Abdul Nondo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 523
- 2,947
Historia ipo clear kabisa.tuelewe mgogoro wa israili na Palestine unashinikizwa na mataifa makubwa.
Mnafahamu nchi nyingi zimekuwa na mgogoro wa ardhi na mipaka mnafahamu India na Pakistani ,sudani kusini na kaskazini.ila migogoro hii imetatuliwa kwa mipaka kugawiwa Pakistan na india mnafahamu, kwanini iwe ngumu Palestine na Israel ?
Ipo hivi,tatizo hapa na maslahi binafsi ya mataifa makubwa ktk mgogoro huu kuwa upande wa Israel.
Kisheria kabisa jews hawakuwa na mamlaka ya kuitaka Palestine kwa kigezo cha maandiko ya biblia,waarabu wa Palestine ndio wamekuwa indigenous wa Palestine tangu wakiwa chini ya utawala wa turkey.
Ila tatizo nini?
Mnakumbuka Jews walikuwa wamesambaratika katika mataifa mengi ya ulaya ,mwaka 1894 kulikuwa na Mwanajeshi mmoja wa kijews katika jeshi LA ufaransa anaitwa Alfred Druyts ,alikuwa kamanda wa vita ufaransa alishindwa vita ikatolewa agizo anyongwe kwa kushindwa ,tukio hili lilibebwa kimitizamo binafsi kuwa ni kwasababu ya uyahudi wake.
Mwaka 1896 ,kuna kiongozi nchini Switzerland anaitwa THEODORE HERLZ.,na yeye alikuwa ni mjews akaanza movement ili kuwaweka jews pamoja ,na kuanza dai makazi yao kwa kufuata maandiko ya biblia na storia.
Aliunda movement inaitwa Zionist movement. Movement hii ikatokewa kuungwa mkono na USA,BRITAIN,FRANCEE.
Mwaka 1900 ,ikaundwa akaunti kukusanya fedha ya kusaidia Jews ulimwenguni iliitwa *Jewish colonial Trust bank* .kipindi hiki Palestine IPO chini ya turkey (Ottoman).
Kumbuka ilipoanza fika mwaka 1914 kulikuwa na vita ya kwanza ya dunia kati ya triple entente na triple alliance .triple entente chini ya muingereza ,mfaransa,waliwaomba ma jews kushirikiana na wao ili waipige Triple alliance ya mjerumani.kweli katika jeshi la mjerumani ma jews wakawa wanatoa siri za kivita ,hiyo ikapelekea Germany kushindwa vita ,mnakumbuka kauli ya Adolf Hitler baadaye
*Germany was not defeated and can not be defeated but was betrayed by the jews* aliapa kuuuwa ma jews wote mnafahamu alivyo wachoma.
Kuelekea vita kuisha,1917 baada ya jews kuwasaidia waingereza ili kupata support ya mataifa ya ulaya.waziri wa mambo ya nche wa uingereza anaitwa Arthur James Balfour alitoa document yenye azimio ya kutafuta taifa la wa jews ikaitwa (Balfour declaration).azimio lilionesha wazi support ya uingereza kwa jews.
Hapo hapo secretary wa uingereza anaitwa Winston Churchill aka support kwa kusema.
*The national home for jews in Palestine would be good for the world ,good for the jews,and good for the British Empires*
Kiongozi wa ufaransa, anaitwa *Baron Edmund*aliunga mkono taifa LA Israel ndani ya Palestine.
Mwaka 1920,Palestine ikawa chini ya mandatory council yaani ilikuwa mandatory territory ikawa chini ya league of Nation baada ya turkey kupewa kupewa adhabu sababu alikuwa ni mshiriki wa jermani,chini ya idara ya mandatory council ila chini ya uangalizi wa muingereza, maazimio ya BALFOUR declaration yakaanza kutekelezwa.
Jews wakaanza safirishwa pelekwa Palestine kwa wingi,wakiwa na slogan. *A LAND WITHOUT PEOPLE FOR THE PEOPLE WITHOUT LAND*
Kulianza tokea mapigano makali kati ya waarabu wa Palestine na wa Jews. Makundi yalianzwa undwa mnakumbuka.
Arabs waliunda National defence party ikiongozwa na Nashasibu.,waisrail waliunda Haganah military Group,palmach,irgun,The world union Zionist Revisionist chini ya Ze'ever Jobotinsky ,1929 mauji makubwa yalikuwa yakitokea mfano ,yale ya king David hotel yalifanywa na waisrael 91 warabu walikufa,na mengine yalifanywa waarabu 116 na jews 133 walikufa.
Yote haya kiongozi wa jews walikuwa wakushirikiana na muingereza, mfano kiongozi wa jews uingereza *Chaim Weizman*na Nahun Sokolow ,kiongozi aliyekuwepo Palestine ni DAVID BEN GURION.
