yasingeweza kufanyika wakati wa Bush au Clinton

Mkuu au umechanganya mada! Mada hapa ni wanajeshi wa urusi wamekatwa mkono wa nguvu na wanajeshi wa US, ebu changia mada kidogo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu Anko Trump aingie jumba jeupe, USA imekuwa inachezewa sharubu na kushikwa makario!
Iran imethubutu kushambulia meli za UK na Japan zinazotoka uarabuni kuchukua mafuta, China wanatangaza ubabe eneo la south China sea, wanatengeneza kisiwa na kuweka dhana za kijeshi. Urusi wamedukua mifumo ya uchaguzi na na mifumo ya kompyuta ya State department.
Sass hv Iran, china na urusi wanafsnya mazoezi ya kijeshi pamoja baharini, hii yote ni katika kumtenga USA na NATO, na kumdhoofisha US, haya mambo yasingeweza kufanyika wakati wa Bush au Clinton

Sent using Jamii Forums mobile app
You're off the mark...!!!
 
Mpiganaji ngumi katika USA ni mmarekani mweusi. Na huyo mmarekani mweusi hatii mguu kwa mrusi ikija katika martial art. Fuatilia sekta ya ngumi duniani miaka nenda rudi utaelewa ninachosema.

Joshua wa UK majuzi alimpiga mzee mrusi aliyekuwa anakaribia kustaafu.

Kwa mkono mrusi ni full mikosi. Jaribu kufuatilia

Kwa story ya hapa inawezekana ni kweli maana kuna factors nyingi kama idadi na nk lakin kwa mkono kama mkono mrusi ni janga
 
Kwa hapa namkumbuka Mayweather tu

Tabia za wanajeshi wa urusi ni kama alizonazo huyu jamaa kwenye
Mission man
The expendable
Universal soldiers

Sasa wanaanzaje kupigwa
Great%20to%20be%20working%20in%20Sweden%20with%20beautiful%20Izabella%20Scorupco%20for%20Smar...jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom