Naona hapa kuna nchi wanaitumia Tanzania kama sehemu ya kisingizio kuwa kuongezeka kwa kwa Coronavirus ni kwa sababu ya TZ kutofanya lockdown.
Lockdown haina maana kwa nature ya huu ugonjwa, cha...
Idadi ya vifo kutokana na virusi vya corona yapindukia 290,000 duniani
Janga la virusi vya corona sasa limesababisha zaidi ya vifo 290,000 kote duniani kulingana na idadi ya shirika la habari la...
Wizara ya Afya ya Lesotho imetangaza kisa cha kwanza cha CoronaVirus nchini humo
Katika taarifa iliyotolewa leo, imeelezwa kuwa Wizara ilifanya vipimo vya sampuli 81 kutoka kwa wasafiri...
Ethiopia yakiri kutungua ndege ya Kenya katika ardhi ya Somalia
Askari wa jeshi la Ethiopia wamekiri kuwa walitungua kimakosa ndege ndogo ya Kenya iliyokuwa imebeba misaada na vifaa vya kupambana...
Nadhani wengi mtadhani ni Jim Acosta , LA HASHA!!
Ni mwandishi anaesemekena wa MSBNC alieuliza swali lenye jibu tayari kwenye swali, namnukuu " Kwanini idadi ya upimaji wa corona Marekani ni...
Wataalamu wa usalama wa mtandao wa Marekani wameishutumu China kuwa inawadukua kujaribu kuia taarifa kuhusu tafiti zilizofanyawa kuhusu COVID19
FBI na Idaya ya Usalama imepanga kutoa onyo kuhusu...
Plo Lumumba, "The major move that has been taken by the people of Madagascar through their government to develop a possible cure for COVID-19 (Covid-organics) must be applauded; notwithstanding...
This is a New Africa that is ready to take corona head on using African solutions.
We refuse to be subjected to European Yoke
Africa loves #MadagascanCure
Buhari orders importation of Madagascar COVID-19 ‘remedy’
Sodiq Oyeleke
The President, Major General Muhammadu Buhari (retd.), has ordered the importation of the acclaimed coronavirus remedy by...
Vifo vinavyotokana na CoronaVirus vya wagonjwa wanaouguziwa nyumbani inaongezeka kwa kasi kuliko wale wanaoguziwa hopitalini Ofisi ya Takwimu ya Uingereza yasema
Katika wiki iliyoisha Mei 1, vifo...
Wafanyakazi wa Ikulu ya White House wameagizwa kuvaa barakoa wakati wanapoingia jengo la ofisi zake zinazofahamika kama -West Wing, baada ya wasaidizi wawili kupatwa na virusi vya corona...
Fellow countrymen, don't these steps sound familiar? Are they not a familiar person's playbook?
7 Steps to Becoming a Dictator
A manual for strengthening your power position as an elected leader...
Slogan hiyo ya ' stay at home' (total lockdown) ya waingereza kuhusiana na mapambano dhidi ya mdudu coronavirus ilitufanya sisi tugombane na kufukuzana. Sasa waingereza wameibadilisha hiyo slogan...
Korea Kusini, China na Ujerumani vimekumbwa na maambukizi mapya baada ya kuondoa katazo la kubaki ndani. Kutokana na sababu hiyo, Shirika la Afya Duniani imetoa muongozo wa kuondoa zuio la kubaki...
China imeripoti visa vipya 17 vya #COVID19, 10 kati ya hivyo yakiwa ni maambukizi ya ndani. Mji wa Wuhan umetangaza visa vitanoa vya ugonjwa huo baada ya kuwa kimya kwa takribani mwezi mmoja
-
Mji...
Madagascar sends coronavirus cure, 'COVID Organics' to Nigeria
Madagascar's breakthrough on coronavirus, 'COVID Organics' is expected to land in Nigeria soon. The drug is for the prevention and...
Uvaaji wa maski sasa ni lazima mjini Paris Ufaransa, huku ikiwataka wasafiri kuwa na vyeti kutoka kwa waajiri wao vinavyotoa sababu ya kwa nini wanasafiri
Watakaokiuka agizo hilo watakuwa katika...
Takriban wafungwa 16 wameuawa baada ya makundi wawili ya kihalifu yaliyomo ndani ya Gereza la El Porvenir. Serikali yasema visu na silaha za moto vyatajwa kutumika
Mauaji haya yametokea ikiwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.