ANTIFA is finally declared as terrorist organisation

Mchimba Chumvi

JF-Expert Member
May 19, 2016
2,060
4,845
Wakuu habari za muda mchache uliopita POTUS kawatangaza ANTIFA kama kikundi cha kigaidi. Huko Twitter nimeona wengi wakimpongeza sana na nimejaribu kuwa Google hawa jamaa (ANTIFA)sijapata maelezo kamili lakini ni kama wahuni tu fulani.

Naomba wajuvi mdadavue zaidi hapa

Screenshot_20200531-210743_Twitter.jpg
 
ANTIFA ni tiba nzuri sana ya Neo-Nazis, Neo-fascism, white supremacists na racism.

Na majamaa walikua wametulia kimya ila alivyoingia Ndukum Trump wameanza kuliamsha mdogo mdogo tena.
 
Wakuu habari za muda mchache uliopita POTUS kawatangaza ANTIFA kama kikundi cha kigaidi. Huko Twitter nimeona wengi wakimpongeza sana na nimejaribu kuwa Google hawa jamaa (ANTIFA)sijapata maelezo kamili lakini ni kama wahuni tu fulani.
Labda yeye ndiye mhuni kwani hana hiyo legal authority. Pili kirefu cha ANTIFA ni Anti- Fascism ikiwa na maana ya wapinga tawala zisizo za kidemokrasia kama za kifashisti, Kimla na kidikteta.

Wamarekani kwa ujumla wao hawapendi tawala za kifashisti, hivyo kuita wapinzani wa ufashisti magaidi haiji kichwani. Ikitokea hivyo atakuwa amewaita Wamarekani wote magaidi na wapinga demokrasia.

Na hao wanaompongeza lazima watakuwa wahuni wenzake na kwani ni wazi hawaijui katiba ya Marekani na misingi ya utawala. Nafikiri woga umeanza kumuingia na ameanza kubwabwaja hovyo...tazama hapa...

Trump was briefly taken to an underground bunker during the White House protests. Yawezekana alikuwa aki-tweet ujinga huo akiwa amejificha kwenye underground bunker na leo maandamano yanazidi kuitikisa White House..

The U.S. government does not designate purely home grown groups as terrorist organizations.
 
ANTIFA are Democratic party supporters as well, so Trump aache uhuni wa kisiasa, ANTIFA ni group dogo sana US, Trump sbb hao ANTIFA ni Democratic party supporters ndio anafanya siasa chafu kupata sbb ya kusema ANTIFA is escalating the chaos in US, kumbe sbb kuu ni kukosekana kwa justice kwa mtu mweusi huko US
 
Wakuu habari za muda mchache uliopita POTUS kawatangaza ANTIFA kama kikundi cha kigaidi. Huko Twitter nimeona wengi wakimpongeza sana na nimejaribu kuwa Google hawa jamaa (ANTIFA)sijapata maelezo kamili lakini ni kama wahuni tu fulani.

Naomba wajuvi mdadavue zaidi hapa

View attachment 1464913
Mkuu 'will be designing' haina maana wameshatangazwa kuwa magaidi bana
 
Inawezekana anajaribu kuwatisha hao "ANTIFA" waache kuchochea maandamano.
 
Labda yeye ndiye mhuni kwani hana hiyo legal authority. Pili kirefu cha ANTIFA ni Anti- Fascism ikiwa na maana ya wapinga tawala zisizo za kidemokrasia kama za kifashisti, Kimla na kidikteta.

Wamarekani kwa ujumla wao hawapendi tawala za kifashisti, hivyo kuita wapinzani wa ufashisti magaidi haiji kichwani. Ikitokea hivyo atakuwa amewaita Wamarekani wote magaidi na wapinga demokrasia.

Na hao wanaompongeza lazima watakuwa wahuni wenzake na kwani ni wazi hawaijui katiba ya Marekani na misingi ya utawala. Nafikiri woga umeanza kumuingia na ameanza kubwabwaja hovyo...tazama hapa...

Trump was briefly taken to an underground bunker during the White House protests. Yawezekana alikuwa aki-tweet ujinga huo akiwa amejificha kwenye underground bunker na leo maandamano yanazidi kuitikisa White House..

The U.S. government does not designate purely home grown as terrorist organizations.
Huyu mzee kachanganyikiwa, mbona asiwadesignate alt-right white supremacist na neo nazi kama magaidi. Si kila akitembelea majimbo wanamopatikana anaongea maneno ya kuwasupport.
Shida ya huyu mzee anafanya chochote hata ya kipuuzi ili ashinde tu urais
 
Sirikali ya US yakigaidi mno asee yaani walivyoongozwa na huyu Trump wamezidi kua hawajitambui

mwisho wasiku tutaelewana tu.....
 
Tofauti ya trump na jiwe ni moja anatawala kwa wasio tawalika na mwingine anatawala kwa wanao tawalika. Piriod
 
Back
Top Bottom