International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

"Kikosi kazi mahiri (Jeshi) kimeenda Minneapolis kufanya kazi ambayo Meya wa Democrat ameshindwa kuifanya, kama tungetumia mbinu hii siku mbili nyuma kusingekuwa na vurugu na uharibifu kiasi hiki...
3 Reactions
113 Replies
6K Views
dakika 30 za mwisho kabla ya kifo George Floyd Ilianza na ripoti kuhusu noti bandia ya $20. Ripoti ilitolewa jioni ya tarehe 25 Mei, wakati bwana Floyd alinunua pakiti ya sigara katika duka la...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
DRC ni kama wana gubu, yaani kisirani fulani hivi, corona inawatesa, hawajatulia Ebola imewakondolea macho tena halafu walivyo wa ajabu bado wanapigana licha ya mahangaiko hayo.... ====== Five...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hapa nazungumzia weapons of mass destruction Kwa sasa silaha zilizopo zinatishia hali ya usalama wa dunia nzima endapo zikitumika hasa na watu wenye nia ovu. Silaha zikiendelea kuzinduliwa...
0 Reactions
4 Replies
865 Views
Kama ulikua huijui vizuri Korea Kaskazi ngoja nikueleze;- Sheria za Korea Kaskazini:- Korea kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kuwa na dini yaani hakuna waislamu...
16 Reactions
100 Replies
20K Views
Manispaa ya mji wa Luasanne, Uswizi, imechana fomu za maombi ya uraia ya Waislam wawili wanandoa kwa sababu ya kukataa kwao kupeana mikono ya salamu na watu wa jinsia tofauti. Mstahiki Meya wa...
8 Reactions
158 Replies
12K Views
Maandamano yaliyosababishwa na kifo cha Mmarekani mweusi, George Floyd yamepelekea Jimbo la Washington kutangaza muda wa wananchi kubaki ndani baada ya maandamano kufanyika karibu na Ikulu (White...
4 Reactions
207 Replies
17K Views
Naona utamaduni wa kikenya umepenyeza hadi kwenye maandamano kule US of A. Haki yetu!!! [emoji1] Maandamano ya 'Black Lives Matter' yanaendelea hadi sasa hivi kwenye miji zaidi ya 30 kule...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mistari mirefu imeshuhudiwa katika maduka mbalimbali yanayouza vilevi nchini Afrika Kusini baada ya Serikali zuio la takribani miezi miwili ili kudhibiti maambukizi ya CoronaVirus Inadaiwa zuio...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Duru Za Kimataifa: Pyongyang-Korea ya Kaskazini Masaa machache yaliyopita Taifa la Korea ya Kaskazini limefanya majaribio mapya ya Makombora ya Masafa mafupi(Short Range Missiles) . Jana nchi...
3 Reactions
28 Replies
5K Views
NASA is seeking candidates to go into isolation for eight months in an experiment to help prepare for long-term stays on the moon and Mars. Researchers say results of the study will help them...
0 Reactions
5 Replies
653 Views
====== Protests in Minneapolis over the death of George Floyd took a dramatic turn for the worse Wednesday night as city police responded to stores in the city being looted and burned as well as...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
New coronavirus guidelines have made it illegal to have sex in your own home with a person from another household from today. The government is set to lay out the new regulations this morning...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Marekani yaikataza IMF kutoa mkopo kwa Iran kukabiliana na COVID-19 Marekani imelizuia Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kutoa mkopo wa dharura wa dola bilioni 5 za kimarekani kwa Iran...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Taifa kubwa linalojiita baba wa democrasia, haki na usawa yanatokea haya... Polisi anayepaswa kulinda raia anageuka muuaji... Mbaya zaidi Ushahidi wote wa video ulio wazi upo lakini wauaji...
40 Reactions
195 Replies
13K Views
Kanpur: In an appalling video, Principal of Kanpur Medical College Dr. Arati Lalchandani is seen pouring scorn on Muslim patients affected with COVID. “They are terrorists who have come to spread...
0 Reactions
10 Replies
883 Views
UPDATE: First #COVID19 victim in Rwanda, Gisaka Hassan (65) was laid to rest yesterday in the Nyamirambo cemetery, Kigali. He got infected from Tanzania, but asked to be repatriated home and has...
0 Reactions
7 Replies
988 Views
Wakuu habari za muda mchache uliopita POTUS kawatangaza ANTIFA kama kikundi cha kigaidi. Huko Twitter nimeona wengi wakimpongeza sana na nimejaribu kuwa Google hawa jamaa (ANTIFA)sijapata maelezo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
May 31, 2020 10.25am SAST Aikande Clement Kwayu, University of Wisconsin-Madison Tanzanian President John Magufuli attends a ceremony marking the country’s 58th independence anniversary in 2019...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mawaziri saba na mshauri wa Rais wamethibitika kupata maambukizi ya Virusi vya Corona vinayosababisha ugonjwa wa homa kali ya mapafu wa COVID-19. Inasemekana mawaziri hao watasafirishwa ili...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom