AUSTRALIA: Watu 600,000 Wamepoteza ajira kutokana na janga la Corona

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Waziri Mkuu wa Australia, Scott Morrison amesema takribani watu 600,000 wamepoteza #ajira kutokana na janga la #CornaVirus nchini humo

Waziri amesema, japo kasi ya maambukizi inapungua lakini nchi inapaswa kujiandaa kwa ugumu wa uchumi watakao kumbana nao

Chuo Kikuu cha Johns Hopsins kilitangaza jumla ya watu 6,989 kuambukizwa na watu 98 wamefariki kutokana na #CoronaVirus nchini humo

====
Australian Prime Minister Scott Morrison said Thursday that nearly 600,000 people in the country have lost their jobs as a result of the financial impact of the novel coronavirus pandemic, a number he called "shocking, although not unanticipated."

"This is a tough day for Australia, a very tough day," Morrison said at a news conference. "We knew there would be hard news as the pandemic wreaks an impact on Australia as it is on countries all around the world. And so it has been the case."

Morrison said that although the rate of infections is decreasing in Australia, the country should prepare for further economic hardship.
"In the months ahead, we can brace ourselves and must brace ourselves for further hard news for Australians to take. But it's important on a day like today that we remember to support each other again," he said. "It is important as a country that we stand firm and we stand together."
Nearly 7,000 people in Australia have been infected by the virus, killing 98, according to data from Johns Hopkins University. Last week, Morrison announced a three-step plan to reopen the country if infections continue to trend downward.
 
Aisee . .

Ni namba kubwa lakini wanastahili pongezi pamoja na jirani zao New Zealand kutokana na maandaliz waliyoyafanya pale tu corona ilipoanza kuitikisa dunia. Kufanikiwa kwao kuwa na idadi ndogo ya wagonjwa ni funzo kwa nchi nyingi hasa huku kwetu Africa
 
Tanzania tungefungiwa Kama wao je hawa watu tunaita masikini wangekuwa na uwezo wa kununua hata bando la mb ili kuperuzi walau jamiiforum?

Nchi zilizo endelea wanalia njaa kwa kupoteza ajira kwa namna moja ama nyingine wakati Tanzania tunalilia kufungiwa ndani ili tufe kwa njaa. MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU
 
Waziri Mkuu wa Australia, Scott Morrison amesema takribani watu 600,000 wamepoteza #ajira kutokana na janga la #CornaVirus nchini humo

Waziri amesema, japo kasi ya maambukizi inapungua lakini nchi inapaswa kujiandaa kwa ugumu wa uchumi watakao kumbana nao

Chuo Kikuu cha Johns Hopsins kilitangaza jumla ya watu 6,989 kuambukizwa na watu 98 wamefariki kutokana na #CoronaVirus nchini humo

====
Australian Prime Minister Scott Morrison said Thursday that nearly 600,000 people in the country have lost their jobs as a result of the financial impact of the novel coronavirus pandemic, a number he called "shocking, although not unanticipated."

"This is a tough day for Australia, a very tough day," Morrison said at a news conference. "We knew there would be hard news as the pandemic wreaks an impact on Australia as it is on countries all around the world. And so it has been the case."

Morrison said that although the rate of infections is decreasing in Australia, the country should prepare for further economic hardship.

Nearly 7,000 people in Australia have been infected by the virus, killing 98, according to data from Johns Hopkins University. Last week, Morrison announced a three-step plan to reopen the country if infections continue to trend downward.
Na Tanzania jee?
 
Tanzania tungefungiwa Kama wao je hawa watu tunaita masikini wangekuwa na uwezo wa kununua hata bando la mb ili kuperuzi walau jamiiforum?

Nchi zilizo endelea wanalia njaa kwa kupoteza ajira kwa namna moja ama nyingine wakati Tanzania tunalilia kufungiwa ndani ili tufe kwa njaa. MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU

Unataarifa wantanzania wangapi hawana ajira kutokana na janga hili?..
 
Hapo hujafungiwa ungefungiwa ndani je?dunia nzima viwanda vinafungwa kwasababu ya kuogopa huu ugonjwa mmepewa fursa ya kuendelea kujitafutia bado mnaona mnanyanyaswa chuma awape Nini jamaniiii?
Aache kijitapa yeye tajiri hali hawez hata kukabili dharura kama hii.
 
Back
Top Bottom