Bulgaria kuna mnada wa wachumba unampeleka binti yako mnadani anapigwa mnada mwanaume anayeshinda bei ndiye anamuoa

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Africa wazungu humshangaa mfalme mswati na kuoa kwake kila mwaka, Bulgaria kuna mnada ambao wazazi wenye watoto wa kike kila mwaka mwezi wa kumi huwapeleka watoto wao mnadani kwenye mnada mkubwa kama ulivyo wa wanyama,Binti huvaa vizuri akifikishwa mnadani hupigwa bei mwenye bei ya juu ndie huoa. ANGALIA HII VIDEO, mnada kama huu ungefanyika Tanzania kuna wanaume wasingepata mtu wa kuoa sababu ya ulofa

Uganda maeneo ya Port Bell katika klabu ya usiku ya Wheel House kulikuwa na michezo ya wanawake kucheza utupu na kutunzwa pesa. Na ikifika muda mapedeshee wanamtafuta mwanaume shababi alale naye pale jukwaani huku raia wakila shoo.Kadri shoo inavyokolea watu wanazidi kutunza pesa.

Dunia haishii visa na mikasa.
 
Sijui diva angekuwa bei gani. Ila kwa sabbu ni mnada. Ningejitahidi utunza kibubu na kila mnada na huduria.
 
Uganda maeneo ya Port Bell katika klabu ya usiku ya Wheel House kulikuwa na michezo ya wanawake kucheza utupu na kutunzwa pesa. Na ikifika muda mapedeshee wanamtafuta mwanaume shababi alale naye pale jukwaani huku raia wakila shoo.Kadri shoo inavyokolea watu wanazidi kutunza pesa.

Dunia haishii visa na mikasa.
Haya mambo bado Yapo huko

Nataka niende nikasafishe macho
 
Haya mambo bado Yapo huko

Nataka niende nikasafishe macho
Wheel House kwa sasa imebaki gofu, Ilikuwa inavuma kipindi Meli za kutoka Tanzania kama MV Umoja zilipokuwa zikienda Uganda.

Wanawake walikuwa wakiona meli, inakuwa balaa au ukienda mtanzania.

Hiyo michezo labda Kampala kwenye maklabu kutakuwa na kachebali(Kumwaga maji) jukwaani na kucheza utupu
 
Back
Top Bottom