DR Congo: Watu 58 wafariki katika mashambulizi mawili, waasi wa ADF washukiwa kuhusika

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mamlaka za Kusini mwa nchi hiyo zimesema watu 58 wamefariki dunia katika mashambulizi mawili, 17 hawajulikani walipo na inadhaniwa wametekwa

Waasi wa Allied Democratic Forces (ADF), Kundi ambalo limeua mamia ya wananchi miezi ya hivi karibuni wanashukiwa kuhusika na mashambulizi hayo

Maafisa wanasema kuwa mashambulio hayo yametokea kwasababu ya shinikizo kutoka kwa Jeshi la Congo katika jimbo jirani la Kivu Kaskazini

Waziri wa Ulinzi pamoja na Maafisa wengine wa Serikali wanatarajia kuwasili eneo hilo leo kukabiliana na changamoto za kiusalama

===

Officials in eastern Democratic Republic Of Congo say 58 people have been killed in two attacks.

A rebel group called the Allied Democratic Forces (ADF) is suspected of being behind the violence. It has killed hundreds of civilians in recent months.

Seventeen people are also missing and are thought to have been kidnapped by the group.

Officials in Ituri province say the attacks happened because the ADF rebels are under pressure from the Congolese military in neighbouring North Kivu province.

But that will be of little comfort to the villages that have been left so vulnerable since the army went on the offensive against the rebels late last year.

The fact that the same community of Irumu was attacked on Tuesday and Thursday points to the lack of protection for civilians.

The ADF is one of dozens of armed groups causing havoc in eastern Congo.

On Friday, the country's defence minister and other government officials are due in Ituri to focus on the complex security challenges.

The state presence in the region is weak and the UN peacekeeping force - costing $1bn (£780m) a year - has also been unable to stop the killings.
 
Kuna mzee aliniambia, siku wakipewa taarifa kuwa pahala fulani wapo hao waasi wa Adf.

Basi wazee wa mamboz wanaomba kibali kwa Huyo chief wa monusco,cha kushambulia kwa mizinga hizo sehemu walizopo hao waasi kupitia kwa ofisi ya Brigadier wa FIB .
Chaajabu jamaa wanakuja kuwaambia (Tanzania acha acha).

Inafikia kipindi vikosi vya bongo vilipo onekana wanawekea mkazo kuvipoteza hivyo vikundi wakaanza kutupa taarifa za uongo.
Ndio kile kipindi tulipigwa tukapoteza askali 14 na wawili kutafuta maficho msituni, lile shambulio ktk kulichimba nje ndani basi tukajua nani ni nani na nini ni nini.
 
Lile shambulio ambalo jw walipoteza askari 14 kwa mujibu wa chanzo (Rafiki yangu from MI) uchunguzi ulionesha wavamizi ni makomando kutoka kwa mr slim

plan ilikuwa kufyeka askari wote wa jw waliopo pale then wachochee moto nchi raia waandamane kuomba askari wa jw warudishwe nyumbani

all in all walimalizana kiutu uzima in short jw walipewa kifuta machozi

kubwa zaidi umahiri wa kukwepa ambush ile uliyashitua mpaka majeshi ya nchi kubwa

Congo Inasikitisha.....

Yaani Leo Ni Siku Ya Kumuadhimisha MwanaAfrika Komredi Patrice Lumumba Na Mauaji Tena......Sad!

Japo Ni Nchi Kubwa na Tofauti Na Rwanda,lakini ninadhani WAKONGOMANI kupitia Viongozi Wao Wachukue Uzoefu Wa Komredi Paul Kagame Katika Kupambana na Kuisimamisha Rwanda Kutoka Yale Mauaji Ya Kimbari ya 1994......

Si Lazima Wachukue Kila Njia Aliyoipitia PK na Wazalendo Wale Wa Rwanda Bali Waçhote Machache Yatakayokwenda KUWASAIDIA....

Shime Bakongomani,huu ni wakati Wa Kuzidi Kubadilika....Hebu AINISHENI CHANZO CHA MATATIZO YENU na hakika MTAIPATA SULUHU ADHIMU...

Afrika Inawasikitikia.....
Tanzania Tunawasikitikia........

STAND UP CONGOLESE!!!
 
Si kwel mkuu watu wakiokuwa kule ilikuwa ni zamu ya brigedi ya nyuki(Zanzibar ) wengi mie ninawajua na nimekutana nao baada ya tukio kutokea, ilikuwa saa 11 jion jamaa waliingia kuvamia idadi nyingi sn na watz pale kiungani walikuwa kama kombania moja tu mashambulizi yalifanywa na ADF tena walikuja wakiwa na wanawake kibao huku wakipiga takibra allah akbar allah akbar kwa kwel watz waliomba msaada kutoka kwenye kambi za south Africa kwa maana wao ndio wanaruhusiwa kufanya mashambulizi ya ndege south wakajibu hali ya hewa ni mbaya na hawawezi peleka ndege yao kwenye hatari ikabidi wanaumme wapigane, kuna mengi yalifanyika all in all huyo Mr slim uliyemsikia ni uzushi tu wale ni ADF kutoka Uganda ni kundi la waislam watupu wenye misimamo kama al shabab na kwa sasa wanaita MTM mwaka juzi walitoa kuiapo kumtii kiongozi wa Isis al bagdad. RIP nassor mohammad, mwinchumu ramadhani, Mohammed juma, cpl juma khamis, private faki Mohammed faki na wapiganaji wengine waliopoteza maisha yao. MUNGU AKULINDE CPL ABDALLAH J MOHAMMED huyu walimchukua mateka coz alipata majeraha akawa anatamka hakuna wa kuabudiwa kwa haki isipokuwa ni allah jamaa walivyofika pale basi wakamchukua na kuondoka naye inasemekana bado ni mzima maana hua anawasiliana na fimilia yake kwa number tofauti za nchi tofauti.
Lile shambulio ambalo jw walipoteza askari 14 kwa mujibu wa chanzo (Rafiki yangu from MI) uchunguzi ulionesha wavamizi ni makomando kutoka kwa mr slim

plan ilikuwa kufyeka askari wote wa jw waliopo pale then wachochee moto nchi raia waandamane kuomba askari wa jw warudishwe nyumbani

all in all walimalizana kiutu uzima in short jw walipewa kifuta machozi

kubwa zaidi umahiri wa kukwepa ambush ile uliyashitua mpaka majeshi ya nchi kubwa
 
Si kwel mkuu watu wakiokuwa kule ilikuwa ni zamu ya brigedi ya nyuki(Zanzibar ) wengi mie ninawajua na nimekutana nao baada ya tukio kutokea, ilikuwa saa 11 jion jamaa waliingia kuvamia idadi nyingi sn na watz pale kiungani walikuwa kama kombania moja tu mashambulizi yalifanywa na ADF tena walikuja wakiwa na wanawake kibao huku wakipiga takibra allah akbar allah akbar kwa kwel watz waliomba msaada kutoka kwenye kambi za south Africa kwa maana wao ndio wanaruhusiwa kufanya mashambulizi ya ndege south wakajibu hali ya hewa ni mbaya na hawawezi peleka ndege yao kwenye hatari ikabidi wanaumme wapigane, kuna mengi yalifanyika all in all huyo Mr slim uliyemsikia ni uzushi tu wale ni ADF kutoka Uganda ni kundi la waislam watupu wenye misimamo kama al shabab na kwa sasa wanaita MTM mwaka juzi walitoa kuiapo kumtii kiongozi wa Isis al bagdad. RIP nassor mohammad, mwinchumu ramadhani, Mohammed juma, cpl juma khamis, private faki Mohammed faki na wapiganaji wengine waliopoteza maisha yao. MUNGU AKULINDE CPL ABDALLAH J MOHAMMED huyu walimchukua mateka coz alipata majeraha akawa anatamka hakuna wa kuabudiwa kwa haki isipokuwa ni allah jamaa walivyofika pale basi wakamchukua na kuondoka naye inasemekana bado ni mzima maana hua anawasiliana na fimilia yake kwa number tofauti za nchi tofauti.

Dah....

So Sad.....

May Almighty God Rest The Soul Of Our Fellow Countrymen Aaamen.

Jim Reeves Sang "the world is not our home".

God Bless Our Men and Women In Uniform,aamen.
 
Kabisa mkuu wanayopitia ni kujitolea tu ndio maana katika nchi zingine jeshi ni sehem ya kujitolea tu kwa muda flani then unafanya maisha mengine but huku kwetu watu wanafanya hadi kustatafuu ni umasikini tu na ugumu wa maisha.
Dah....

