Je, COVID-19 imedhibitiwa Afrika?

muonamambo

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
875
545
Naomba kujua tu wakuu , Na hapa sina nia ya kubeza , bali kwa ufuatiliaji wa Karibu kuhusu maambukizi ( cases) Na Vifo ( death ) zilizotokea kwa wenzetu wa Europe Na USA Na huku kwetu Africa .

Naaamini ipo sababu nyingine inayochangia maaambukizi machache Na death chache hapa Africa Mpaka sasa..

Ingawa bado ugonjwa Upo lakini ramli aka Tabiri za mama Bill Gates Na WHO Na hata watu wengi baada ya wagonjwa wa kwanza kuanza kupatikana Africa Na Ulaya mwezi wa Pili Na wa Tatu mwanzoni . Wengi wetu kwa kuangalia trend ile ile ya China Na Italy .. Tuliwminini kuwa katikati ya mwezi wa nne na watano hali itakuwa mbaya zaidi hasa Africa.

Lakini labda Nipo wrong .. Naona Idadi za maambukizi Na Vifo Africa si hivyo kama ilivyotarajiwa.

Nini imekisaidia Africa ? Naomba maoni yenu ..

Angalizo hapa tunazungumzia Africa kwa ujumla Vs Europe and USA Na sio Tanzania

 
Anecdotal--- Waafrica wanaishi kwenye mazingira magumu tangu utotoni,

unakuta kitoto kinatambaa kwenye michanga huku kinalamba uchafu na udongo, full exposure kwenye germs mbali mbali

Mtoto wa aina hii akikua anakua na immunity ya hatari. Hivo germ Kama Covid 19 Kwa mwaafrica wa aina hii inadunda tu.
 
Nahisi hali ya hewa ya ujoto joto jamani inatubeba, jana nilikua mbagala ambapo watu ni wengi sana, huwezi amini kama COVID19 ipo. Watu wako bize na mambo yao barakoa wamefunga shingoni, kiukweli inachekesha na kututia moyo
Anecdotal--- Waafrica wanaishi kwenye mazingira magumu tangu utotoni,

unakuta kitoto kinatambaa kwenye michanga huku kinalamba uchafu na udongo, full exposure kwenye germs mbali mbali

Mtoto wa aina hii akikua anakua na immunity ya hatari. Hivo germ Kama Covid 19 Kwa mwaafrica wa aina hii inadunda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani kama sisi Tanzania ndo hatujachukia hatua yoyote, tena vijijini kulikojaa mitishamba ndo huu ugonjwa nina uhakika utadunda na unadunda sana tu.

Uko vijijin imajini hata blood presha inatibiwa kwa mitishamba na kwa kovid19 ambayo haina tiba tunaambiwa tujifukize pia tule baadhi ya miti shamba basi tutakaoteseka labda ni wa mijini tu
utabiri wao ulikua unalenga kama nchi hasa za kiafrika zitalegalega katika kuchukua hatua madhubuti za kujikinga, hasa usiende na kuenea vijijini ambako kulisemwa ni hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona kwa Afrika imedhibitiwa tz pekee kwa upande wa binadam, tatizo limebaki kwa mbuzi na mapapai tuu...ila vuta subra tumelazie kwanza ukarabati wa maabara ya taifa tatizo hilo nalo litakwisha kabisa na kuwa historia!!!.

kongole serikali awamu ya 5 chini ya nabii kutoka chatoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zile zilikuwa ni projections tu kutokana na model walizo run, na si lazima projections ziendani na hali halisi.ndo maana tunaona maambukizi yanakwenda yanakwenda kwa kasi South Africa na Egypt kwa mwezi May badala ya April waliyoidhania
 
Back
Top Bottom