Kwa hiyo uing'oe kwa kuwa WHO ndo waliokupandia shambani kwako?? Akili ya kutawaliwa hii[emoji57][emoji57]Bila maelezo hiyo Video ya dk 17 ni ndefu na itakula GB
hebu waliyoifungua mtuhabarishe, dawa ya muombo imekubaliwa na WHO
maana mm ninayo shambani kwangu, nisije ing'oa
Kuna sehemu ameandika kuwa WHO ndio walimpandia?Kwa hiyo uing'oe kwa kuwa WHO ndo waliokupandia shambani kwako?? Akili ya kutawaliwa hii[emoji57][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app