Inachekesha sana Rais Trump. Kashindwa kuwapa haki wamarekani ambao wanafanya maandamano makubwa katika miji ya Marekani baada utawala wa Trump kuwakandamiza.
Trump anasema anawalinda...
Wanaukumbi.
⭕️Huko Tehran, Wairani milioni 1.2 waliandamana kuiunga mkono serikali yao
Kwa upande mwingine, maandamano makubwa zaidi ya kupinga serikali hayakuwahi kukua hadi zaidi ya makumi ya...
Ustaarabu wa hali ya juu wa kijamii ulionekana nchini China pale ambapo wapita njia walisaidia kurejesha makasha yaliyomwagika baada ya ajali ya lori, badala ya kuyachukua au kuiba.
Kilichotokea...
Rais wa Marekani Donald Trump amepokea Tuzo ya Amani ya Nobel kutoka kwa kiongozi wa upinzani wa Venezuela, María Corina Machado, kama ishara ya kutambua mchango wake katika juhudi za kudai uhuru...
Jana mejeshi ya nchi wanachama wa NATO yamewasili kisiwa cha Greenland lengo kukilinda kisiwa cha Greenland kuzuia kunyakuliwa na Trump.
Sasa najiuliza swali hapa wakati wanakusanya mabegi yao...
Usalama wa kusafiri barani Afrika unatofautiana kwa kiwango kikubwa, kulingana na eneo na nchi husika.
Viwango kama Global Peace Index (GPI) na Safest Countries Index hutumika kupima usalama wa...
Nobel Institute ya Norway imesema kuwa Tuzo ya Amani ya Nobel haiwezi kuhamishwa, kugawiwa wala kufutwa, hii ni baada ya mshindi wa tuzo hizo wa mwaka 2025 ambaye ni kiongozi wa upinzani nchini...
Rais wa Marekani Donald Trump amenaswa na kamera akionekana kuinua kidole chake cha kati na kutamka neno lenye maana ya tusi kwa mfanyakazi mmoja wakati wa ziara yake kwenye kiwanda cha Ford River...
Rais wa Marekani Donald Trump ameongelea hali ya usalama nchini Iran. Katika kauli yake ya hivi punde, Trump amewahakikishia watu kuwa mivutano na mauaji yanayoripotiwa nchini humo yamefika...
Mzuka Wana Jamvi!
Hule umoja uchwara wa kiuchumi BRICS ukiongozwa na Russia, China, South Afrika ikijumuisha mataifa mengine uchwara kama Pakistan wamsaidie Ayatollah sasa kiuchumi.
Wanachekesha...
Watu Laki Sita (600,000/-) hupotea kila Mwaka Nchini Marekani bila kupatikana.
Hakuna kengele inayolia,
hakuna dunia inayosimama.
Wanatoweka kama upepo,
wakiacha majina, nyuso, na ndoto zisizo na...
Moja ya jambo linalotembea mtandaoni ni video inayoonesha Wanajeshi wa Kirusi waliokuwa vitani Ukreni wakiwa wameketi na Wanajeshi wa Afrika, Porini katika baridi kali. Huku Wanajeshi hao wa...
Picha zikionyesha mamia ya mifuko myeusi ya maiti ikiwa imepangwa ndani na nje ya Kituo cha Uchunguzi wa Kimatibabu cha Kahrizak, mojawapo ya mochari kubwa pembezoni mwa jiji la Tehran
Vyombo vya...
Ni habari njema pia ni habari mbaya.
Ijulikane kwamba nchi za Ulaya ni vinchi vidogovidogo ila vilikuwa vinapata jeuri kwa sababu ya NATO kwa kuwa inaongozwa na Kiranja wao USA.
Sasa basi kwa...
Maisha katika kisiwa cha Greenland ni kama kijijini ,wananchi hawana access ya huduma ya internet,hivi kweli kama hata internet hakuna wanaishi vipi hapo huenda hata kinachoendelea kuhusu wao...
Waziri wa zamani wa Burkina Faso, Yolande Viviane Compaoré, ameuawa katika makazi yake mjini Ouagadougou. Maafisa wamesema kuwa mwili wa Compaoré uligunduliwa nyumbani kwake Jumamosi iliyopita, na...
Iran imekua ikifanya mazoezi ya kijeshi ya makombora na drones kufikia wiki ya pili hadi sasa.
Duru ya Times of Israel inaeleza kuwa serikali ya Tel Aviv inalalama kuwa mazoezi haya ya Iran ni...