Smartphone manufacturing in Kigali Rwanda

Smartphone manufacturing in Kigali Rwanda

Mr Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2019
Posts
517
Reaction score
524
Achana na China vuka mpaka Rusumo nenda kigali chukua mzigo wa kutosha simu za smartphones kutoka kiwandani ndani ya kigali, Kahama, mwanza, bukoba, shinyanga kazi kwenu.
IMG_20191007_212901.jpg
 
Attachments

  • IMG_20191007_212633.jpg
    IMG_20191007_212633.jpg
    33.3 KB · Views: 11
  • IMG_20191007_211532.jpg
    IMG_20191007_211532.jpg
    68.7 KB · Views: 11
  • IMG_20191007_211550.jpg
    IMG_20191007_211550.jpg
    60.2 KB · Views: 10
  • Screenshot_2019-10-07-21-23-07.png
    Screenshot_2019-10-07-21-23-07.png
    341 KB · Views: 7
Nitasapoti cha nyumbani (East Africa)....

Ila ubora ndo wasi wasi aseee[emoji848]
 
Nilivyowaona hao Wahindi hapo,hizo simu zitakuwa Lava Smartphone za Wahindi wanafanya assembling. Nzuri sana lakini bei si rafiki.
Mkurugenzi wa hio co. Iliyoinvest Mara Co. huko Rwanda amesema only wao in Africa ndio wanafanya manufacturing(parts zaidi ya 1000 per phone),amesema nchi kama ghana/ethiopia wao wana assemble tu
 
Mkurugenzi wa hio co. Iliyoinvest Mara Co. huko Rwanda amesema only wao in Africa ndio wanafanya manufacturing(parts zaidi ya 1000 per phone),amesema nchi kama ghana/ethiopia wao wana assemble tu
Itakuwa maajabu ya karne, 1000%?
Kwa hiyo hapo kuna production ya vioo, screw, camera, batteries.....

Wabongo kwa chumvi. Nilichosoma Forbes ni kuwa watakuwa wanafanya manufacturing tofauti na assembling kwa wanavyofanya wengine Africa. Na manufacturing haimaanishi kila parts inakuwa manufactured hapo. Kwanza sio economical viable na haimake sense. Kama ingekuwa ndivyo tungeambiwa ndo kampuni pekee Duniani inayofanya hivyo
 
Hivyo ndivyo nilivyokua nimelewa lkn kwa sababu mwl Kashasha umekuja nashukuru kwa ufafanuzi.

'This is the first smartphone manufacturer in Africa,” Thakkar told Reuters after touring the company alongside Rwanda’s President Paul Kagame.

Companies assemble smartphones in Egypt, Ethiopia, Algeria and South Africa, but import the components, he said.

“We are actually the first who are doing manufacturing. We are making the motherboards, we are making the sub-boards during the entire process,” he said. “There are over 1,000 pieces per phone.”
 
Companies assemble smartphones in Egypt, Ethiopia, Algeria, and South Africa, but import the components, he said.

“We are actually the first who are doing manufacturing. We are making the motherboards, we are making the sub-boards during the entire process,” he said. “There are over 1,000 pieces per phone.”

Thakkar said the plant had cost $24 million and could make 1,200 phones per day.

Mara Group hopes to profit from the African Continental Free Trade Agreement, a pact aimed at forming a 55-nation trade bloc, to boost sales across Africa, Thakkar said.

The agreement is due to begin trading in July next year, aiming to unite 1.3 billion people and create a $3.4 trillion economic bloc. But it is still in the very early stages and no timelines have been agreed for abolishing tariffs.

Kagame said he hoped the phones would increase Rwanda’s smartphone usage, currently at around 15%.

“Rwandans are already using smartphones but we want to enable many more. The introduction of Mara phones will put smartphones ownership within reach of more Rwandans,” Kagame said.
 
Izi simu ni kwa ajili ya kufanya ujasusi kwenye nchi za africa. Na pia nina jiuliza what behind the name maraphone?
 
Izi simu ni kwa ajili ya kufanya ujasusi kwenye nchi za africa. Na pia nina jiuliza what behind the name maraphone?
Kwani shida ikowapi? Hii ni digital world nayenye digital intelligence. Yani we ungejua kitu chenye high price duniani ni taarifa. You should know that!
 
Tunasubiri kile Kiwanda cha Mengi kianze kututengenezea smartphone,napendekeza kwako Mjane Jacklyn ukiwa kama mrithi wa hicho Kiwanda smartphone ya kwanza ipewe jina la Jiwe.
Unataka wafunge kiwanda?
Yaani simu iitwe "Magufuli " hizo simu watamiliki kina Le mutuz, Barbarosa, mudawote, YEHODAYA, jingalao na kenge zingine za Lumumba
 
Back
Top Bottom