International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mbona kama wamemdaka maduro makusudi ni kama kuna mtu wanamtafutia sababu ajichanganye wampasue
16 Reactions
42 Replies
2K Views
Rais wa Côte d'Ivoire, Alassane Ouattara, amekubali kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Robert Beugre Mambe pamoja na serikali yake siku ya Jumatano, kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya rais. Hatua hiyo...
1 Reactions
4 Replies
319 Views
Marekani, taifa lililojengekwa kwa ujambazi na utumwa, limerudia asili yake. Leo, limechukua mafuta ya Venezuela. Kesho, hatujui litachukua madini ya nani. Kesho kutwa, hatujui litawachukua...
3 Reactions
4 Replies
235 Views
Donald Trump says it is “up to” Chinese President Xi Jinping whether China takes over Taiwan. “He (Xi) considers it to be a part of China, and that’s up to him what he’s going to be doing,” Trump...
4 Reactions
15 Replies
543 Views
Serikali ya Marekani imeishutumu Rwanda kwa kutotekeleza kwa uaminifu makubaliano ya amani yaliyotiwa saini Washington yanayolenga kuishia machafuko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo...
4 Reactions
8 Replies
422 Views
Maandamano yanakuwa kwa kasi Wairan wanashusha bendera ya Jamhuri ya Kiislam na kupandisha bendera ya Jua na Simba. Kobazi wanajukumu gumu mbele yao, 1. Kuua watu kama Samia alivofanya 2...
4 Reactions
14 Replies
663 Views
Ni miaka karibia 50 ya ukandamizaji wa raia wa Iran nasa sasa wameamua kusema imetosha, wamejitoa muhanga kuikomboa nchi yao lakini media kubwa zinawapa airtime ndogo sana. Yalianza kama...
2 Reactions
8 Replies
246 Views
Kupitia mtandao wa X/Twitter, Russia imewaomba Marekani kuacha ubabe wao wa kukamata meli, pia Russia imewaomba Marekani kuwatendea vyema raia wa Russia waliotekekwa pamoja na meli iliyokuwa...
3 Reactions
6 Replies
343 Views
Tarehe 14 Desemba 2025, inaripotiwa kutokea shambulio la kigaidi katika jiji la Sydney, Australia. Kwa mujibu wa taarifa zinazosambaa, washambuliaji waliwasili katika fukwe za Bondi Beach na...
4 Reactions
69 Replies
2K Views
Maandamano makubwa yalizuka kote Iran huku serikali ikikata huduma ya intaneti karibu nchi nzima, kulingana na makundi ya ufuatiliaji. Hatua hiyo ilikuja wakati wananchi wakipaza sauti wakidai...
1 Reactions
9 Replies
483 Views
  • Redirect
DAH AISEE HAWA WATU WAJE AFRICA WAKATI WANANZA MAANDAMANO NILIMWAMBIA MTU WAKIUWAWA 40 WOTE NDAN DAH MDA UNAVYOENDA WAKIONGEZA VIFO NA WATU WANAJAZANA MTAAN USIKU WA LEOO BAADHI YA POLISI...
1 Reactions
Replies
Views
Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, katika kile maafisa walichoeleza kuwa ni ishara ya nia...
4 Reactions
1 Replies
237 Views
https://www.instagram.com/reel/DTL2zwckvlX/?igsh=NXI4ZTdyd2h5YXhr
2 Reactions
6 Replies
334 Views
Marekani kujitoa katika mfululizo wa mashirika ya Umoja wa Mataifa yenye kuisaidia Afrika. == The U.S. government has initiated a directive to withdraw from several international organizations...
1 Reactions
5 Replies
364 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Venezuela, Diosdado Cabello, amesema katika shambulio la Marekani lililomuondoa madarakani Rais Nicolous Maduro ilisababisha idadi ya vifo ya watu 100 Hapo awali...
2 Reactions
7 Replies
381 Views
Lengo la Marekani (USA) kutaka kudhibiti au kuwa na ushawishi juu ya Greenland halimaanishi tu “kuitwaa ardhi”, bali linahusiana na maslahi makubwa ya kimkakati, kiusalama na kiuchumi. Kwa ufupi...
8 Reactions
8 Replies
561 Views
Baada ya vita vya pili kumalizika ukweli ni kwamba genius wengi kutoka ujerumani walichukuliwa na marekani , urusi pamoja na uingereza baada ya ujerumani kuionyesha dunia nguvu yao kijeshi na...
9 Reactions
44 Replies
880 Views
Wanaukumbi. Delcy Rodríguez ameapishwa kuwa rais wa mpito wa Venezuela katika kikao cha bunge kilichoanza kwa wito wa kuachiliwa kwa rais aliyeondolewa na kuzuiliwa nchini Marekani Nicolás...
1 Reactions
39 Replies
619 Views
Habari kubwa ya leo duniani imekuwa ni jeshi la US kuiteka Meli ya mafuta iliyotoka Venezuela na kudhaniwa ikielekea Russia. Meli hiyo ilikuwa na bendera ya Russia imedakwa huko Bahari ya...
8 Reactions
53 Replies
1K Views
Kama sababu ya Maduro kutekwa na Marekani ni madawa ya kulevya? Kwanini mlalamikiwa mkubwa kuhusu athari za madawa ya kulevya Marekani ambaye ni China Rais wao Xi Jinping mpaka sasa hajatekwa...
1 Reactions
8 Replies
377 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…