Malawi hawakuipata tume huru kwa maridhiano. Kuna waliokufa, waliokuwa vilema na wameidai kwa maandamano zaidi ya miezi 10. Hii ndio Afrika

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
So how did Malawians fight for electoral reforms

They organized and protested. They were shot at by the police, so they organized some more & protested in bigger numbers.

When the president refused to listen to their dem

IMG_20200712_190955.jpg
ands, they marched on State House.

It took 10 months. https://t.co/xUexOmrOVH
 
Nilisema humu. Tume huru haiombwi Bali inalazimishwa. Hakuna sehemu ambapo tume iliamua tu kuwa huru.

Kenya walikichafua kweli kibaki alipoleta za kuleta ndo wakapata maridhiano na hatimaye katiba mpya na tume huru.

Same to Malawi, walikichafua kweli maandamano na civil disobedience kwa miezi hadi muthalika akatii baada ya vyombo vya ulinzi kuanza kuunga mkono wananchi.

Guinea pia na hata Ivory Coast na Sudan pia.hindi

Mwaka huu upinzani uwe na hoja kuu moja. Kura zinapigwa kituoni, wananchi wanalinda kura hizo kituoni, zinahesabiwa mbele yao kituoni na matokeo yote kuanzia ya udiwani, ubunge hadi uraisi yanatangazwa kituoni. Hakuna suala la kura kuhamishwa au kuhesabiwa s kificho.

Na ikitokea CCM kulazimisha matokeo sio wananchi wote waingie mtaani kudai ushindi wao. Ikiwezekana vyombo vya ulinzi kama vinaweza viwapige risasi wananchi wote.

Hapo ndo TANZANIA tutapata demokrasia ya kweli na vyombo vyote vitasimama upande wa wananchi
 
Watanzania wengi wanajitambua sana kuliko nyie wanasiasa uchwara mnaojificha nyuma ya tume huru, kumbe mna njaa ya kutaka kuifisadi nchi.
Hakuna anaejitambua atathubutu kuingia barabarani kwa ajili ya upuuzi wenu.
Acha CCM iendelee tu huko upande wa pili hakuna kumejaa majambazi.
 
Nilisema humu. Tume huru haiombwi Bali inalazimishwa. Hakuna sehemu ambapo tume iliamua tu kuwa huru.

Kenya walikichafua kweli kibaki alipoleta za kuleta ndo wakapata maridhiano na hatimaye katiba mpya na tume huru.

Same to Malawi, walikichafua kweli maandamano na civil disobedience kwa miezi hadi muthalika akatii baada ya vyombo vya ulinzi kuanza kuunga mkono wananchi.

Guinea pia na hata Ivory Coast na Sudan pia.hindi

Mwaka huu upinzani uwe na hoja kuu moja. Kura zinapigwa kituoni, wananchi wanalinda kura hizo kituoni, zinahesabiwa mbele yao kituoni na matokeo yote kuanzia ya udiwani, ubunge hadi uraisi yanatangazwa kituoni. Hakuna suala la kura kuhamishwa au kuhesabiwa s kificho.

Na ikitokea CCM kulazimisha matokeo sio wananchi wote waingie mtaani kudai ushindi wao. Ikiwezekana vyombo vya ulinzi kama vinaweza viwapige risasi wananchi wote.

Hapo ndo TANZANIA tutapata demokrasia ya kweli na vyombo vyote vitasimama upande wa wananchi
Hicho ndo huwa kinafanyika. Kura zote huwa zinahesabiwa kituoni na matokeo yanabandikwa hapo hapo. Na kila chama huwa kina wakala wa kusimamia na kulinda kura zake. Majumuisho ndo huwa yanafanyika kwenye Vituo Maalum.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Watz wengi wabinafsi, sio rahisi kujitoa kupigania tume huru kwa maslahi mapana ya taifa.
 
