| Jamhuri ya Peru / República del Perú / Republic of Peru
Peru ni taifa linalopatikana bara la Amerika Kusini likiwa na mipaka baina ya Colombia, Chile Bolivia, Brasil, Ecuador na bahari ya...
Tena mtu mzima mwenye heshima zake kama kiongozi, ameanikwa kwenye runinga ya taifa la Brazil na sasa taarifa zake zimeenea duniani kote
Chico Rodrigues reportedly had 30,000 reais (more than...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti;
Kwanini jeshi la sasa la Iraq lina maafisa waandamizi wa vyeo vya juu kama Major General Saleh Nasser ilhali...
Hivi vichwa vyengine sijui huwa hawaviangalii kabla?
Na Hapo ni kabla ya kuwa rais,Leo hii wanaanza kumsema kumbe si kosa lake ni kosa lao..😂😂
Naomba wampitishe tena..😅
Wakuu, yaani utadhani ni movie la kivita:D:D😂😂🤣
Kuanzia 1:44:37 hadi 2:11:00 ndio mijisilaha mbali mbali ya kisasa yaoneshwa na kuna wachambuzi wanazichambua kwa lugha ya kiingereza.
Wameshindwa...
A Popular Sudanese Model has just entered her name into the Guinness World Record Books after she was confirmed to have the Darkest Skin Tone in the World.
Nyakim Gatwech who born was born on...
Trump ametunga sheria au maarufu kama Executive Order inayoagiza watumishi wa umma kuajiriwa kwa kigezo cha ujuzi na ufahamu na sio elimu.
Hili jambo mimi binafsi natamani lingekuja Tanzania. Kwa...
Wapiga mbizi wa jeshi la Poland wameanza operesheni ya hatari ya kunasua bomu kubwa la Uingereza lililotumika kwenye vita vya pili vya dunia lililo chini ya bahari.
Karibu wakazi 750 wameondolewa...
HATIMAYE RAIS TRUMP AKUBALI KUACHIA MADARAKA AKISHINDWA
RAIS Donald Trump wa Marekani amesema yupo tayari kuachia madaraka baada ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Novemba mwaka huu...
Sio mara ya kwanza, sio kituko tena bali ni tatizo kubwa.
Ni dhahiri kabisa kitu pekee alichobeba ni mdomo tu huku akili ikiwa imelala
Hali take ya afya ni dgahiri kabisa hata miujiza ikitokea...
October 12, 2020, 6:30 PM EDTUpdated on October 13, 2020, 6:00 AM EDT
[emoji3591]Fuel shipments intercepted on way from Iran to Venezuela
[emoji3591]U.S. alleges that fuel is connected to...
Picha ya kombora jipya kuuubwa la kinyuklia (ICBM) la North Korea (Picha kwa msaada wa AP)
Baada ya kimya kirefu, yule mtemi wa mtemi wa dunia Kim Jong-Un amekuja na kitu kipya. Naam ni kombora...
Kama unahisi watanzania Ni watu wa ajabu Basi wa south Africa ni waajabu zaidi
Jamaa waamua kuandamana na kuchoma magari kisa walikuwa wanapewa umeme wa bure lakini Sasa wameambiwa walipie
Jamaa...
Serikali ya Uholanzi imeidhinisha mipango ya kuruhusu kifo cha mapema au mauaji ya huruma kwa watoto wenye ugonjwa usiopona kati ya mwaka 1 na miaka 12.
Jumanne, Waziri wa Afya Hugo de Jonge...
Maandamano yameendelea kushuhudiwa nchini Nigeria, kulaani dhuhuma zinazodaiwa kufanywa na jeshi la Polisi nchini humo, licha ya serikali kuahidi, kulifanyia mageuzi na kuvunjwa kwa kikosi maalum...
Russia: Ndege ya zamani ya Umoja wa Kisovieti "Caspian Monster" yaonyeshwa kwa umma Ndege ya zamani ya Umoja wa Kisovieti Lun Class Ekranoplan imetua kwenye pwani ya Bahari ya Caspian. Itaonyeshwa...
Serikali ya #Rwanda imehalalisha kilimo cha Bangi ili kuuza nje ya nchi, matumizi ya kujifurahisha au kujitibu bado yanahesabiwa kuwa haramu kisheria
Rwanda inatarajia kukuza mapato ya...
Wanasayansi wanaonya kuwa ziwa la lava linajaa kwa kiwango cha kutishajuu katika Mlima wa volcano wa Nyiragongo uliopo juu ya mji wa Goma Mashariki mwa Jamuhuri ya kidemokrasi ya Kongo.
Mwezi...
Mtu mmoja mwenye asili ya Kiafrika ameishitaki Mamlaka ya jiji la Texas baada ya polisi waliomkamata kumfunga kamba na kumvuta nyuma ya farasi, akitaka kulipwa fidia ya dola milioni moja (sawa na...