International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Historia ipo clear kabisa.tuelewe mgogoro wa israili na Palestine unashinikizwa na mataifa makubwa. Mnafahamu nchi nyingi zimekuwa na mgogoro wa ardhi na mipaka mnafahamu India na Pakistani...
2 Reactions
23 Replies
7K Views
Angry EU leaders struggle to save deadlocked COVID-19 recovery summit Squabbling EU leaders battled on into the early hours of Monday to try and break the deadlock as their summit on a huge...
1 Reactions
2 Replies
512 Views
Mafanikio ya Taiwan dhidi ya Corona yamesababisha iongeze umaarufu duniani na kutambulika zaidi, hii imefanya China inune sana maana huwa haitaki dunia kuitambua Taiwan kama taifa huru. ========...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mahmoud Mousavi Majd amehukumiwa kufa kwa tuhuma za kupeleka taarifa za kiusalama za Iran kwa wamarekani na kufanikisha mpango wa kumuua Qassem Soleimani. Majd ameuawa Julai 20, kwa amri ya...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Africa wazungu humshangaa mfalme mswati na kuoa kwake kila mwaka, Bulgaria kuna mnada ambao wazazi wenye watoto wa kike kila mwaka mwezi wa kumi huwapeleka watoto wao mnadani kwenye mnada mkubwa...
5 Reactions
10 Replies
3K Views
Achana na China vuka mpaka Rusumo nenda kigali chukua mzigo wa kutosha simu za smartphones kutoka kiwandani ndani ya kigali, Kahama, mwanza, bukoba, shinyanga kazi kwenu.
4 Reactions
23 Replies
5K Views
Shirika la Afya Duniani |(WHO) limeripoti kwa siku ya pili mfululizo juu ya kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya corona duniani, huku jumla ya visa vya vipya ikipindukia 259,000 katika muda wa...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Syria inatarajia kufanya Uchaguzi wa Bunge katika maeneo yanayodhibitiwa na Serikali leo, ikiwa ni takriban miaka 20 ya Rais Bashar al-Assad kuwepo madarakani Zaidi ya wagombea 2,000 wakiwemo...
2 Reactions
5 Replies
660 Views
Hivi ni kwanini makundi ya kigaidi hayaishambulii Russia ukilinganisha na yanavozishambulia nchi za Ulaya German, France na hata Marekani Russian ni moja ya nchi ambayo pia ina control au...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Kama mtakumbuka mwanzoni mwa ugonjwa wa Corona nchi ya Madagascar ilijinai kugundua dswa ya kutibu Corona na kuanza kuuza nje ya nchi ambapo hata Tanzania tulituma ndege ya Rais kwenda kuzoa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amepongeza familia ya Rais wa kwanza wa nchi hiyo Nelson Mandela kwa kusema wazi kwamba binti yao, Zindzi, alikufa kwasababu ya ugonjwa wa virusi vya corona...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Chama cha wamiliki wa bunduki wa Marekani, National Riffle Association kimetangaza kumuunga mkono Rais Donald J. Trump au maarufu kama Tarrif Man kwenye uchaguzi mkuu ujao wa November 3, 2020 NRA...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Hivi karibuni Umoja wa Mataifa UN umetoa ripoti ya mwaka 2020 ambayo inaonesha hali ya chakula na lishe sio ya kuridhisha hata kidogo. Ripoti hiyo ya hali ya usalama wa Chakula na Lishe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ayatollah mwaka huu analo[emoji1313] badala ya kutibu watu wake Corona yeye anawaza waza tu kufadhili magaidi wa Kishia tu huko mashariki ya kati na huku Virusi vya corona : Watu milioni 25...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
..... Hii ndio AC-130, Ni dege la mashambizi mazito kutoka katika jeshi la marekani na makazi yake ya kudumu ni HURLBURT FIELD, Fla. Na linahudumu kutoka Kikosi cha 4 cha Operesheni Maalum...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
An Iranian power plant has been hit by an explosion, the country’s official news agency has reported. There were no casualties after the blast in the central Isfahan province, according to IRNA...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Naibu Mkuu wa Kamati ya Kisiasa ya Baraza la Mpito la Uongozi nchini Sudan amekanusha madai kuwa nchi hiyo inahusika katika mapigano yanayojiri nchini Libya au kutuma mamluki nchini humo. Luteni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
CNN)The US has "several" intelligence indications that Iran has put portions of its air defense system on "high alert" in recent days, following unexplained explosions at key facilities tied to...
0 Reactions
1 Replies
744 Views
Licha ya ongezeko la visa vya COVID19, Rais Donald Trump amesema hakubaliani na kuwekwa amri ya wananchi kuvaa barakoa kwakuwa anaamini watu wanapaswa kuwa na uhuru fulani Kauli yake inakuja...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Waziri wa digitali wa Taiwan amesema Huawei ni kirusi cha kichina au Trojan horse kutoka China na ni hatari kuitumia kwenye mfumo wa mawasiliano ya nchi Waziri huyo ambae zamani alikua muiba...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…