Ujerumani yaitaka, Poland na Jamuhuri ya Czech kufungua mipaka

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
16,681
8,233
Waziri wa Mambo ya nje ya Ujerumani, Heiko Maas ameitaka Poland and Jamuhuri ya Czech Kufungua mipaka yake na kuruhusu watu na bidhaa kuingia

Umoja wa Ulaya umeazimia kufungua mipaka na kuanza safari kwa nchi za ndani ya umoja. Mipaka kwa ajili ya nchi zisizo kwenye umoja itafunguliwa katikati ya mwezi Juni

Waziri wa Mambo ya ndani wa Poland ameazimia kuongeza marufuku ya kutoka nje hadi kati kati ya mwezi Juni

Na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Czech amesema hawahitaji kuzungumza na Ujerumani kwa kuwa maambukizi kwao ni tofauti

====

Credit: PERL (Reuters) -

German Foreign Minister Heiko Maas on Saturday called on Poland and the Czech Republic to fully open their borders soon to enable the free flow of people and goods.

The European Union this week pushed to reopen internal borders and restart travel, but recommended Europe's external borders remain closed for most travel at least until mid-June to avoid a second wave of infections in the coronavirus pandemic.

"We'll stop border controls for Denmark in the next few days, and from June 15th there will be no more checks at the borders with France, Austria and Switzerland," Maas said after meeting his Luxembourg counterpart Jean Asselborn at a border crossing between the towns of Perl and Schengen.

"I'm hoping that the border controls that the Polish and Czech friends currently do will also be lifted in the foreseeable future," Maas added.

Poland's Interior Ministry said earlier this week it would extend its strict border controls until June 12.

Czech Prime Minister Andrej Babis has said there were currently no negotiations with Germany to lift travel restrictions because the coronavirus situation there was not as stable in Germany as in its other neighbours.

(Reporting by Reuters TV, writing by Michael Nienaber, editing by Andrew Heavens)
ws/world/germany-calls-on-poland-czech-republic-to-open-borders-soon/ar-BB14aMdx?ocid=spartanntp

These countries cannot make their own judgement.
 
Tanzania kufungiwa mipaka na kenya pamoja na burundi,tayari tunaonekana hatujui diplomasia ya kimataifa na tutaishi kama kisiwa. Hili la Ujerumani linatafsirika vipi ukilinganisha na la kwetu hapa?
 
Tanzania kufungiwa mipaka na kenya pamoja na burundi,tayari tunaonekana hatujui diplomasia ya kimataifa na tutaishi kama kisiwa. Hili la Ujerumani linatafsirika vipi ukilinganisha na la kwetu hapa?
Mimi nafikiri nchi zisipangiane jinsi ya kukabiliana na korona
 
Utegemezi baina ya nchi na nchi ndo unatesa . hili limejidhihirusha wakati huu wa hili janga la COVID-19
 
Tanzania kufungiwa mipaka na kenya pamoja na burundi,tayari tunaonekana hatujui diplomasia ya kimataifa na tutaishi kama kisiwa. Hili la Ujerumani linatafsirika vipi ukilinganisha na la kwetu hapa?
Sisi hatuna shida, wanaofunga ndiyo wanaharibikiwa
 
Back
Top Bottom