Hicho ndo huwa kinafanyika. Kura zote huwa zinahesabiwa kituoni na matokeo yanabandikwa hapo hapo. Na kila chama huwa kina wakala wa kusimamia na kulinda kura zake. Majumuisho ndo huwa yanafanyika kwenye Vituo Maalum.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Sasa mwaka huu kila kitu kinasimamiwa na nguvu ya umma. Kila hatua hadi mwisho.
 
Kwa taarifa yako tu, Malawi ni moja kati ya nchi masikini kupindukia Duniani ya pili kutoka chini, hivyo sijui unatushauri nini hapo?
 
Ila Zanzibar ingelikuepo ni nchi inayojitegemea wangefanikiwa kupata tume huru kama . Kwasababu mwaka 2000 wazanzibar wengi walikufa kipindi cha uchaguzi. Huku philosophy ya Mwl Nyerere imetulemaza
So how did Malawians fight for electoral reforms:
They organized and protested. They were shot at by the police, so they organized some more & protested in bigger numbers.

When the president refused to listen to their demView attachment 1504794ands, they marched on State House.

It took 10 months. https://t.co/xUexOmrOVH
 
Tusimame na sisi tudai tume huru kwa nguvu zote tunaweza.

Watanzania tunasubiri Jiwe aamue kutupa Tume huru. Tutasubiri sana. Najua huu uzi utafutwa muda mfupi ujao lakini message sent.
Tanzania ukitaka kushiriki maandamano lazima uitwe kwenye kikao cha ukoo wakakuonye.
Nilisema humu. Tume huru haiombwi Bali inalazimishwa. Hakuna sehemu ambapo tume iliamua tu kuwa huru.

Kenya walikichafua kweli kibaki alipoleta za kuleta ndo wakapata maridhiano na hatimaye katiba mpya na tume huru.

Same to Malawi, walikichafua kweli maandamano na civil disobedience kwa miezi hadi muthalika akatii baada ya vyombo vya ulinzi kuanza kuunga mkono wananchi.

Guinea pia na hata Ivory Coast na Sudan pia.hindi

Mwaka huu upinzani uwe na hoja kuu moja. Kura zinapigwa kituoni, wananchi wanalinda kura hizo kituoni, zinahesabiwa mbele yao kituoni na matokeo yote kuanzia ya udiwani, ubunge hadi uraisi yanatangazwa kituoni. Hakuna suala la kura kuhamishwa au kuhesabiwa s kificho.

Na ikitokea CCM kulazimisha matokeo sio wananchi wote waingie mtaani kudai ushindi wao. Ikiwezekana vyombo vya ulinzi kama vinaweza viwapige risasi wananchi wote.

Hapo ndo TANZANIA tutapata demokrasia ya kweli na vyombo vyote vitasimama upande wa wananchi
Sasa mwaka huu kila kitu kinasimamiwa na nguvu ya umma. Kila hatua hadi mwisho.
 
Tusimame na sisi tudai tume huru kwa nguvu zote tunaweza.

Uko sahihi sana, hizi hadithi sijui cdm na Act waungane ili kuishinda ccm kwenye uchaguzi ni kupoteza muda. Ilitakiwa kuwa tunaungana ili kupata tume huru ya uchaguzi, na sio kuungana kushiriki uchaguzi wa kishenzi. Kabla ya mazuio ya mikusanyiko kutokana na Covid, kulikuwa na joto la kudai tume huru, na serikali ilipata joto. Ila nashangaa kelele hizo zikaisha, na sasa watu wanazungumzia kushiriki tu uchaguzi.

Kwenye hili sioni kama vyama vya upinzani vinajipanga vyema. Bila machafuko sioni kupata tume huru ya uchaguzi au katiba mpya. Namuunga mkono Tundu Lisu, sio kwakuwa tushiriki kupiga kura chini ya tume hii, bali anaweza kupandisha hamasa ya kupata tume huru ya uchaguzi. Hawa akina Mbowe na Zito bado wanapambana kwa siasa za muda mfupi.
 
Back
Top Bottom