International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Waziri wa mambo ya nje Urusi Bwana Lavlov adai kuwa usiku wa kuamkia leo Ukraini ilijaribu shambulia makazi Putin Amesema kuwa mazungumzo ya amani yanasitishwa Hayo yakitokea Rais wa Ukraini...
2 Reactions
2 Replies
236 Views
Hamas inatangaza rasmi safu ya maafisa wakuu ambao waliangamizwa katika miezi ya hivi karibuni (kwa mpangilio kutoka kushoto kwenda kulia): Abu Ubaida - Msemaji wa Hamas Ra'ad Saad - Mkuu wa...
1 Reactions
8 Replies
272 Views
Kunapokuwa na foleni nchini Ujerumani, madereva hulazimika kisheria kupita pembeni ya barabara ili kuacha nafasi ya magari ya dharura kama magari ya wagonjwa na zimamoto. Je unadhani ni muhimu...
3 Reactions
5 Replies
905 Views
Taiwan inaonekana kuwa nchi ya kwanza kuunga mkono uamuzi wa Israel kuitambua Somaliland. Ijumaa Israel ilitangaza kuitambua rasmi Somaliland kama taifa huru, na kuwa nchi ya kwanza duniani...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Rais wa Marekani alipoulizwa kama Iran utaendelea na mpango wake wa Nuclear na makombola itazhambuliwa? Trump Ali jibu kwa makombola ndiyo atashambuliwa lakini kwa Nuclear atashambuliwa harakati...
1 Reactions
13 Replies
251 Views
Nigeria kuna Boko Haram wenye mirengo mikali ya kiislam ikiwemo kuona watu wa dini nyingine hawatakiwi kuishi na kuwaua ni ibada, wameweza kuua wakristo wengi sana hasa mikoa ya kati (Middle belt)...
8 Reactions
29 Replies
806 Views
Utafutaji mpya wa ndege ya Malaysia Airlines MH370 umeanza zaidi ya muongo mmoja baada ya kutoweka katika moja ya mafumbo makubwa ya ajali za anga duniani. Kampuni ya utafiti wa baharini, Ocean...
1 Reactions
42 Replies
2K Views
Israel, Ugiriki, na Cyprus zimetia saini "mpango wa kazi wa pande tatu" kwa ushirikiano wa kijeshi unaojumuisha, miongoni mwa mambo mengine, mazoezi ya pamoja na mafunzo, vikundi vya kazi katika...
0 Reactions
1 Replies
189 Views
Kwa zaidi ya miaka 30, Somaliland imekuwa ikifanya kazi kama serikali: • Serikali inayofanya kazi • Uchaguzi wa kidemokrasia • Vikosi huru vya usalama • Kutovumilia kabisa na kuwadhibiti magaidi...
4 Reactions
21 Replies
631 Views
BREAKING: ISRAEL yazifunga rasmi ofisi za UNRWA huko Israel.!!!! Bunge la Knesset liliidhinisha sheria inayohitimisha shughuli za UNRWA nchini Israel. Shughuli zitakazo sitishwa ni kama...
1 Reactions
0 Replies
153 Views
Trump kuhusu Hamas: "Itakuwa ya kutisha kwao - ya kutisha, kwa kweli, mbaya sana kwao [kama hawatapokonya silaha]. Sitaki hilo litokee, lakini walifanya makubaliano kwamba watawapokonya silaha."...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Nimechoshwa na swaga za ccm eti tumeleta maendeleo, maendeleo yepi hayo? ya kukamata wapinzani na kuwasweka lupango na kuwalazimisha watu wote wawe ccm utadhani watu wote wanapenda jehanamu...
12 Reactions
60 Replies
2K Views
Anachofanya ni Haki? Kama ni haki dunia imuunge mkono na atembelee na vinchi vinginevyo ambavyo vinaua kubaki madarakani.
2 Reactions
10 Replies
244 Views
Wachambuzi: ISRAEL ILIITAMBUA SOMALILAND HIVI KARIBUNI, LAKINI NI NINI? Kwanza, ufafanuzi wa haraka: Somaliland sio Somalia. Somaliland imekuwa ikifanya kazi kama chombo tofauti, kinachojitawala...
2 Reactions
2 Replies
336 Views
Wapendwa kwanza niwatakie heri ya X mass na mwaka mpya, then niende kwenye mada yangu Nadhani hakuna asiyejua kua America ndio baba wa ubepari, kuna miaka hapo nyuma walikua wanajificha sana...
0 Reactions
1 Replies
318 Views
Ipo Haja Nchi za Afrika Kufanya tathmini ya kimaendeleo ukilinganisha na misaada tunayopata kutoka kwa wakoloni, Lazima tutambue Kwa Kuangalia Malengo,Mikakati,Sera na Matokeo ya uwekezaji...
0 Reactions
0 Replies
134 Views
Nchi za kiarabu na kiislamu zimepinga vikali Somaliland kutambuliwa na Israel. Ikumbukwe kuwa nchi ya Somaliland imekuwa huru kwa zaidi ya miaka 30 na hakuna nchi yoyote ya kiarabu iliyoitambua...
6 Reactions
8 Replies
479 Views
Ilitoa sharti kama lazima msikiti ujengwe kwenye ardhi yake lazima muundo uonekane wenye mandhari ya Kichina, na Mchina yeyote anayejiunga kwenye dini ya muarabu anapaswa atambue yeye ni Mchina...
4 Reactions
15 Replies
521 Views
Marekani kwa kushirikiana na Serikali ya Nigeria, imewashambulia magaidi huko kaskazini magharibi mwa Nigeria. Trump anadai anapambana na magaidi wanaowashambulia wakristo wa Nigeria. Serikali ya...
12 Reactions
58 Replies
1K Views
Mtangazaji wa TV kutoka Marekani Tucker Carlson ametoa mahojiano yake na Rais wa Iran Masoud Pezzekian. Siku mbili zilizopita, alitoa video akisema kwamba alikuwa amemhoji Bw. Pezzekian na...
2 Reactions
4 Replies
491 Views
Back
Top Bottom