Marekani yawafutia Visa wanafunzi na watafiti zaidi ya 1,000 kutoka China

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Marekani imetangaza kuwafutia Visa Wanafuznzi na Watafiti zaidi ya 1,000 kutoka China ambao wanadhaniwa kuwa hatari kwa usalama wa nchi hiyo

Hatua hiyo inafuatia tangazo la Rais Donald Trump Mei mwaka huu akiwalenga Raia wa China wanaoshukiwa kuwa na uhusiano na Jeshi. Alisema wengine walikuwa wameiba taarifa na umiliki

Wizara ya Mambo ya Nje imesema waliofutiwa Visa ni asilimia ndogo ya jumla ya Wanafunzi wa China, na wanaendelea kuwakaribisha wale ambao hawaendelezi malengo ya Chama cha Kikomunisti

Baadhi ya Wanafunzi wa China nchini humo wanasema wanakabiliwa na uhasama Vyuoni na sababu zao za kusoma zinahojiwa

====

The US says it has revoked the visas of more than 1,000 Chinese students and researchers who have been deemed to be a security risk.

The move follows a proclamation by President Donald Trump in May aimed at Chinese nationals suspected of having ties to the military. He said some had stolen data and intellectual property.

The state department gave no details. China has not commented.

Nearly 370,000 students from China enrolled at US universities in 2018-19.

A state department spokeswoman described those declined a visa as "high-risk graduate students and research scholars."

She said they were a "small subset" of the total number of Chinese students.

"We continue to welcome legitimate students and scholars from China who do not further the Chinese Communist Party's goals of military dominance," the spokeswoman said.

The proclamation of 29 May accused China of engaging in a "wide-ranging and heavily resourced campaign to acquire sensitive United States technologies and intellectual property" and said it was using some students "to operate as non-traditional collectors of intellectual property".

Some Chinese students in the US say they are facing increased hostility and suspicion on university campuses, and their reasons for studying being questioned.

US revokes visas for 1,000 Chinese students
 
370,000 Chinese students enrolled in US universities! Sio siri hii ni hatari kwa usalama wa taifa. Wakasomee kwao wanachokimbilia Marekani nini.
 
370,000 Chinese students enrolled in US universities! Sio siri hii ni hatari kwa usalama wa taifa. Wakasomee kwao wanachokimbilia Marekani nini.
Wewe kwakua kichwani amna kitu ndio maana huoni faida ya wanafunzi wa kigeni katika nchi za watu na unacomment kama mtoto, lakini wenyewe huko Ulaya + Marekani wanajua hizo faida
 
Kachina kale,

Eti Nakaita Kachina

China Lile...Uchina

In Nyerere's Voice.


Dhahabu ing'ae zaiidi Lazima ipite Kwa Moto.

Mapambano Yanaendelea
 
370,000 Chinese students enrolled in US universities! Sio siri hii ni hatari kwa usalama wa taifa. Wakasomee kwao wanachokimbilia Marekani nini.
Ukipiga hesabu, hao 1,000 waliofutiwa visa kati ya 370,000 ni sawa na 0.2% tu.

Tuseme U.S. anaongeza chumvi baharini kwa jiko. Kachelewa sana.

Everyday is Saturday...........................:cool:
 
Back
Top Bottom