International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Baada ya miongo kadhaa umoja wa nchi za kiarabu ujulikanao kama UAE umerusha rocket ya kwenda kufanya uchunguzi anga za mbali. Chombo hicho kinafahamika kwa jina la JAXA (Hope probe) kimeondoia...
2 Reactions
59 Replies
5K Views
Toka mwaka jana 2019 Japan imekua ikiyashawishi na kuahidi kuyapa ruzuku ya serikali makampuni yake yote yaliyoko China kuhama nchi hiyo yarudi nyumbani au yatafte nchi nyingine ya Asia nje ya...
8 Reactions
213 Replies
14K Views
Baada ya Madagascar kutangaza dawa inayotibu corona "organic covid " tayari Marekani na WHO wameionya Madagascar kuachana na dawa hiyo na kama haitokuw hivyo watasitisha misaada inayoenda...
16 Reactions
92 Replies
14K Views
Serikali ya Uingereza imetangaza kuwa kuanzia tarehe 31 Desemba mwaka huu, kununua vifaa vya teknolojia ya 5G kutapigwa marufuku, na vifaa vyote vya kampuni ya Huawei vya teknolojia ya 5G...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Trump administration officials were reportedly notified Wednesday night that a cafeteria worker on the White House grounds has tested positive for the Coronavirus. The employee worked at a...
0 Reactions
1 Replies
940 Views
It goes without saying that the reason Africa will face the worst of Covid-19 last is because we are very poorly connected to the rest of the world. We do very little business with the rest of...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Serikali ya uingereza inafikiria kuanza kuwataka wapelelezi wote wa kigeni(foreign spies) wanao ishi nchini humo kusajiliwa kwenye register ya wapelelezi wa kigeni. Wapelelezi wote wanaishi kwa...
1 Reactions
2 Replies
772 Views
17 people dies in Delta tanker explosion 17 people have reportedly died in the petrol tanker explosion which occurred at Koko Junction on the Benin/Sapele Expressway in Ethiope West...
0 Reactions
0 Replies
594 Views
Urusi yatarajia kupunguza matumizi kwa jeshi lao kwa 5% kwa mwaka 2021 hadi 2023 kutokana na kupungua kwa bei za mafuta na janga la COVID19 lilivyoathiri uchumi wa nchi hiyo Kwa takwimu za mwaka...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimeshangazwa na habari kuwa Madagascar inaoma msaada wa kupambana na corona wakati wana dawa. Nikafuatilia dawa yao iliyoletwa Tanzania kujua utafiti ulionyesha nini juu ya dawa hiyo - sikupata...
0 Reactions
0 Replies
968 Views
| Jamhuri ya Panama, Republic of Panama au República de Panama ni taifa linalopatikana Amerika ya Kaskazini na kwa kiasi Amerika ya Kati. Panama yenye ukubwa wa 78,200 Square Kilometers sawa na...
26 Reactions
91 Replies
10K Views
Huko Afrika Kusini lori lililokuwa limebeba sampo za vipimo vya Virusi vya Corona ambalo lilikuwa limepaki maeneo ya packing za magari mengine wezi wameliiba hilo lori na kutokomea nalo...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Urusi Yakataa Ombi La Irani Kuuziwa Mfumo Wa Ulinzi Wa Makombora Wa S-400 Urusi imekataa ombi la Irani kuuziwa mfumo wa ulinzi wa anga wa S-400, kukiwa na wasiwasi kuwa uuziwaji huo ungeweza...
2 Reactions
60 Replies
11K Views
Baada ya India kuingia kwenye mgogoro wa China, kampuni ya mawasiliano ya Airtel inatarajia kuachana na kampuni ya Huawei. Airtel imeikaribisha kampuni ya Errickson kutoka Sweden kupata vifaa vya...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
An explosion was reported Sunday at the Islamabad power plant in Iran’s central Isfahan province, the latest in a mysterious set of explosions and blazes that have rocked the Islamic Republic...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Bunge la Zambia limelazimika kufungwa baada ya Msajili wa Bunge, Rogers Mwewa kufariki baada ya kupatwa na CoronaVirus Mwewa aliugua na kufariki, ameshazikwa Julai 21. Makamu wa Rais, Inonge Wina...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais Donald Trump amewataka wamarekani watumie barakoa. Awali, Rais Trump alikuwa havai barakoa kwa madai kuwa hazina msaada wowote, ila sasa amesema ataanza kuvaa Nchi hiyo imerekodi vifo 1,000...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa hii kasi ya maambukizi naanza kuamini kabisa kuwa china walidanganya. inawezekanaje ugonjwa uanzie kwao wadhani ni ugonjwa wa kawaida watu wajichanganye mitaani kwa miezi miwili ndipo mgundue...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mkanganyiko wa elimu uliosababishwa na janga la COVID-19 unawazuia watoto kuanza kupata elimu yao wanayostahili ilisema taarifa ya UNICEF Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi karibuni, Marekani imefanya kila iwezalo kwa kisingizio cha “usalama wa taifa” kuidhoofisha kampuni ya teknolojia ya Huawei, hata kuikashifu kuwa “mkiukaji wa haki za binadamu” na kutangaza...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom