Walibya wapatana, watia akili. Mafuta yaanza kutiririka

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Katika kipindi kinachokaribia miaka 10 tangu mwaka 2011 alipopinduliwa na kuuliwa kiongozi wa Libya wananchi wa nchi hiyo wameshuhudia vita vya wenyewe kwa wenyewe,kuuwana kusikokwisha na hatimae njaa waliyokuwa hawaijui.Kila kundi lilitamani kutawala kuchukua nafasi ya kanali Muammar Ghadafi. Hilo ndilo lililomrudisha nyumbani mshirika wa zamani wa Ghadafi aitwaye Khalifa Haftar na hatimae kuigawa nchi upande wa magharibi iliko serikali iliyotambuliwa na jumuiya za kimataifa hasa UN na upande wa mashariki Khalifa Haftar alikofanya makao yake eneo la Benghazi.

Khalifa kwa tamaa ya kuwa raisi mpya alikaribisha mataifa makubwa kadhaa yenye tamaa ya mali za nchi hiyo kuleta wapiganaji wao na silaha.Mwanzori mwa mwaka jana akajiona yuko tayari kusonga mbele kwenda kuiondosha serikali ya Siraj kutoka jijini Tripoli hata hivyo azimio lake hilo halikufanikiwa baada jeshi rasmi la Libya kumzuia kuuteka mji huo na baadae kumfurusha na kumrudisha nyuma kwa aibu mpaka makao makuu yako ya Benghazi, Kushindwa huku huenda kulichangiwa na kukosa misaada kutoka kwa nchi zilizomuunga mkono hasa Misri na UAE ambazo hali zao za kiuchumi ziliporomoka sana katika siku za karibuni.Kwa upande mwengine kuingia kati kwa nchi ya uturuki na teknolojia yake ya droni kuiunga mkono serikali ya Siraji.

Pigo la mwisho kwa Khalifa Haftar ni pale wananchi wa Benghazi walipoandamana mwezi uliopita wakilalamikia hali mbaya ya maisha na kufikia kuvamia ofisi za kamanda huyo na kuzichoma moto. Hata wiki moja haikupita baada ya tukio hilo Khalifa Haftar aliwachia visima vya mafuta alivyokuwa amevishikilia kuanza kuzalisha mafuta na kuunza tena kuuzwa nje kwa ushirikiano na serikali rasmi ya Libya.

Mikutano mingi iliyowahi kufanyika huko nyuma kujaribu kuleta suluhisho ilishindwa lakini mwanzoni mwa wiki hii upatanishi huo umefikia hatua ya kutiliana sana ulioshuhudiwa na Umoja wa mataifa huku mahasimu hao wakikubaliana kuwataka wapiganaji wote kutoka nje walioletwa kwa uchu wa mafuta warudi makwao na wawaachie wenyewe waendeshe nchi yao.
1603730391797.png
1603790789752.png
 
Katika kipindi kisichopungua miaka 10 tangu mwaka 2011 alipopinduliwa na kuuliwa kiongozi wa Libya wananchi wa nchi hiyo wameshuhudia vita vya wenyewe kwa wenyewe,kuuwana kusikokwisha na hatimae njaa waliyokuwa hawaijui.Kila kundi lilitamani kutawala kuchukua nafasi ya kanali Muammar Ghadafi. Hilo ndilo lililomrudisha nyumbani mshirika wa zamani wa Ghadafi aitwaye Khalifa Haftar na hatimae kuigawa nchi upande wa magharibi iliko serikali iliyotambuliwa na jumuiya za kimataifa hasa UN na upande wa mashariki Khalifa Haftar alikofanya makao yake eneo la Benghazi.

Khalifa kwa tamaa ya kuwa raisi mpya alikaribisha mataifa makubwa kadhaa yenye tamaa ya mali za nchi hiyo kuleta wapiganaji wao na silaha.Mwanzori mwa mwaka jana akajiona yuko tayari kusonga mbele kwenda kuiondosha serikali ya Siraj kutoka jijini Tripoli hata hivyo azimio lake hilo halikufanikiwa baada jeshi rasmi la Libya kumzuia kuuteka mji huo na baadae kumfurusha na kumrudisha nyuma kwa aibu mpaka makao makuu yako ya Benghazi, Kushindwa huku huenda kulichangiwa na kukosa misaada kutoka kwa nchi zilizomuunga mkono hasa Misri na UAE ambazo hali zao za kiuchumi ziliporomoka sana katika siku za karibuni.Kwa upande mwengine kuingia kati kwa nchi ya uturuki na teknolojia yake ya droni kuiunga mkono serikali ya Siraji.

Pigo la mwisho kwa Khalifa Haftar ni pale wananchi wa Benghazi walipoandamana mwezi uliopita wakilalamikia hali mbaya ya maisha na kufikia kuvamia ofisi za kamanda huyo na kuzichoma moto. Hata wiki moja haikupita baada ya tukio hilo Khalifa Haftar aliwachia visima vya mafuta alivyokuwa amevishikilia kuanza kuzalisha mafuta na kuunza tena kuuzwa nje kwa ushirikiano na serikali rasmi ya Libya.

Mikutano mingi iliyowahi kufanyika huko nyuma kujaribu kuleta suluhisho ilishindwa lakini mwanzoni mwa wiki hii upatanishi huo umefikia hatua ya kutiliana sana ulioshuhudiwa na Umoja wa mataifa huku mahasimu hao wakikubaliana kuwataka wapiganaji wote kutoka nje walioletwa kwa uchu wa mafuta warudi makwao na wawaachie wenyewe waendeshe nchi yao.

Hakuna makinaliano hapo.

Wanaingia another wave of mercenary session
 
Nimejaribu sana kuandika ukweli niliouona na kuusoma.Onesha nukta yenye ushabiki tuijadili.
Khalifa kwa tamaa ya kuwa raisi mpya alikaribisha mataifa makubwa kadhaa yenye tamaa ya mali za nchi hiyo kuleta wapiganaji wao na silaha.
 
Nimejaribu sana kuandika ukweli niliouona na kuusoma.Onesha nukta yenye ushabiki tuijadili.
Pigo la mwisho kwa Khalifa Haftar ni pale wananchi wa Benghazi walipoandamana mwezi uliopita wakilalamikia hali mbaya ya maisha na kufikia kuvamia ofisi za kamanda huyo na kuzichoma moto. Hata wiki moja haikupita baada ya tukio hilo Khalifa Haftar aliwachia visima vya mafuta alivyokuwa amevishikilia kuanza kuzalisha mafuta na kuunza tena kuuzwa nje kwa ushirikiano na serikali rasmi ya Libya.
 
Khalifa kwa tamaa ya kuwa raisi mpya alikaribisha mataifa makubwa kadhaa yenye tamaa ya mali za nchi hiyo kuleta wapiganaji wao na silaha.
Hivi huna habari kuwa Khalifa Haftar aliwaleta askari wa kukodiwa warusi ,na alipokea silaha kutoka Misri na umoja wa falme za kiarabu.
 
Pigo la mwisho kwa Khalifa Haftar ni pale wananchi wa Benghazi walipoandamana mwezi uliopita wakilalamikia hali mbaya ya maisha na kufikia kuvamia ofisi za kamanda huyo na kuzichoma moto. Hata wiki moja haikupita baada ya tukio hilo Khalifa Haftar aliwachia visima vya mafuta alivyokuwa amevishikilia kuanza kuzalisha mafuta na kuunza tena kuuzwa nje kwa ushirikiano na serikali rasmi ya Libya.
Mbona unashangaa shangaa kwa mambo yaliyotokea Libya kwa uhakika.Itakuwa hufuatilii halafu unafanya ubishi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani mi sifatilii libya
 
Katika kipindi kinachokaribia miaka 10 tangu mwaka 2011 alipopinduliwa na kuuliwa kiongozi wa Libya wananchi wa nchi hiyo wameshuhudia vita vya wenyewe kwa wenyewe,kuuwana kusikokwisha na hatimae njaa waliyokuwa hawaijui.Kila kundi lilitamani kutawala kuchukua nafasi ya kanali Muammar Ghadafi. Hilo ndilo lililomrudisha nyumbani mshirika wa zamani wa Ghadafi aitwaye Khalifa Haftar na hatimae kuigawa nchi upande wa magharibi iliko serikali iliyotambuliwa na jumuiya za kimataifa hasa UN na upande wa mashariki Khalifa Haftar alikofanya makao yake eneo la Benghazi.

Khalifa kwa tamaa ya kuwa raisi mpya alikaribisha mataifa makubwa kadhaa yenye tamaa ya mali za nchi hiyo kuleta wapiganaji wao na silaha.Mwanzori mwa mwaka jana akajiona yuko tayari kusonga mbele kwenda kuiondosha serikali ya Siraj kutoka jijini Tripoli hata hivyo azimio lake hilo halikufanikiwa baada jeshi rasmi la Libya kumzuia kuuteka mji huo na baadae kumfurusha na kumrudisha nyuma kwa aibu mpaka makao makuu yako ya Benghazi, Kushindwa huku huenda kulichangiwa na kukosa misaada kutoka kwa nchi zilizomuunga mkono hasa Misri na UAE ambazo hali zao za kiuchumi ziliporomoka sana katika siku za karibuni.Kwa upande mwengine kuingia kati kwa nchi ya uturuki na teknolojia yake ya droni kuiunga mkono serikali ya Siraji.

Pigo la mwisho kwa Khalifa Haftar ni pale wananchi wa Benghazi walipoandamana mwezi uliopita wakilalamikia hali mbaya ya maisha na kufikia kuvamia ofisi za kamanda huyo na kuzichoma moto. Hata wiki moja haikupita baada ya tukio hilo Khalifa Haftar aliwachia visima vya mafuta alivyokuwa amevishikilia kuanza kuzalisha mafuta na kuunza tena kuuzwa nje kwa ushirikiano na serikali rasmi ya Libya.

Mikutano mingi iliyowahi kufanyika huko nyuma kujaribu kuleta suluhisho ilishindwa lakini mwanzoni mwa wiki hii upatanishi huo umefikia hatua ya kutiliana sana ulioshuhudiwa na Umoja wa mataifa huku mahasimu hao wakikubaliana kuwataka wapiganaji wote kutoka nje walioletwa kwa uchu wa mafuta warudi makwao na wawaachie wenyewe waendeshe nchi yao.
View attachment 1612868View attachment 1613612
Kila la kheri Taifa la Libya
 
Khalifa kwa tamaa ya kuwa raisi mpya alikaribisha mataifa makubwa kadhaa yenye tamaa ya mali za nchi hiyo kuleta wapiganaji wao na silaha.
Khalifa Haftar si kawaleta Wagner Group wa Urusi kupigana na serikali rasmi. Pia anapokea misaada ya UAE na Misri wakati Misri siku zote ni adui wa Libya.
 
Mabeberu walikwishagawana mafuta kitambo tu na bado wanayachimba huku walibya walilumbana na kupigana.

Kuna makampuni ya kigeni lukuki yalokuwepo kabla ya vurugu na mengine yaliingia baada ya hapo na kumalizana na serikali ya vibaraka.

Vibaraka wa mabeberu walianza vikao na mabeberu kabla ya 2010 kwenye miji ya London, Washington na Geneva.

Tuachane na propaganda zisizo na tija.
 
Katika kipindi kinachokaribia miaka 10 tangu mwaka 2011 alipopinduliwa na kuuliwa kiongozi wa Libya wananchi wa nchi hiyo wameshuhudia vita vya wenyewe kwa wenyewe,kuuwana kusikokwisha na hatimae njaa waliyokuwa hawaijui.Kila kundi lilitamani kutawala kuchukua nafasi ya kanali Muammar Ghadafi. Hilo ndilo lililomrudisha nyumbani mshirika wa zamani wa Ghadafi aitwaye Khalifa Haftar na hatimae kuigawa nchi upande wa magharibi iliko serikali iliyotambuliwa na jumuiya za kimataifa hasa UN na upande wa mashariki Khalifa Haftar alikofanya makao yake eneo la Benghazi.

Khalifa kwa tamaa ya kuwa raisi mpya alikaribisha mataifa makubwa kadhaa yenye tamaa ya mali za nchi hiyo kuleta wapiganaji wao na silaha.Mwanzori mwa mwaka jana akajiona yuko tayari kusonga mbele kwenda kuiondosha serikali ya Siraj kutoka jijini Tripoli hata hivyo azimio lake hilo halikufanikiwa baada jeshi rasmi la Libya kumzuia kuuteka mji huo na baadae kumfurusha na kumrudisha nyuma kwa aibu mpaka makao makuu yako ya Benghazi, Kushindwa huku huenda kulichangiwa na kukosa misaada kutoka kwa nchi zilizomuunga mkono hasa Misri na UAE ambazo hali zao za kiuchumi ziliporomoka sana katika siku za karibuni.Kwa upande mwengine kuingia kati kwa nchi ya uturuki na teknolojia yake ya droni kuiunga mkono serikali ya Siraji.

Pigo la mwisho kwa Khalifa Haftar ni pale wananchi wa Benghazi walipoandamana mwezi uliopita wakilalamikia hali mbaya ya maisha na kufikia kuvamia ofisi za kamanda huyo na kuzichoma moto. Hata wiki moja haikupita baada ya tukio hilo Khalifa Haftar aliwachia visima vya mafuta alivyokuwa amevishikilia kuanza kuzalisha mafuta na kuunza tena kuuzwa nje kwa ushirikiano na serikali rasmi ya Libya.

Mikutano mingi iliyowahi kufanyika huko nyuma kujaribu kuleta suluhisho ilishindwa lakini mwanzoni mwa wiki hii upatanishi huo umefikia hatua ya kutiliana sana ulioshuhudiwa na Umoja wa mataifa huku mahasimu hao wakikubaliana kuwataka wapiganaji wote kutoka nje walioletwa kwa uchu wa mafuta warudi makwao na wawaachie wenyewe waendeshe nchi yao.
View attachment 1612868View attachment 1613612
Ulichotuongopea ni kwamba Haftar akufungua visima vya mafuta kwa sababu ya maandamano, bali alifungua baada ya kupata muafaka wa mgao mkubwa wa mapato ya mafuta.kumbuka visima hivi vipo chini ya imaya ya bwana mkubwa Haftar.

Ndo maana serikali ya Tripol ikishilikiana na Jeshi la Waturuki, waliamua kuanzisha operation ya kukomboa mji wa Sitre na al jufra ili waweze kuchukua uthibiti wa visima vya mafuta.
 
Khalifa Haftar si kawaleta Wagner Group wa Urusi kupigana na serikali rasmi. Pia anapokea misaada ya UAE na Misri wakati Misri siku zote ni adui wa Libya.
Ni kawaida kushirikiana katika mambo ya kijeshi.hata sisi Tanzania vita ya kagera hatukupigana peke yetu bila msaada
 
Sisi ni taifa huru na tulimlaumu sana Ghadaffi alipomsaidia Idi Amin kutuvamia kwenye vita ile. Khalifa Haftar ni Jenerali aliyekimbilia USA kwa tofauti zake na Ghadaffi na hakumtaka atawale, ajabu amerudi kupigana na aliyechaguliwa kutawala baada ya Muamar kufa.

Kumsaidia Haftar ni sawa na kusaidia magaidi wa Msumbiji.
 
Ulichotuongopea ni kwamba Haftar akufungua visima vya mafuta kwa sababu ya maandamano, bali alifungua baada ya kupata muafaka wa mgao mkubwa wa mapato ya mafuta.kumbuka visima hivi vipo chini ya imaya ya bwana mkubwa Haftar.

Ndo maana serikali ya Tripol ikishilikiana na Jeshi la Waturuki, waliamua kuanzisha operation ya kukomboa mji wa Sitre na al jufra ili waweze kuchukua uthibiti wa visima vya mafuta.
Inawezekana alikuwa na makubaliano na mabwana wakubwa hata hivyo alikuwa anasitasita kutekeleza lakini baada maandamano ya watu walioweka wazi wamechoka na shida za umaskini pamoja na kukosa nishati ndipo alipofungua visima.Hakuwa na jibu jengine kwa watu waliowahi kumuunga mkono isipokuwa jibu hilo la kuruhusu shughuli kubwa ya uchumi ya nchi hiyo kuendelea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom