Baadhi ya wafanyakazi wameelekezwa kuondoka katika kambi ya kijeshi ya Marekani ya Al Udeid nchini Qatar ifikapo jioni ya Jumatano, kwa mujibu wa ripoti ya shirika la habari la Reuters lililonukuu...
Sababu ya kuvamiwa kwa Iran
Wazee wa propaganda wameshaanza kupenyeza uzushi kuwa Marekani (US) inataka kuivamia Iran kwa sababu ya Uislamu. Hoja hii haina mashiko hata kidogo. Kama sababu...
Rais wa Marekani Donald, ajiita ‘Kaimu Rais wa Venezuela’ baada ya zaidi ya wiki moja tangu jeshi la Marekani kuivamia Venezuela na kumkamata rais wake, Nicolás Maduro.
Kupitia mtandao wake wa...
Rais korea kaskazini ni comedian Sana
Mambo yakishaharibika yeye huingia kwenye mahandaki na masigara yake hatoki hadi Hali itulie🤣🤣
Israel alivokuwa anamshughulikia Iran alikauka Kama hayupo...
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo kali kwa mataifa yote duniani yanayofanya biashara na Iran, akitangaza kuwa nchi yoyote inayoendelea na itakayofanya hivyo itakabiliwa na ushuru mpya wa...
Kwa mujibu wa maelekezo ya Elon Musk, wahandisi wa SpaceX wanafanya kazi usiku na mchana kutafuta njia ya kupita uzuiaji wa Starlink unaofanywa na Jamhuri ya Kiislamu na kuwezesha upatikanaji wa...
Trump aonya kuhusu mashambulizi zaidi nchini Nigeria ikiwa Wakristo 'wataendelea kuuawa'.
Rais wa Marekani Donald Trump ameonya kuwa anaweza kuamuru mashambulizi zaidi ya anga dhidi ya Nigeria...
Kwa mara ya kwanza ndege za Mashambulizi ya Nyuklia za Russia Chapa Tu 160, Il 62 na An 124 zimetua bara la Afrika aidha ni mikakati ya kiulinzi na kivita inaasukwa.
Update: Russia is sending...
Wakulima nchini Ufaransa wameandamana kwa njia ya kushangaza kwa kumwaga takribani tani 30 za viazi nje ya jengo la Bunge la Taifa, wakipinga mkataba wa biashara huria unaopendekezwa kati ya Umoja...
Rais wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune, amewataka vijana wa Algeria wanaoishi nje ya nchi katika mazingira magumu na bila vibali halali kurejea nyumbani, akiahidi kurasimisha hali zao kisheria...
Spika wa bunge la Venezuela Jorge Rodriguez amesema zaidi ya watu 400 wameachiliwa kutoka gerezani kama sehemu ya mchakato unaoendelea wa kuachiliwa huru wafungwa wa kisiasa.
Akizungumza siku ya...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imekamilisha usafirishaji wake wa kwanza kabisa wa shaba kwenda Marekani kupitia mradi unaoungwa mkono na kampuni ya Mercuria, hatua inayochukuliwa kama...
At least 12,000 people were killed over two nights on January 8 and 9 during protests, Iran International’s editorial board concluded, based on a review of sources and medical data.
Exiled Prince...
Mwaka wa 2026 wa Mawasiliano kati ya Watu wa China na Afrika umezinduliwa hivi karibuni katika makao makuu ya Umoja wa Afrika yaliyoko Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia. Mwaka huu, takriban...
Hali ya kidiplomasia katika eneo la Arctic imezidi kupamba moto baada ya Greenland kupendekeza kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani kuhusu mustakabali wake. Hatua hii inakuja huku...
Iran kwa sasa iko kwenye kuzimwa kwa mawasiliano kulikoratibiwa, lengo lake si udhibiti wa usalama pekee bali pia kuficha ukweli. Kukatwa kwa intaneti, kuvurugwa kwa mawasiliano, kufungwa kwa...
Ubalozi wa Marekani nchini Iran siku ya Jumatatu umetoa taarifa mtandaoni ya onyo la usafiri ikiwataka raia wa Marekani kuondoka Iran mara moja huku machafuko yakiendelea kusambaa kote nchini...
Somalia imetangaza kukatiza uhusiano na Umoja wa Falme za Kiarabu, na kufuta makubaliano yote ya ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.
Katika taarifa iliyotolewa baada ya kikao cha baraza la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.