Yoshihide Suga athibitishwa kuwa Waziri Mkuu Mpya wa Japan

Sam Gidori

Senior Member
Sep 7, 2020
165
414
Yoshihide Suga.jpg

Bunge la Japan limemthibitisha Yoshihide Suga kuwa Waziri Mkuu mpya wa Japan, akichukua nafasi ya Shinzo Abe ambaye amejiuzulu kutokana na changamoto za kiafya.​

Suga, mwenye umri wa miaka 71, mtoto wa mkulima wa strawberry, ameshinda kupitia chama cha Liberal Democratic Party (LDP) siku ya Jumatatu lakini bunge la chini la taifa hilo likampitisha kwa theluthi mbili ya kura siku ya Jumatano.​

Tofauti na viongozi wengi nchini Japan, Suga hakuingia katika mkondo wa uongozi kwa njia ya urithi. Licha ya kukua kutoka familia ya wakulima, Suga aliondoka kwenda Tokyo kusoma masomo ya siasa, kisha kufanya kazi katika kiwanda cha kutengeneza maboksi na mlinzi wa kiwanda hicho. Suga alionesha uwezo mkubwa wa kisiasa na kujikusanyia nguvu ya kisiasa kabla ya kukutana na Abe na kuwa waziri wa mambo ya ndani katika uongozi wa awamu ya kwanza ya Abe mwaka 2006.​

Suga anakabiliwa na wakati mgumu kurudisha uchumi wa taifa hilo ulioporomoka kwa zaidi ya asilimia 27 katika robo ya kwanza ya mwaka huu kutokana na mlipuko wa virusi vya corona.​

Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri anatarajiwa kutangaza baraza lake jipya hapo baadaye.​

=====

Japan's parliament has elected Yoshihide Suga as the country's new prime minister, following the resignation of Shinzo Abe.

After winning the leadership of the governing party earlier this week, Wednesday's vote confirms the former Chief Cabinet Secretary's new position.

A close ally of Mr Abe, the new prime minister is expected to continue his predecessor's policies.

Shinzo Abe announced his resignation last month citing ill health.

Earlier on Wednesday, Mr Abe held his final cabinet meeting and told reporters he was proud of his achievements during his nearly eight years in power.

Mr Suga then easily won a poll for prime minister in the Diet, Japan's lower house, receiving 314 out of 462 votes.

Given that a coalition headed by his conservative Liberal Democratic Party (LDP) holds the majority in the house, his win was widely expected.

Along with his new cabinet he will later be ceremonially endorsed by the emperor at the Imperial Palace.

Challenges ahead
A veteran politician and long-time cabinet member he takes the lead at a difficult time for the world's third-largest economy.

Like many other nations, Japan is struggling with the coronavirus pandemic which has caused the biggest economic slump on record following years of economic stagnations.

The country is also dealing with a rapidly aging society, with nearly a third of the population older than 65.

Mr Suga has served for years as Chief Cabinet Secretary, the most senior role in government after the prime minister.

He has already promised to carry on much of the previous administration's agenda, including the economic reform programme dubbed Abenomics.

"Mr Suga's election assures the continuity in all the major policy initiatives launched by Shinzo Abe," Yuki Tatsumi, director of the Washington-based Stimson Center's Japan programme, told the BBC.

"What will be the greatest test for him is how well he fares as the public face of the Japanese government," she cautions.

"While his ability as Mr Abe's right hand man and his Chief Cabinet Secretary has been amply proven, his ability to lead the country as the top leader is largely untested, particularly in the area of foreign policy. How Suga can transition from supporting to the main actor will determine how well the leadership transition can be managed."

Who is Yoshihide Suga?
Born the son of strawberry farmers, the veteran politician comes from a humble background that sets him apart from much of Japan's political elite.

The 71-year rose only slowly within the political ranks. He first worked as a secretary for an LDP lawmaker before eventually embarking on his own political career, from city council elections to becoming a member of the Diet in 1996.

In 2005 he became a cabinet minister under Junichiro Koizumi and gained further influence in the subsequent Abe cabinet.

As Mr Abe's right-hand man, he gained a reputation for being efficient and practical and the outgoing prime minister strongly supported his ally's bid for the leadership.

One of his most prominent public appearances was when unveiled the name of the new Reiwa era during the transition from Emperor Akihito, who abdicated, to his son Naruhito in 2019.

Yet as he takes over mid-term, many observers expect him to only serve out the remainder of that until late next year.

When he won his landslide within the LPD on Monday, all he needed was support from his own party.

A general election next year however will put him in front of a general electorate - and the low-key veteran politician might not be the LDP's first choice for that, observers say.
 
Shinzo Abe, mwamba!
Tunamuombea heri bwana Suga.

Everyday is Saturday............................ :cool:
 
#Uzi : Japan imepata waziri Mkuu mpya wa 99 nimekuandalia mambo haya muhimu kumhusu:
Jina lake ni Yashihide Suga 72' ukiachana na historia za wanasiasa wengine tunaweza kusema mpaka alipofika ni kwa nguvu zake binafsi kutokana na shida alizopitia za ufukara.

Baba yake alikuwa mkulima wa matunda na mama yake mwalimu wa chekechea, alishawahi sikika akisema kuwa alipotimu miaka 9 ilimbidi atafute kazi katika kiwanda kimoja huko Yuzawa ili tu aweze kulipa gharama za shule.Waziri Mkuu huyu msomi wa sheria na baba wa watoto watatu, anafahamika na kusifika kuwa mtu mwenye misimamo, mzalendo wa kweli kwa taifa lake na hana longolongo katika kutekeleza majukumu yake kwa muda muafaka.

Kwa miaka 8 amefanya kazi chini ya Waziri Mkuu Shizo Abe ambaye ametangaza kustaafu na alifanya kazi kama katibu Mkuu kiongozi, cheo kilichomfanya kupewa A.K.A "Mr Abe's Fixer'.Watu wengi ulimwengu wanamtazama kuwa sio mtu sahihi katika siasa za taifa hilo lenye maendeleo lukuki lakini mabadiliko na maendeleo yaliyofanywa na mtangulizi wake yanaacha minong'ono kuwa huenda akafanya yakustaajabisha zaidi.

Mr Suga ana kibarua kizito katika ku'fix uchumi wa taifa hilo baada ya majanga makubwa ya Corona yaliyoikumba Dunia na kuteteresha uchumi.

Huyu ndio Yoshihide Suga Waziri Mkuu wa 99 wa Taifa la Japan. View attachment 1573132
IMG_20200918_094216.jpg

Sent from my VS987 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom