Video: Matukio kama haya kamwe huwezi kuyaona Tanzania. South Africa siyo pakutembelewa tena

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Mzuka wanajamvi!

Wezi na majambazi wetu Tanzania wanajitahidi sana kiwa na Staha. South Africa muna tisha kwa ujambazi tena bila aibu. Ni nchi gani mihalifu haijionei aibuwala kuogopa licha ya kujua kuna CCtv.

Nilikuwa na mpango wa kutembelea sauz kwa ajili ya watoto wakali sasa nimeghair baada ya kuangalia hizi video zilizonas matukio ya kuogofya.

  1. WanJF mnaoishi sauz hivi kweli mkitoka nja manajisia salama? Ng'wanapagi Isanga family mshana

  2. Jrhttps://m.youtube.com/watch?v=qayW_N8OcMA


 
Asingeweza ku drive
Ila hii pic ya pili nadhani ni kisasi
jamaa hawakuwa na mpango wa kuiba
shoot and run
Picha ya pili. Alipanik huyo kibaka. Nahisi alikosea kumlenga jamaa.
**Aliyekuwa anafuta kioo Hali yake ikoje?
 
Kosa walilofanya serikali ya south Africa kuruhusu watu kuingia kiholela,asilimia kubwa ya wahalifu ni wageni
Hilo sio kosa.Kosa ni kutothibiti umiliki wa silaha za moto kiholela.Hata nami kuna mitoko lazima nijihami nikiwa huko.
 
Back
Top Bottom