International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wanajihad kaskazini mwa Msumbiji waliviteka visiwa viwili vidogo vya bahari hindi na kutishia usafiri wa baharini katika eneo hilo ambapo mradi wa gesi yenye thamani ya mabilioni ya madola...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Hivi majuzi, Umoja wa Mataifa umepitisha azimio moja kuhusu maambukizi ya virusi vya Corona kwa kura 169 za ndiyo dhidi ya kura 2 za hapana. Marekani na Israel zimekuwa nchi pekee zilizopiga kura...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Iran imemnyonga bingwa wa kupiga filimbi ambaye alidai kuwa aliteswa kwa kuchukuliwa video akilazimishwa kufanya maungamo ya uongo kwenye kesi ambayo iliibua kilio cha kimataifa. Navid Afkari 27...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Rais wa zamani wa Ivory Coast Laurent Gbagbo amezuiwa kugombea urais katika uchaguzi ujao baada ya mahakama kuidhinisha uamuzi wa tume ya uchaguzi. Wakili wake Claude Mentenon amelimbia shirika...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wapendwa Wenzangu wa JF, Kama tujuavyo, taifa langu China sasa linakabiliwa na changamoto kubwa. Virusi vya korona vinalivamia taifa langu, viwe vikali zaidi siku za mbele. Virusi hivyo vimewaua...
26 Reactions
148 Replies
15K Views
Katika interview ya tarehe 2 November mwaka 2007 chini ya miezi miwili kabla ya kuuwawa kwake, Benazir Bhutto aliulizwa na mwanahabari wa idhaa ya kiingereza ya television ya aljazeera bwana David...
9 Reactions
76 Replies
20K Views
Col. Muammar Gaddafi, an African soldier who became known for his great ideas to liberate Africa from the yoke of neocolonialism. Under Gaddafi, Libya had foreign reserves of $150 billion and 0...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais Donald Trump amezungumza kuhusu vitendo vya kuondolewa kwa sanamu za viongozi mbalimbali nchini humo akisema ni kampeni iliyolenga kufuta historia Ameongeza kuwa vitendo hivyo vilivyofanywa...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Makosa hayo yamefanywa na Taasisi ya Public Health Wales ya nchini Wales na taarifa hiyo ilidumu mtandaoni kwa takriban saa 20 Kwa sehemu kubwa taarifa hizo zilionesha tarehe za kuzaliwa, maeneo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Raia wa Nigeria walioshiriki "Kuchakachua" matokeo ya Uchaguzi wa Majimbo hawataruhusiwa kuingia nchini Marekani baada ya kuwekewa vikazo Imeelezwa kuwa uchaguzi uliofanyika mwaka jana katika...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mamlaka za Kusini mwa nchi hiyo zimesema watu 58 wamefariki dunia katika mashambulizi mawili, 17 hawajulikani walipo na inadhaniwa wametekwa Waasi wa Allied Democratic Forces (ADF), Kundi ambalo...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Bahrain normalizes ties with Israel Bahrain and Israel agree to the establishment of full diplomatic relations in an agreement brokered by the US. US President Donald Trump, King Hamad bin Isa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Hatimaye taifa la Malawi lina rais mpya kutoka upande wa upinzani kufuatia uchaguzi wa marudio uliokumbwa na mbwembwe za kila aina kati ya rais anayeondoka na upinzani. Lazarus Chakwera ambaye ni...
5 Reactions
29 Replies
5K Views
Marekani imewawekea vikwazo waendesha mashitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) siku kadhaa baada ya mahakama hiyo kuidhinisha uchunguzi kuhusu tuhuma za uhalifu wa kivita unaodaiwa...
3 Reactions
44 Replies
6K Views
Shinikizo linaongezeka kwa Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa kuongeza kasi ya mabadiliko kwenye sekta za nishati na mawasiliano kwenye nchi hiyo inayoongoza kwenye uchumi wa viwanda barani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kushindwa kupenya ngome zinazoizunguka Tripoli kwa zaidi ya mwaka mmoja na hatimae kurudishwa nyuma mbaali kabisa,sasa makao makuu ya kamanda muasi Khalifa Haftari huko Benghazi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
COVID-19 is the cause of every death across the World in 2020 and beyond… It’s a smart virus, highly virulent in parks, gyms, churches, schools, mosques etc.etc. It has no effect on the...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Marekani imetangaza kuwafutia Visa Wanafuznzi na Watafiti zaidi ya 1,000 kutoka China ambao wanadhaniwa kuwa hatari kwa usalama wa nchi hiyo Hatua hiyo inafuatia tangazo la Rais Donald Trump Mei...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Asubuhi ya Septemba 11 ingekuwa asubuhi tulivu kama ilivyo asubuhi ya siku nyingine yoyote katika mji wa Phoenix, Oregon, Magharibi mwa Marekani, lakini haikuwa hivyo! Matt Manson anasimama...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya miaka 13 mji wa florida nchini Marekani umeondoa katazo la kuvaa milegezo kwa jinsia zote ambayo ilikua inazuia watu kuvaa nguo zinazoonesha nguo za ndani. Mamlaka ya mji wa Opa-loka...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…