1939 wakati wa vita ya pili wa Palestine walikuwa na chuki kubwa na muingereza, hivyo muingereza akazuia kidogo kuruhusu uhamiaji wa jews Palestine ili apate support ya wa Palestine katika vita yapili.
Mwaka 1945 ,Tatizo LA Israel na Palestine lilipelekwa umoja wa mataifa ,iliundwa special commission kujadili suala LA Israel na Palestine, tarehe 31,August, 1947(181 resolution of General assembly) ikapendekezwa taifa LA Palestine ligawiwe sehemu 2 ,wa Israel walikuwa asilimia 32% walipata ardhi 56% ,waarabu walikuwa wengi walipata 44% ya ardhi.na hapa tulishuhudia ma jews wengi wakihamia Palestine tena baada ya kutokea mauwaji makubwa (Holocaust ya Adolf Hitler).
Bado waisrail wakaendelea kupinga Palestine kuwa na taifa lao kutwa kucha mipaka iliowekwa na umoja wa mataifa inavukwa bado Israel wanahitaji maeneo zaidi na kuendelea kuwatawala wa Palestine.
Kilichokuwa kinafuata maada ya Israel kupata taifa lao nakuwa huru yalikuwa ni mapigano hasa kipindi cha Cold war ,vita zote zilizopiganwa war of independence 1948,Retribution operations 1951,six days war 1967,Yomkipurr war 1973,Suez canal war 1956 ,Antifadah ,war of attrition 1967 vita zote hizi zilikuwa ni PROXY WAR kati ya mataifa ya kibepari yakimsaidia muisraili dhidi ya MRUSI (USSR) akimsaidia mpalestine.
Umoja wa mataifa,Japo jukumu kubwa LA kulinda amani lipo chini ya UN ila UN Imekuwa kimya bila kuchukua hatua stahiki .
UN kupitia GENERAL ASSEMBLY yaani maamuzi waliyoona ni sahihi ,ni 1975 waliunda kamati inayoitwa COMMITTEE ON THE EXERCISE OF THE INALIENABLE RIGHTS OF THE PALESTINAN PEOPLE. kamati ya kutetea haki za wapalestini ,mwaka 1977,2,Dec. ,tena wakatenga siku ya kuadhimisha na kuchunga haki za wapalestine kila tar 29 ,November kila mwaka inaitwa INTERNATIONAL DAY OF SOLIDARITY WITH PALESTINIAN PEOPLE. (Resolution ya AG.32/40)B.kamati hii imekuwa haina nguvu yeyote wanakutana na kuzunguka nchi mbali mbali kuongea alafu hakuna chochote(Shop talks).
Baadaye hii kamati ndio ilipewa jukumu la kuadhimisha siku hii .
Ila kumekuwa na madai makuwa ya kuunda mataifa mawili *Two state solution* Palestine Gaza na westbank ,na Israel taifa lao ila Israel hawataki na hata US hataki ,UN nayo ndio hakuna kitu kabisa.
Kiongozi wa Palestine, RIYAD mansour aliwahi sema alipomuwakilisha kiongozi wa Palestine Mahmoud Abas *UN,Palestine have been struggling harder to bring the Resolution successful, Two state solution but Israel has been continuing to reject those efforts as if it was a state above*
Israel anaungwa mkono Takribani na members wote wa United Nations Security council (UNSC)wale big FIVE.mtoe Russia, lakini taifa kubwa US ni rafiki wa ISRAEL alafu tutegemee mgogoro uishe.
Nyerere alipinga kabisa ,unyanyasaji wa Palestine dhidi ya waisrael na hakuruhusu hata ubalozi wake nchini.lakini tarehe 4,11,2016 ubalozi wa Israel ulifunguliwa nchini na tuna balozi wetu nchini Israel Tel Avav anaitwa JOB Masima.
Haya ni mambo ya ubalozi ndio lakini kufanya hivi tunahalalisha ,uovu dhidi ya wa Palestine ndio maana NYERERE ALIPINGA na ingawa alikuwa ni ROMAN CATHOLIC alistick katika ukweli.
Leo hii ukienda maofisini unakuta Bendera 2 ,Ya Tanzania na ya Israel. Juzi Trump ameutambua MJI wa Jerusalem kama mji mkuu wa Israel wakati bado kuna mgogoro mkubwa.
Tutaangalia vita zote na hadi kiongozi wa misri Anwar saidat Alipouwawa baada ya kwenda CAMP DAVID ACCORD akiambiwa amesaliti,na kwanini Arabic league ilikufa.hali ya sasa ipoje ?
Shukrani.
Abdul Nondo.
0659366125.
0762082783.
Abdulnonndo10@gmail.com