Hiki kirusi hamna cha kulegeza wala nini, ukilegea kidogo kinakuja upya.... Isubiriwe mpaka dawa aliyogundua Marekani imesambaa kote ndio kila mmoja ajiachie, ila kwa sasa kaza buti na mkanda...
Jana, Mei 16, 2020 Uganda imetangaza visa vipya 24 vya COVID19 vimeongezeka na vyote vikiwa ni vya Madereva wa Malori na kufanya jumla ya visa kufikia 227
Wizara imesema jumla ya sampuli 2,598...
Waziri wa Mambo ya nje ya Ujerumani, Heiko Maas ameitaka Poland and Jamuhuri ya Czech Kufungua mipaka yake na kuruhusu watu na bidhaa kuingia
Umoja wa Ulaya umeazimia kufungua mipaka na kuanza...
Kwa muda utawala wa POTUS Trump ulikuwa ukiituhumu Uchina kama taifa liliochanzo cha kuenea kwa virusi vya Corona na kukwamisha utafutaji wa taarifa sahihi ambazo zinahitajika kutafuta nasaba ya...
Wagonjwa wote 187 walioambukizwa covid-19 katika kisiwa cha Faeroe kilichopo kaskazini mwa UK wamepona na hakuna aliyekufa. Faeroe ni nchi inayojitegemea sio sehemu ya UK.
Waziri mkuu wa Faero...
Washington (AFP) - The wealthy Bill & Melinda Gates Foundation called Wednesday for global cooperation to ready COVID-19 vaccines for seven billion people, while offering $150 million toward...
16 May 2020. 14:00
On Thursday 14th May 2020 World Health Organization (WHO), said that it is in touch with Madagascar over its herbal drink Covid Organics also known as the miracle tea.
''We...
Wizara ya Afya nchini humo imetangaza kuwa Mei 15, 2020 mgonjwa wa 39 ambaye ndiye mgonjwa wa mwisho wa #COVID19 nchini humo aliruhusiwa kutoka hospitali
Taarifa ya Wizara imesema “Mgonjwa mmoja...
As the world has come to be with the impact of Covid-19, cracks and fissures have come to be seen in the established economic, political and social norms that have prevailed for hundreds of years...
Nchi ya Italia imeazimia kuruhusu safari Juni 3, moja kati ya hatu ya kufungua uchumi baada ya kufunga nchi hiyo kuepuka maambukizi ya #CoronaVirus tangu Machi 9, 2020
Watu wataruhusiwa kutoka...
Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kusitisha mahusiano na China kutokana na dhima ya taifa hilo katika kusambaa kwa virusi vya corona ambavyo hadi sasa vimesababisha vifo vya zaidi ya watu...
Jana, Mei 15, 2020 Uganda imetangaza visa vipya 43 vya #COVID19 vimeongezeka na vyote vikiwa ni vya Madereva wa Malori na kufanya jumla ya visa kufikia 203
Wizara imesema jumla ya sampuli 2,558...
Cabinet pressure on PM to name dates as 20,000 new virus cases are estimated every day
Boris Johnson will keep Britain in lockdown until next month at the earliest after he was warned that...
Ukaidi wa Trump kuhusu kuchukua hatua za kuzuia kuenea kwa coronavirus as stipulated by WHO, CDC umeifikisha Ikulu yake (White House) kuwa hot zone ya maambukizi!
The spread of the virus in the...
Naomba kujua tu wakuu , Na hapa sina nia ya kubeza , bali kwa ufuatiliaji wa Karibu kuhusu maambukizi ( cases) Na Vifo ( death ) zilizotokea kwa wenzetu wa Europe Na USA Na huku kwetu Africa ...
MAY 14, 2020
Clueless as to why President Trump was elected into office, the Rothschilds have used their globalist media mouthpiece to declare that President Trump is threatening to destroy the...
Wachina wanakesha wakihangaika jinsi ya kupata data za tafiti wanazofanya Marekani dhidi ya Corona.....
U.S. authorities warned Wednesday that Chinese hackers were attempting to steal coronavirus...
Rais wa Brazil, Jair Bolsonar amesema kufunga mji ni kuufanya uchumi ufeli kwa kuwa hawatakuwa na hela za kuwalipa watumishi wa umma
Kwa muda mrefu rais wa Brazil amelaumiwa kwa kutochukua hatua...
Waziri Mkuu wa Australia, Scott Morrison amesema takribani watu 600,000 wamepoteza #ajira kutokana na janga la #CornaVirus nchini humo
Waziri amesema, japo kasi ya maambukizi inapungua lakini...