Maandamano ya kudai umeme wa bure yatokea Afrika Kusini

steve_shemej

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,092
1,433
Kama unahisi watanzania Ni watu wa ajabu Basi wa south Africa ni waajabu zaidi

Jamaa waamua kuandamana na kuchoma magari kisa walikuwa wanapewa umeme wa bure lakini Sasa wameambiwa walipie

Jamaa wameandman wanatak umeme wa bure
IMG-20201012-WA0015.jpeg
IMG-20201012-WA0013.jpeg
IMG-20201012-WA0012.jpeg
IMG-20201012-WA0011.jpeg
 
Ukizoea kumpa mtu vitu vya bure uwa inafika mahali anahisi ni haki yake na usipompa anakasirika.
Hii mimi iliwahi kunitokea kwa mtu flani miaka ya nyuma.
 
Back
Top Bottom