International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Viongozi wa upinzani nchini Mali wamemtaka rais Ibrahim Boubacar Keita kujiuzulu , baada ya kukataa makubaliano yaliolenga kuzuia machafuko yanayoendelea nchini humo. Takriban watu wanne waliuawa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mzuka wanajamvi Mimi ni kati ya watu nayempenda Yesu kupita maelezo na huniambii kitu. Ila dah kumfananisha Yesu na wamatumbi hiii nakataa aisee. Dunia kweli haishi vituko. Leo ndege ya Alaska...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa, Jumapili alitangaza kwamba serikali yake itarudisha marufuku iliyokuwepo ya uuzaji wa pombe na curfew ya kutoka nje...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
THINKING ON SOUTH AFRICA CHANGES by DON NALIMISON. Changing a name of Rulling Political Party AFRICAN NATIONAL CONGRESS (ANC) to be ARENA FOR CORRECTION OF AFRICA(ACA). I DON NALIMISON a...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Rastafarian ateuliwa na Raisi mpya Mchungaji Chikwera kuwa mwanashria mkuu wa serikali ya Malawi aapishwa kwa Biblia watu wamshangaa huyo Rasta akiapa kwa Biblia. Maneno mengine kwenye kiapo...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Shirika la Afya (WHO) limesema mlipuko wa Ebola unaendelea kusambaa na visa 48 vimethibitishwa nchini humo tangu Mamlaka zilipotangaza kuibuka upya kwa ugonjwa huo mwezi Juni Mkurugenzi wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Utangulizi: Nchi kumi na tano, Italy, Portugal, France, India, the US, Canada, Sweden, Spain, South Africa, Mexico, United Arab Emirates and the Netherlands zimekubali kuingia rasmi kwenye mfumo...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Mzuka wanajamvi! Wezi na majambazi wetu Tanzania wanajitahidi sana kiwa na Staha. South Africa muna tisha kwa ujambazi tena bila aibu. Ni nchi gani mihalifu haijionei aibuwala kuogopa licha ya...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Vizazi vitatu vya familia maarufu inayoshiriki katika filamu za Bollywood vimekutwa na virusi vya corona kulingana na maafisa katika jimbo la Maharashatra nchini India. Matokeo siku ya Jumapili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mchungaji mmoja nchini Uganda amejikuta akizamishiwa msumari kwa nyundo mpaka kutoboka mdomo baada ya kupita mitaani huku akihubiri injili na kuimba wimbo wa mapambio unaomsifia Rais Museveni wa...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia imeeleza kuwa faini hiyo itakuwa kiasi cha Shilingi za Kitanzania 6,179,510 kwa watakaokiuka au kuingia bila ya kibali Agizo hili limetolewa wakati wa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
The UK government has said it will no longer publish data on the daily number of individual people being tested for coronavirus, after five weeks of failing to release such statistics Downing...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
Iran imesema chanzo cha kudunguliwa kwa ndege ya Ukraine Januari mwaka huu na kupelekea abiria wote 176 kupoteza maisha ni kosa la kibinadamu Ripoti iliyotolewa na Shirika la Usafiri wa Anga...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
So how did Malawians fight for electoral reforms They organized and protested. They were shot at by the police, so they organized some more & protested in bigger numbers. When the president...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Madagascar imeuweka Mji wake Mkuu, Antananarivo kwenye ‘lockdown’ mpya kufuatia ongezeko jipya la maambukizi ya CoronaVirus ikiwa ni miezi miwili tangu masharti ya ‘lockdown’ hiyo yalipolegezwa...
5 Reactions
58 Replies
6K Views
An expert on Iran’s military nuclear program says the mysterious explosion last week that hit the top-secret Natanz nuclear facility destroyed nearly three-quarters of Iran’s main centrifuge...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Watu watano wameuawa baada ya washambuliaji kuvamia kanisa moja Afrika Kusini wakati malumbano yanaendelea juu ya uongozi wa kanisa hilo. Polisi Afrika Kusini imesema kwamba wamenusuru wanaume...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika kipindi chote tangu mwezi Januarimwaka huu, baadhi ya viongozi wa Marekani wamekuwa wakiendesha kampeni yenye malengo la kisiasa kunyooshea vidole nchi nyingine, wakitumia mbinu hiyo kama...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Julai, 11 ya miaka 15 iliyopita ilikuwa ni siku ya kuadhimisha miaka 600 tangu mwanabahari maarufu wa China Zheng He aanze safari yake baharini kwa kuongoza kikosi kikubwa cha marikebu katika Enzi...
2 Reactions
1 Replies
611 Views
Mwanasheria wa Malawi, Mordecai Msiska amekataa uteuzi wa kuwa waziri wa Sheria na haki kwenye baraza la Rais Lazarus Chakwera. _ Anasema itaonekana kama fadhila au thawabu baada ya kumsaidia Rais...
23 Reactions
73 Replies
8K Views
Back
Top Bottom