So Sad.....

May Almighty God Rest The Soul Of Our Fellow Countrymen Aaamen.

Jim Reeves Sang "the world is not our home".

God Bless Our Men and Women In Uniform,aamen.
 
Si kwel mkuu watu wakiokuwa kule ilikuwa ni zamu ya brigedi ya nyuki(Zanzibar ) wengi mie ninawajua na nimekutana nao baada ya tukio kutokea, ilikuwa saa 11 jion jamaa waliingia kuvamia idadi nyingi sn na watz pale kiungani walikuwa kama kombania moja tu mashambulizi yalifanywa na ADF tena walikuja wakiwa na wanawake kibao huku wakipiga takibra allah akbar allah akbar kwa kwel watz waliomba msaada kutoka kwenye kambi za south Africa kwa maana wao ndio wanaruhusiwa kufanya mashambulizi ya ndege south wakajibu hali ya hewa ni mbaya na hawawezi peleka ndege yao kwenye hatari ikabidi wanaumme wapigane, kuna mengi yalifanyika all in all huyo Mr slim uliyemsikia ni uzushi tu wale ni ADF kutoka Uganda ni kundi la waislam watupu wenye misimamo kama al shabab na kwa sasa wanaita MTM mwaka juzi walitoa kuiapo kumtii kiongozi wa Isis al bagdad. RIP nassor mohammad, mwinchumu ramadhani, Mohammed juma, cpl juma khamis, private faki Mohammed faki na wapiganaji wengine waliopoteza maisha yao. MUNGU AKULINDE CPL ABDALLAH J MOHAMMED huyu walimchukua mateka coz alipata majeraha akawa anatamka hakuna wa kuabudiwa kwa haki isipokuwa ni allah jamaa walivyofika pale basi wakamchukua na kuondoka naye inasemekana bado ni mzima maana hua anawasiliana na fimilia yake kwa number tofauti za nchi tofauti.
ADF-nalu hawa uwezo wa kupanga shambulio vile

in short lile shambulio lilipangwa kwa umakini wa hali ya juu zaidi kwanza walicheza na muda vizuri time wanavamia askari wengi walikuwa wanaenda kuoga

Kwann unahisi waasi hakuiteka kambi yote aliyakuwa uwezo walikuwa nao ?
 
Mkuu Wangu Inaonekana Unayajua Sana Mambo Ya Huko Kwa Ndugu Zetu KONGO....

Sisi Raia Tunapata Shida Kuyajua...

Naomba Unieleweshe...Hv ni kweli hao ADF NALU wanafadhiliwa na "VIGOGO" majirani zetu?!!

Hv ni nn lengo la hao "VIGOGO" nchini KONGO?!!!

Ni nn Mafanikio ya Monusco mpaka Sasa?!!

Nitashukuru Sana mkuu wangu.
 
Mkuu kambi ilitekwa yote na pale walichukua kila kitu unachojua ww cha kubebeka kuanzia silaha hadi madawa kwa bahati mbaya zile picha nimefuta nibgekutumia uone walivyochoma moto kile kiteule cha simulike, najua utakuwa wajiuliza ina maana hakuna aliyepona waliopona wapo kuna cpl anaitwa mbagira huyu yeye baada ya kuona moto umekuwa mkubwa ikabidi akimbilie kwenye mto ambao ndio mto simulike cha ajabu ule mto una mamba ila mungu ni mwema alikimbia kwa muda wa siku mbili porini, private mwalimu yeye alikuwa kwenye apc ambayo hiyo apc ilikuwa haina betri so ilikuwa imekaa tu pale yeye na mwenzie walikuwa humo so waasi hawakupata akili ya kufunga apc kuona ndani kuna nini mungu ni mwema ashukuliwe, the rest walijificha chini ya hema la hospital yale mahema kwa chini hua wanajenga mahandaki so baadhi wengi tu walikuwa mule so waasi pia hawakupata akili ya kusema walichambue lile hema kwa chini kama kuna kitu au laaa wao waliingia kwenye hema na kuchukua madawa, kuhusu uwezo wa ADF NALO nadhani mkuu usichojua ww kuhusu ADF ni kuwa wale ni wanajeshi kutoka mataifa mbalimbali ambao ni waislam ndio maana ADF wapo hadi warabu so sio watu wa kuwabeza ata kdg mziki wake Uganda wenye wanaujua.
ADF-nalu hawa uwezo wa kupanga shambulio vile

in short lile shambulio lilipangwa kwa umakini wa hali ya juu zaidi kwanza walicheza na muda vizuri time wanavamia askari wengi walikuwa wanaenda kuoga

Kwann unahisi waasi hakuiteka kambi yote aliyakuwa uwezo walikuwa nao ?
 
Mkuu ninayajua machache sn na mengi ninayoyajua ni majukumu na hali waliyonayo ndg zetu kule viungani, congo kuna vikundi vingi sn ila katika hvy ndo kuna hicho ADF (MTM) hawa wengi ni waganda na nikwambie kitu tu ambacho wengi hawakijui ADF ni kikundi kikubwa sn sn pale congo na ambacho kwa sasa kinapata ushawishi mkubwa sn na kukua kwa kasi so intelejensia ya congo iwe makini na hawa watu , un wanafadhili baadhi ya vikundi mfano mwaka 2015 gari ya jeshi ya nepal ilikamatwa ikiwa inapeleka silaha kwa waasi iliposhtukiwa wanepal walichoma moto gari na kukanusha, mafanikio yapo kwa monusco japo si makubwa sn maana congo hali bado tete sn sn. Wazungu bado wanafitinisha wenye wanakula kivulini.
Mkuu Wangu Inaonekana Unayajua Sana Mambo Ya Huko Kwa Ndugu Zetu KONGO....

Sisi Raia Tunapata Shida Kuyajua...

Naomba Unieleweshe...Hv ni kweli hao ADF NALU wanafadhiliwa na "VIGOGO" majirani zetu?!!

Hv ni nn lengo la hao "VIGOGO" nchini KONGO?!!!

Ni nn Mafanikio ya Monusco mpaka Sasa?!!

Nitashukuru Sana mkuu wangu.
 
Oooo Kumbeee...

Sasa Mkuu Wangu,Je Haiwezekani Ikawa Ni MADILI ya washika dau WAKUBWA Ndani ya UN bila ya UN Wenyewe kuhusika?!!
Kwa mfano huo wa Wanepal...

Halafu ninataka kufahamu,Je M7 Ni hasimu wa kweli wa ADF NALU?!!
 
Congo inajichoma kwa mafuta yake maskini, no iutajili wake unaiponza tu.
 
Ni kwel yale ni mdeal ya watu wa mataifa (ulaya) ni ukwel usipingika kuwa congo kuna hifadhi ya dhahabu kwa dunia inasemekana mbali na kuiba kote huko bado robo hawajafanikiwa kuichukua bado so wazungu wanafaidika pakubwa sn kuhusu ugomvi wa M7 na ADF ni kwel hawa watu hawawezi kaa pamoja maana ADF wao ni kikundi chenye misimamo ya kidini wakati M7 ni tofauti ila mkuu mziki wa ADF hawezi fananisha na M7 ata robo
Oooo Kumbeee...

Sasa Mkuu Wangu,Je Haiwezekani Ikawa Ni MADILI ya washika dau WAKUBWA Ndani ya UN bila ya UN Wenyewe kuhusika?!!
Kwa mfano huo wa Wanepal...

Halafu ninataka kufahamu,Je M7 Ni hasimu wa kweli wa ADF NALU?!!
 
D
Ni kwel yale ni mdeal ya watu wa mataifa (ulaya) ni ukwel usipingika kuwa congo kuna hifadhi ya dhahabu kwa dunia inasemekana mbali na kuiba kote huko bado robo hawajafanikiwa kuichukua bado so wazungu wanafaidika pakubwa sn kuhusu ugomvi wa M7 na ADF ni kwel hawa watu hawawezi kaa pamoja maana ADF wao ni kikundi chenye misimamo ya kidini wakati M7 ni tofauti ila mkuu mziki wa ADF hawezi fananisha na M7 ata robo
Duuuh Kwa Hiyo ADF wanapopiga Ambush na kucontrol maeneo,wakishakwapua dhahabu huwauzia Wazungu kwa mbadilishano wa Silaha?!!!

Je M7 mwenyewe Hana watu wake Wanaoikwapua Congo?!!!
 
Back
Top Bottom