Ujumbe ndio huo aliye kuwa anawazuia wasifanye majaribio wamemuwa sa walicho enda kushambulia Iran asiwe nacho kisha kuwa Nacho.
Trump na Netanyahu watajuta kumuwa Ayatollah Ali Khomen...
HARARE – Zimbabwe is on alert ahead of planned demonstrations and stay-away actions scheduled for Friday, July 31, with organisers calling for nationwide protests over political and governance...
Wanajeshi wa Israeli kutoka Kitengo cha 91 wanaendelea na operesheni kusini mwa Lebanon ili kupata na kuharibu maficho ya silaha za Hezbollah yaliyosalia ndani ya eneo la usalama, huku wanajeshi...
Katika operesheni ya kihistoria iliyoongozwa na Shirika la Kizayuni Duniani (WZO), mabaki ya babu na nyanya wa Theodor Herzl, Shimon Leib Herzl na Rebecca Herzl, yalifukuliwa Jumanne kutoka eneo...
Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alisema kwamba mkutano aliofanya na Rais wa Marekani Donald Trump ulikuwa mmoja wa mikutano bora zaidi ambayo wamewahi kuwa nayo
Huko nyuma Iran alikuwa anasubiri Marekani ashambulie, ili na yeye ajibu mashambulizi. Alikuwa anafanya mbinu za kuvizia AKA kutegea.
Ila ghafla sana naona Waajemi wamebadili mipango, sasa hivi...
Ebrahim Zolfaghari, msemaji wa Makao Makuu ya Khatam al-Anbiya (Kamati Kuu ya Jeshi la Iran):
Trump alitangaza kwamba meli zilizoharibiwa wakati wa vita dhidi ya Iran zitalipwa kupitia mali za...
Jana , IDF ilishambulia katika eneo la Khan Yunis kusini mwa Gaza na kumuangamiza gaidi Muhammad Khalil Muhammad Aslam, kamanda wa kikosi cha Nukhba katika shirika la kigaidi la Palesyin Islamic...
Hamas yakubali kuweka silaha chini Gaza; Trump kutangaza mpango wa Bodi ya Amani
.Chanzo cha picha, Reuters
Afisa mwandamizi wa Hamas ameliambia shirika la habari la BBC kwamba kundi hilo...
Video inayosambaa mtandaoni, ikionesha mabomu ya HIMARS yakirushwa toka Kuwait kuelekea kusini mwa Iran kwa mashambulizi yaliyofanyika jana usiku.
Kabla ya hapo, waziri wa Kuwait alisisitiza...
Wanaukumbi.
Msemaji wa Vikosi vya Jeshi la Iran alisema:
"Rais wa Marekani anakusudia kuhamisha mali zilizozuiliwa za Iran kwa makampuni na nchi zinazodai kupata hasara wakati wa vita."
Msemaji...
Maneno ya mwisho ya mwanajeshi mdogo wa Marekani, Angel Rampesard, kabla ya kifo chake... 💔🕊️
Kwa mujibu wa mama yake, Angel alimwambia kwamba mashambulizi ya adui kutoka Iran hayakuwa yamewahi...
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz: "Niliwaagiza IDF wajiandae kwa Operesheni 'Bluu na Nyeupe' nchini Iran, IDF inasubiri tu."
Hii ina maana kwamba Israeli inapanga chaguo la kufanya kazi...
kweli hii dunia ina wenyewe, duh, sikiliza mwenye jibu lake ...
==
Sean Hannity: "...me in this sense for you. Um, you travel internationally?"
Benjamin Netanyahu: "Yeah."
Sean Hannity: "God...
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alitoa onyo la moja kwa moja kwa Iran, akisema Israeli iko tayari kwa hali yoyote na kuahidi majibu yenye nguvu zaidi ikiwa Tehran itashambulia tena.
Akizungumza...
Kuna wajinga wengi wanauliza kwanini Iran haipigi Israel anapiga Gulf states na nchi kama Jordan na Syria pamoja na Iraq.
Ukweli Iran target yake ni kuitwanga Israel lakini kumbukeni hizo nchi...
Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz, mwishoni mwa tathmini ya hali kuhusu Iran:
Israeli imejiandaa upya kwa ajili ya vita dhidi ya Iran. Jeshi la IDF limejiandaa katika ulinzi na...
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, amemfuta kazi Gavana wa Benki Kuu ya nchi hiyo, Johnny Ohisa, katika hatua ya karibuni ya mabadiliko makubwa yanayoendelea kufanywa ndani ya serikali yake.
Kiir...
Katikati ya mwezi Julai, kituo cha utafiti cha Pew cha Marekani (pew Research Centre) kilitoa matokeo ya utafiti uliofanyika katika nchi 36 duniani, yakionyesha kuwa kati ya nchi hizo, nchi 25...