Saudi Arabia: Watakaokiuka na kuingia kwenye maeneo matakatifu ya Mecca kulimwa faini ya Tsh: 6,179,510

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,551
2,000
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudi Arabia imeeleza kuwa faini hiyo itakuwa kiasi cha Shilingi za Kitanzania 6,179,510 kwa watakaokiuka au kuingia bila ya kibali

Agizo hili limetolewa wakati wa kuelekea kwa msimu ambao watu kutoka mataifa mbalimbali Duniani wenye imani ya Kiislamu hufika Mecca kwa ajili ya kuhiji

Maambukizi ya Ugonjwa wa #COVID19 yamesababisha kuzuiwa kwa watu kufika eneo hilo bila ya ruhusa maalum ya Serikali na pia kuwepo kwa idadi ndogo ya watakaoruhusiwa kufanya hija

Wizara hiyo imeeleza kuwa utekelezaji wa agizo hili kuanzia tarehe 19 Julai 2020 hadi tarehe 2 Agosti 2020

#JFCOVID19_Updates

======

Saudi Arabia’s interior ministry confirmed it will be imposing a fine of 10,000 Saudi riyals ($2,666) for violators entering the holy sites in Mecca without a permit during the upcoming Hajj season, which will be held in a limited capacity this year due to the coronavirus pandemic.

A statement from the Kingdom’s Ministry of Interior said the fine would come into effect from July 19 (28 of Dhul Qadah) until August 2 (12 of Dhul Hijjah).
A picture taken June 23, 2020 shows pilgrims housing tents located between the holy sites of Arafat and Mina in Saudi Arabia's holy city of Mecca. (AFP)

A picture taken June 23, 2020 shows pilgrims housing tents located between the holy sites of Arafat and Mina in Saudi Arabia's holy city of Mecca. (AFP)​
The fine would double to 20,000 Saudi riyals ($5,332) for repeat offenders.

“An official source at the Ministry of Interior called on all citizens and residents to abide by the instructions for the pilgrimage season this year, stressing that security officers will begin their duties in all roads and paths leading up to the holy sites to prevent violations and control any attempt to enter the areas during the specified period,” a statement from the interior ministry released on the Saudi Press Agency (SPA) read.

Saudi Arabia will allow limited Hajj pilgrimage this year due to the continued risk of the COVID-19 coronavirus pandemic. Authorities confirmed they have limited the number of pilgrims on this year’s Hajj to 10,000 in line with safety concerns over the ongoing COVID-19 pandemic.

The deadline for non-Saudi Arabian pilgrims who want to perform the Islamic pilgrimage of Hajj this year passed on Friday. Hajj is one of the five pillars of Islam and a must for able-bodied Muslims at least once in their lifetime. Last year, 2.5 million pilgrims performed their Hajj pilgrimage to Mecca and Medina.
 

Jurjani

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
18,621
2,000
... hapo sasa! Waumini wanakimbilia kuzitafuta radhi za Mwenyezi Mungu tena kwenye chanzo lakini serikali inawakatalia! Dunia imejaa unafiki sana hii.
Sasa unaongelea kidini au mtazamo wako ?

Hilo ni jambo la kidini na duni imeruhusu kuchukua tahadhari, na wao wapo sahihi na wanafanyia kazi mafundisho ya mtume.

Ahsante.

"400kV Tapped"
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
12,464
2,000
Sasa unaongelea kidini au mtazamo wako ?

Hilo ni jambo la kidini na duni imeruhusu kuchukua tahadhari, na wao wapo sahihi na wanafanyia kazi mafundisho ya mtume.

Ahsante.

"400kV Tapped"
... sema Mwenyezi Mungu ameruhusu kuchukua tahadhari sio dunia; utaeleweka zaidi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom