Dola ya Kiislam yatangaza kuhusika na shambulio la Manchester, Uingereza

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Islamic State (IS, formerly ISIS/ISIL) has claimed responsibility for the terrorist attack in Manchester on Monday night.

According to Amaq, a news outlet linked to the terror group, an IS member carried out the bombing which killed 22 and injured 59.

Police say they are investigating whether the bomber was part of or was in contact with a terror network. Intelligence officials believe they know the attacker's identity. His name has not been revealed.

IS supporters have hailed the bombing as a victory against "the crusaders" of the West.

In one video posted online, an English speaking supporter of IS held up a homemade sign with the word "Manchester" and the date of the attack.

Other IS supporters said the attack was revenge for the UK's involvement in the bombing campaign against the terror group in Iraq and Syria.

Source: RT
 
Kitendo kilichofanyika ni kibaya sana ambacho walichokifanya wanaojiita Islamic State, kama ndio wao, kiukweli uislam unapiga vita kabisa kufanyiana dhulma binaadamu kwa binaadamu, sembuse kuuawa. Haifai kumuua yoyote yule awe muislam asiwe muislam. Na ni dhambi kubwa sana kufanya hivyo. Kilichoambiwa katika Dini ni kisasi kwa yule aliyokukosea, sio kukukosea mwengine ukamlipizia mwengine. Na huku kujitoa muhanga haimo kabisaa made mtu ajue ya kuwa malipo yake ni motors anakufa hali ya kuwa sio muislam na ataulizwa juu ya roho alizozidhulumu.

Kutosoma dini vizuri na kupelekeshwa na mipango ya watu wanayoipanga kwa mgongo wa kuuchafua uislam.

Umeona wapi muuaji akaua ikisha akajitapa kuwa yeye ndio muuaji? Au akaiba akasema mimi ndio mwizi! Mbona wa kibiti, mkuranga, rufiji mapaka leo hawajitangazia.

Ni watu na biashara zao na hao ISIS na wengine kitu gani kinachofanyika mpaka leo ikashindikana kuwadhibiti?

Ni mambo ambayo wengi wetu ni vipofu kabisaa huenda miaka ya mbele tukapata hata jicho la bandia.

Note
Yale mabilioni Obama aliyoyapeleka Iraq wakati trump keshachaguliwa yalikuwa ya nini EE?
 
Terrorist kitu gani..WAONGO!jamaa wana toyota tele toka Japan...maroketi na silaha tele toka Us. Kila siku Israel ina bomb on their advantage...mbaya zaidi wakimbizi wote wanaotoka M.E wanakimbilia ulaya badala ya saudia n.k. kuna mtu hapa anatafutwa..maana walisema Hussein ana WMD ikawa zii..Ila walikula kichwa, mara North Korea,Iran na Syria ni axis of evils. Nawasubiri GLOBALIST warushe risasi Russia,North Korea na Iran. Kuna haja ya kuona bulava na Yars inavo perform live.
 
Naomba nitajie kifungu kinachoruhusu "ugaidi" kwenye quran
The Quran's Verses of Violence

Quran
Quran (2:191-193) - "And kill them wherever you find them, and turn them out from where they have turned you out. And Al-Fitnah [disbelief or unrest] is worse than killing... but if they desist, then lo! Allah is forgiving and merciful. And fight them until there is no more Fitnah [disbelief and worshipping of others along with Allah] and worship is for Allah alone. But if they cease, let there be no transgression except against Az-Zalimun(the polytheists, and wrong-doers, etc.)"(Translation is from the Noble Quran)
 
Tupe kifungu/Aya kutoka kwenye Maswahafu tukufu kwa madai yako kuwa...

"Uislamu unahimiza ugaidi na uuaji... "

The Quran's Verses of Violence
Quran
Quran (2:191-193) - "And kill them wherever you find them, and turn them out from where they have turned you out. And Al-Fitnah [disbelief or unrest] is worse than killing... but if they desist, then lo! Allah is forgiving and merciful. And fight them until there is no more Fitnah [disbelief and worshipping of others along with Allah] and worship is for Allah alone. But if they cease, let there be no transgression except against Az-Zalimun(the polytheists, and wrong-doers, etc.)"(Translation is from the Noble Quran)
 
Kitendo kilichofanyika ni kibaya sana ambacho walichokifanya wanaojiita Islamic State, kama ndio wao, kiukweli uislam unapiga vita kabisa kufanyiana dhulma binaadamu kwa binaadamu, sembuse kuuawa. Haifai kumuua yoyote yule awe muislam asiwe muislam.

Na ni dhambi kubwa sana kufanya hivyo. Kilichoambiwa katika Dini ni kisasi kwa yule aliyokukosea, sio kukukosea mwengine ukamlipizia mwengine. Na huku kujitoa muhanga haimo kabisaa made mtu ajue ya kuwa malipo yake ni motors anakufa hali ya kuwa sio muislam na ataulizwa juu ya roho alizozidhulumu.

Kutosoma dini vizuri na kupelekeshwa na mipango ya watu wanayoipanga kwa mgongo wa kuuchafua uislam.
Umeona wapi muuaji akaua ikisha akajitapa kuwa yeye ndio muuaji? Au akaiba akasema mimi ndio mwizi!
Mbona wa kibiti, mkuranga, rufiji mapaka leo hawajitangazia.

Ni watu na biashara zao na hao ISIS na wengine kitu gani kinachofanyika mpaka leo ikashindikana kuwadhibiti?
Ni mambo ambayo wengi wetu ni vipofu kabisaa huenda miaka ya mbele tukapata hata jicho la bandia.
Note
Yale mabilioni Obama aliyoyapeleka Iraq wakati trump keshachaguliwa yalikuwa ya nini EE?
Uislamu umekubali kuua makafiri.

Nimetoa aya hapo juu.

Tena aya zimesema Waislamu watakaozembea katika vita ni wanafiki na si Waislamu wa kweli.

Kwa hiyo inawezekana kabisa hao ISIS ndiyo Waislamu wakweli na hawa wanaojibaraguza na "Uislamu ni dini ya amani" ndio wanafiki wanaosemwa katika Quran.
 
Back
Top Bottom